Namna mpya ya kutongoza mjini hapa - wanaume mna mambo!

Peleka kitu ikatarasuriwe bhana mwishowe italiwa na nyenyere ..................!:love:
 
Usingekua na mtu wa kumuuliza, na hao uliowauliza wasingekwambia tapeli, what could have happened?
ungekuja kutushirikisha kilichotokea? kweli celin aliisemaga ---if walls could talk! ---I was just thinking aloud.
 
wewe kwenda ofisin kwake ndio hadi utoe notice au ulimaanisha nini!!!!!!!

vidume kama hao you chop their money and Off you go aii!!!!!!
Mbona nilipokushauri kwa yule aliyejipendekeza kwako siku moja ulikataa mamito. Usimshauri hivyo bhana...
 
inaonyesha wazi kbsa huna msimamo lara kakukamata maskio unatka kurudisha majeshi au ushakolea kwa mshikaji funguka

Sio kwamba nimebadili mtazamo, hapana but nimewahi kum judge bila hata ya kuchunguza kama ni kweli!!!!
 
ulitaka tujue ulitongozwa? promo hz

hakuwa nia yangu mkuu!
Nia ni kutoa somo na kupata maoni ya watu kwasabb tuna uwezo tofauti wa kufikiri pia mauzoefu ni tofauti!
Ni hayo tuu mkuu
Alaf hilo ni jambo la kawaida tuu dont take it personally!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Salam mmu crew!

Nimejishauri sana kabla ya kupost hii kitu hapa, nikaona nisiishi dunia ya kipeke yangu ngoja nishirikishe na wengine nipate uzoefu wao na pia waweza pata uzoefu huu.

Ni ile wikend ya idd el fitri kwa walio makazini ni ndefu sana ile wikend, sasa katika kutafuta mahali pa kupoteza mda mimi na rafiki zangu tukaamua twende nje ya mji kidogo, tukaenda bagamoyo!

Sasa nikawa na chat huku story zinaendelea, huyu niliye kuwa na chat nae hatujuani, basi kila mtu akawa anajitambulisha, jamaa kajisifia mpaka nikaogopa
Kaanza na jina, kasoma nje na vyuo kataja....., kazi ....
Kaendelea nina magari kadhaa...nyumba kadhaa hapa mjini na mikoani pia mtoto nikaambiwa...., sijaoa.... blaaahhh
Nikamwambia niko bagamoyo, hotel flani na frends kama waweza njoo tufahamiane hata sura basi
Mwanaumme drive mpaka b/moyo....tukaonana akarudi kivyake cause siwezi acha frends wangu kwa ajili ya mtu nisie mjue
Tulikuwa tunachat sana.....baadae kifanya analysis na ushauri wa watu, nikaambiwa tapeli huyo, nami kweli nikatii nikala mikausho...

Sasa jana nikakuta sms ya lawama kwann simtimii sms ooh calling... nikamwambia hata wewe waweza anza tatizo li wapi? Akaja juu...nikamshangaa... tatizo nini?
Akasema tatizo kukupenda, na withdraw...... nakamwambia maisha mema... ila kwako siwezi kuja wala any meeting with you it will never happen, sikuamini hata kidogo!!!
Kalalama na nikampotezea!!!

Ameniambia kwenda kazini kwake lazima atoe notice 14 days kabla na full details mm pamoja na familia yangu, hapo ndo nikashangaa ofisi gani hii!!!!
Analazimisha tuonane, nahisi nia yake sio nzuri!! wrong number hizi ni tatizo!!!

Kuweni makini na hawa wanaume hasa kwa wadada wanao penda mali na pesa!!!

namuomba huyu jamaa. nipe na no yake ya simu mimi nawapenda sana watu wa hivi:smile-big:
 
Haya mambo ya kujitambulisha kuwa unamiliki nyumba na magari sabini mpaka leo bado yapo kama gia ya mtongozo?
Kweli Dar ni vibweka camp. Unga unga mpaka ikamilike..................
Pole bibie umestukia tego.
 
jaman hizi pesa, catalia sema tu jamaa hakua bby face nn ndo mana ukampotezea .......ila kwa initial explanation zako Jamaa baada ya kumwona ndo ikawa balaaa!! something s behind u don't tell us

Bby face, what nonsense!! siko primary nikatazame sura!!!!
I want a responsible man!!!!!
Face doesnt put food on the table or money in the purse!!!!!!!
Grow up dude!!!
 
wewe kwenda ofisin kwake ndio hadi utoe notice au ulimaanisha nini!!!!!!!

vidume kama hao you chop their money and Off you go aii!!!!!!

Tatizo sipendi kutangaza njaa Heaven on Earth.
Chopping his money sio huja baada ya kamda kidogo katika uhusiano?
Ndo kwanza mmejuana how will you just chop his money?
Naogopa vitu vya watu huwezi jua ameingia mikataba gani kuvipata!!
The world has changed and it isnt frendly anymo ma dia!!
I love my body,soul and spirit it is just priceless( it can never be exchanged with anything)
 
ulivyomwita kutoka huku hadi Bagamoyo ulidhani nini.......,by the way who told you

chopping somebody's money ndo kutangaza njaa....,the world has changed true thats why

we keep on chopping their money ingekua enzi zile yasingekuwa hayo,know the rules and apply them
 
What are the rules? Teach me mwl!
Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu!
 
Back
Top Bottom