cataliya
JF-Expert Member
- Jun 24, 2013
- 458
- 361
Salam mmu crew!
Nimejishauri sana kabla ya kupost hii kitu hapa, nikaona nisiishi dunia ya kipeke yangu ngoja nishirikishe na wengine nipate uzoefu wao na pia waweza pata uzoefu huu.
Ni ile wikend ya idd el fitri kwa walio makazini ni ndefu sana ile wikend, sasa katika kutafuta mahali pa kupoteza mda mimi na rafiki zangu tukaamua twende nje ya mji kidogo, tukaenda bagamoyo!
Sasa nikawa na chat huku story zinaendelea, huyu niliye kuwa na chat nae hatujuani, basi kila mtu akawa anajitambulisha, jamaa kajisifia mpaka nikaogopa
Kaanza na jina, kasoma nje na vyuo kataja....., kazi ....
Kaendelea nina magari kadhaa...nyumba kadhaa hapa mjini na mikoani pia mtoto nikaambiwa...., sijaoa.... blaaahhh
Nikamwambia niko bagamoyo, hotel flani na frends kama waweza njoo tufahamiane hata sura basi
Mwanaumme drive mpaka b/moyo....tukaonana akarudi kivyake cause siwezi acha frends wangu kwa ajili ya mtu nisie mjue
Tulikuwa tunachat sana.....baadae kifanya analysis na ushauri wa watu, nikaambiwa tapeli huyo, nami kweli nikatii nikala mikausho...
Sasa jana nikakuta sms ya lawama kwann simtimii sms ooh calling... nikamwambia hata wewe waweza anza tatizo li wapi? Akaja juu...nikamshangaa... tatizo nini?
Akasema tatizo kukupenda, na withdraw...... nakamwambia maisha mema... ila kwako siwezi kuja wala any meeting with you it will never happen, sikuamini hata kidogo!!!
Kalalama na nikampotezea!!!
Ameniambia kwenda kazini kwake lazima atoe notice 14 days kabla na full details mm pamoja na familia yangu, hapo ndo nikashangaa ofisi gani hii!!!!
Analazimisha tuonane, nahisi nia yake sio nzuri!! wrong number hizi ni tatizo!!!
Kuweni makini na hawa wanaume hasa kwa wadada wanao penda mali na pesa!!!