Namna mpya ya kutongoza mjini hapa - wanaume mna mambo!

Namna mpya ya kutongoza mjini hapa - wanaume mna mambo!

Labda aliona akisema hivyo itakuwa rahisi kwako kukubali, maana kuna wadada wengine kuchat na mtu hata hamjui utasikia nikopeshe 20,000/= nina shida nitumie kwenye mpesa.
 
Tabia gani hiyo unayaleta hadi huku JF au hujui kuwa uliniudhi! home kuna wageni wametoka ng'ambo wakiondoka tu nitaanza tena kukutongoza...

Ila umeniaibisha kuandika nilikufuata Bagamoyo... Washkaji zangu wakija soma humu watakuwa wananicheka sana kuwa nimefuata demu bagamoyo na ukanipaka majivu usoni tena nikarejea peke yangu...

Ila na wewe unachuna vibaya... na ile Pesa uliyoniomba nikukopeshe ndio iliyonikimbiza kwako... Unakopa million moja huku hatujazoeana fresh! dah!....


I simply dont know you!
Do you know me?
 
hivi dunia ya leo kuna kutongozana kweli? , mimi naona ilikuwa zamani kizazi hichi cha kina nyie muanze kutongozwa , sasa hivi ni kuonana na kupeana mazima (au ndiyo kutongoza). haya ya uchumi , mimi mtoto wa boss , ooh!!! baba yupo marekani yalikuwa miaka ya 70 kwanza zamani ukisoma tu na mtoto wa mkubwa hata mwalimu hamchapi anaweweseka . zamani nakumbuka ukimleta mchumba ambaye baba yake ni mtu tajiri unaambiwa umetuletea matatizo .leo hii vya kawaidaaaaa!!!!

Ndo maana nika mshtukia huyu jamaa atakuwa tapeli wa mapenzi?
Blah blah blah nyingiiiii
Hit the nail on its head, with simple words msg is sent & delivery
 
Labda aliona akisema hivyo itakuwa rahisi kwako kukubali, maana kuna wadada wengine kuchat na mtu hata hamjui utasikia nikopeshe 20,000/= nina shida nitumie kwenye mpesa.

Mpaka nikupige kibomu ni baada ya mda kidogo!!!!!!!
Sikurupuki tuuu!!
 
Back
Top Bottom