Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,430
- 3,248
Ni kweli wasaidiwe ila zitakapozidi watuambie ili zitumike kuimalisha chama.
wala usipate taabu chadema watapambana na kudumisha umoja kama watoto yatima wamechoka kuonewa na huu utawala dhalimu, mchango unaendelea mwenye 100,200,500,1000,2000,5000........350 mil ruzuku yote kwaheri, 🤐.
tulia kwanza tuwakomboe hawa ndugu zetu dhidi ya huu utawala dhalimu ,ofisi tutapanga mipango hata chini ya mnaziZitakazozidi mzitaje, alafu mjenge ofisi. Pale mlipo aibu sana.
tupishe kaa pembeni Akwelina mlimuua wenyeweSina muda wa kuchangia wahuni, matapeli, wezi na wauaji wakubwa wa Akwilina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lipumba na yule mwingine hawaeleweki kwa masilahi ya ccm
Rejea hukumuHivi hiyo faini watalipwa wazazi wa Akwilina au ndo serikali itazitafuna ?
Nifiwe Mimi ,faini ilipwe serikali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm imewaacha watanzania ml50 wakiendelea kua maskini ..Huu ni upigaji wa pesa kwa viongozi wa chadema kwa mgongo wa kupigania demokrasia,chama kinacho wafirisi raia wake kwa madai ya kupigania demokrasia huku kikiwaacha wanachama wake masikini hakifai hata kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Haikuhusu.Zitakazozidi mzitaje, alafu mjenge ofisi. Pale mlipo aibu sana.
Jaribu namba nyingine Kama ya bulaya zote ziko activeTupeni mwongozo. Toeni account inayoweza kupokea hea, mi nimetuma lkn msg ikakataa hivi
Sorry, M-PESA cannot authorize this transaction since this transaction will exceed recipient's balance limit.
Sent using Jamii Forums mobile app
Serekali ijifunze kitu, wananchi wanataka demokrasia.Hongereni sana Watanzania wapenda democrasiaView attachment 1383874View attachment 1383875
Sent using Jamii Forums mobile app