Namna mpya ya kutongoza mjini hapa - wanaume mna mambo!

Whaaaaaaaaaaaat! Wewe nawe pupa nyingi sanaaa! Hata hujafika mwisho ushastuka na ku doubt! Mambo mazuri hayaendi kwa watu wenye kujihisi na kutia shaka! Mambo mazuri yanaenda kwa watu wenye roho za kutu!!!!

Afu Come on! You havent been to a dinner date you are already in his office chair! Is he ya business partner? It doesnt make sense! Mimi mabwana zangu hawajuagi nafanya wapi wala nini! Usiendekeze, siku mkitibuana anakuja kuleta scene ofisini unadhalilikaje! Its very unprofessional! Ile sehemu ya kazi bana! Chezea mshahara wangu usichezee kazi yangu.

Secondly you should have busted his bubble too quickly! Could have given him a chance to show what he got! You could have been surprised dear!

All in all nakufundisha 1 thing about men lies! THE BIGGER THE LIE THE EASIER YOU WILL BELIEVE IT!!!!! Ukiona his story isnt attractive and you dont seem to like it at all, there is a possibility THE DUDE IS ACTUALLY TELLING THE TRUTH.

Oooooops! We wont find out! Aouchhhhhhhhhh!

mmmmmmmh!!!!!!!!! wewe mwanamke wewe!!!!!!!!!!!!
 
Salam mmu crew!

Nimejishauri sana kabla ya kupost hii kitu hapa, nikaona nisiishi dunia ya kipeke yangu ngoja nishirikishe na wengine nipate uzoefu wao na pia waweza pata uzoefu huu.

Ni ile wikend ya idd el fitri kwa walio makazini ni ndefu sana ile wikend, sasa katika kutafuta mahali pa kupoteza mda mimi na rafiki zangu tukaamua twende nje ya mji kidogo, tukaenda bagamoyo!

Sasa nikawa na chat huku story zinaendelea, huyu niliye kuwa na chat nae hatujuani, basi kila mtu akawa anajitambulisha, jamaa kajisifia mpaka nikaogopa
Kaanza na jina, kasoma nje na vyuo kataja....., kazi ....
Kaendelea nina magari kadhaa...nyumba kadhaa hapa mjini na mikoani pia mtoto nikaambiwa...., sijaoa.... blaaahhh
Nikamwambia niko bagamoyo, hotel flani na frends kama waweza njoo tufahamiane hata sura basi
Mwanaumme drive mpaka b/moyo....tukaonana akarudi kivyake cause siwezi acha frends wangu kwa ajili ya mtu nisie mjue
Tulikuwa tunachat sana.....baadae kifanya analysis na ushauri wa watu, nikaambiwa tapeli huyo, nami kweli nikatii nikala mikausho...

Sasa jana nikakuta sms ya lawama kwann simtimii sms ooh calling... nikamwambia hata wewe waweza anza tatizo li wapi? Akaja juu...nikamshangaa... tatizo nini?
Akasema tatizo kukupenda, na withdraw...... nakamwambia maisha mema... ila kwako siwezi kuja wala any meeting with you it will never happen, sikuamini hata kidogo!!!
Kalalama na nikampotezea!!!

Ameniambia kwenda kazini kwake lazima atoe notice 14 days kabla na full details mm pamoja na familia yangu, hapo ndo nikashangaa ofisi gani hii!!!!
Analazimisha tuonane, nahisi nia yake sio nzuri!! wrong number hizi ni tatizo!!!

Kuweni makini na hawa wanaume hasa kwa wadada wanao penda mali na pesa!!!

my take: kama ni kijana atakuwa ni mfanyakazi wa ikulu ila ana behind the scenes kuhusu huo utajiri/mali zake either family background au yale ya madawa na biashara nyingine haramu zinazolipa fasta.
Kama ni mbaba atakuwa ni mfanyakazi wa ikulu shushushu ambaye kuna data au info anazitafuta kwa vijana sasa anajua in u atapata details anazotaka na kisha atavanish kama moshi na ukimsaka detaila zake humpati.
Anyways ni mtazamo wangu tuu, all the best.
 
yaani mimi kukutajia na migari na mijumba harafu nikakufuata bagamoyo leo umeleta jf, ulitaka nikutongozeje sasa, wanawake wengine bwana

mmeshakuwa wawili sasa kwenye uhusika,,,,, inavyoonesha kuna mmojawapo ni muongo au wote ni waongo sasa humu.......
 
my take: kama ni kijana atakuwa ni mfanyakazi wa ikulu ila ana behind the scenes kuhusu huo utajiri/mali zake either family background au yale ya madawa na biashara nyingine haramu zinazolipa fasta.
Kama ni mbaba atakuwa ni mfanyakazi wa ikulu shushushu ambaye kuna data au info anazitafuta kwa vijana sasa anajua in u atapata details anazotaka na kisha atavanish kama moshi na ukimsaka detaila zake humpati.
Anyways ni mtazamo wangu tuu, all the best.

utakuwa mpenzi wa novel au movies za kijasusi bibie..........
 
Weeeeeee! Usiniuzie kesi! Usiende kumtafuta wala nini. All im sayin is next time PLAY IT COOL! Just be a listener! Usianze investigations unnecessarily, ofcourse kama muongo atajikaanga mwenyewe to in no time.

Lara 1 umenichekesha sana Leo....unaonekana uko makini sana.......Ni kweli wanaume wachache kwa kuogopa kupata wanawake wenye tamaa kuliko penzi la kweli hujishusha na kujifanya ni watu wa kawaida tu ingawa wapo matawi ya juu....Kwa jinsi alivyo mtoa uzi ni mwingi wa tamaa na asiyesamehe pindi akikosewa......kwa nini usiwe mvumilivu kumchunguza kisa? umeambiwa ni Tapeli.....Lara 1 Umeolewa?....
 
Hataki kuchunguzwa anataka tuu nimwamini kwa mere words, ni kitu siwezi fanya!
Wala sina tamaa, na ridhika na vitu vidogo dogo kuliko kupewa jumba kama hekalu alaf mme yuko busy hana mda!
Kwa ufupi sipendi easy come coz it is expensive!!!
Dont condemn others coz u hardily know me!
 
mambo yaha...tongozo staili za miaka ya 47 hahahaha..na wewe, namba yako altoa wap? Bagamoyo ulimuitia nin kama kamoyo hakaja mlenga? Kulikuwa na ulazma wa kuulza?? Angalia usjekuwa unapga fuko la dhahabu mateke!
 
Labda huna pesa na kupenda hujui wategemea nini sasa!
Vyote huna ni balaa!

Umesahau vingine, siyo handsome, hana mvuto, hajui mamboz kwny 6*6! Mwanaume angalau uwe na viwili vitatu ktk ivyo! ukikosa khaa utakua wa kuokota okota pale ambiance!
 
Style ni nyingi dada.... wengine huanza kwa kusema:

Mwanaume: Binti Mungu alikupatia kila kitu lakin akakunyima kitu kimoja tu!

Binti mrembo: Mmmmmh! nini hicho kakaangu??

Mwanaume: Hahahaaaaa....hujui?? Kwakweli ni bahati mbaya sana kwamba Mungu alikunyima kitu kimoja tu, lakin si haba wewe ni mrembo sana!

Binti: Jaman kaka si uniambie kitu gani hicho??

Mwanaume: Ha ha haaaa,....kwani namba yangu ya simu unayo???

Binti hoi bin taaban kwa kicheko, karembua macho, akajisogeza, akatoa namba, maisha yakaanza ikiwa ni pamoja na kugegedwa!!
 
Whaaaaaaaaaaaat! Wewe nawe pupa nyingi sanaaa! Hata hujafika mwisho ushastuka na ku doubt! Mambo mazuri hayaendi kwa watu wenye kujihisi na kutia shaka! Mambo mazuri yanaenda kwa watu wenye roho za kutu!!!!

Afu Come on! You havent been to a dinner date you are already in his office chair! Is he ya business partner? It doesnt make sense! Mimi mabwana zangu hawajuagi nafanya wapi wala nini! Usiendekeze, siku mkitibuana anakuja kuleta scene ofisini unadhalilikaje! Its very unprofessional! Ile sehemu ya kazi bana! Chezea mshahara wangu usichezee kazi yangu.

Secondly you should have busted his bubble too quickly! Could have given him a chance to show what he got! You could have been surprised dear!

All in all nakufundisha 1 thing about men lies! THE BIGGER THE LIE THE EASIER YOU WILL BELIEVE IT!!!!! Ukiona his story isnt attractive and you dont seem to like it at all, there is a possibility THE DUDE IS ACTUALLY TELLING THE TRUTH.

Oooooops! We wont find out! Aouchhhhhhhhhh!
hivi dunia ya leo kuna kutongozana kweli? , mimi naona ilikuwa zamani kizazi hichi cha kina nyie muanze kutongozwa , sasa hivi ni kuonana na kupeana mazima (au ndiyo kutongoza). haya ya uchumi , mimi mtoto wa boss , ooh!!! baba yupo marekani yalikuwa miaka ya 70 kwanza zamani ukisoma tu na mtoto wa mkubwa hata mwalimu hamchapi anaweweseka . zamani nakumbuka ukimleta mchumba ambaye baba yake ni mtu tajiri unaambiwa umetuletea matatizo .leo hii vya kawaidaaaaa!!!!
 
Salam mmu crew!

Nimejishauri sana kabla ya kupost hii kitu hapa, nikaona nisiishi dunia ya kipeke yangu ngoja nishirikishe na wengine nipate uzoefu wao na pia waweza pata uzoefu huu.

Ni ile wikend ya idd el fitri kwa walio makazini ni ndefu sana ile wikend, sasa katika kutafuta mahali pa kupoteza mda mimi na rafiki zangu tukaamua twende nje ya mji kidogo, tukaenda bagamoyo!

Sasa nikawa na chat huku story zinaendelea, huyu niliye kuwa na chat nae hatujuani, basi kila mtu akawa anajitambulisha, jamaa kajisifia mpaka nikaogopa
Kaanza na jina, kasoma nje na vyuo kataja....., kazi ....
Kaendelea nina magari kadhaa...nyumba kadhaa hapa mjini na mikoani pia mtoto nikaambiwa...., sijaoa.... blaaahhh
Nikamwambia niko bagamoyo, hotel flani na frends kama waweza njoo tufahamiane hata sura basi
Mwanaumme drive mpaka b/moyo....tukaonana akarudi kivyake cause siwezi acha frends wangu kwa ajili ya mtu nisie mjue
Tulikuwa tunachat sana.....baadae kifanya analysis na ushauri wa watu, nikaambiwa tapeli huyo, nami kweli nikatii nikala mikausho...

Sasa jana nikakuta sms ya lawama kwann simtimii sms ooh calling... nikamwambia hata wewe waweza anza tatizo li wapi? Akaja juu...nikamshangaa... tatizo nini?
Akasema tatizo kukupenda, na withdraw...... nakamwambia maisha mema... ila kwako siwezi kuja wala any meeting with you it will never happen, sikuamini hata kidogo!!!
Kalalama na nikampotezea!!!

Ameniambia kwenda kazini kwake lazima atoe notice 14 days kabla na full details mm pamoja na familia yangu, hapo ndo nikashangaa ofisi gani hii!!!!
Analazimisha tuonane, nahisi nia yake sio nzuri!! wrong number hizi ni tatizo!!!

Kuweni makini na hawa wanaume hasa kwa wadada wanao penda mali na pesa!!!

Tabia gani hiyo unayaleta hadi huku JF au hujui kuwa uliniudhi! home kuna wageni wametoka ng'ambo wakiondoka tu nitaanza tena kukutongoza...

Ila umeniaibisha kuandika nilikufuata Bagamoyo... Washkaji zangu wakija soma humu watakuwa wananicheka sana kuwa nimefuata demu bagamoyo na ukanipaka majivu usoni tena nikarejea peke yangu...

Ila na wewe unachuna vibaya... na ile Pesa uliyoniomba nikukopeshe ndio iliyonikimbiza kwako... Unakopa million moja huku hatujazoeana fresh! dah!....
 
Back
Top Bottom