Namna mpya ya kutongoza mjini hapa - wanaume mna mambo!

Namna mpya ya kutongoza mjini hapa - wanaume mna mambo!

Sifa nyiingi Lara1, kwa hiyo nikambembeleze tena!!!! Naogopa jamani! Dar hii lara1. Ntamtafuta tena basi alaf nita ku pm

Weeeeeee! Usiniuzie kesi! Usiende kumtafuta wala nini. All im sayin is next time PLAY IT COOL! Just be a listener! Usianze investigations unnecessarily, ofcourse kama muongo atajikaanga mwenyewe to in no time.
 
Hatujuani na ile curiosity + cv yake nilitaka kujua ni mtu wa namna gani?
Kwann nae alikubali? Nahisi ni hamu ya kujua tuu hata sura!! Alisema vingi ila nimepunguza tuu

Hahaha....
Mi nilidhani labda maneno yake ya hapo awali kwa namna fulani yalikukonga nyoyo nawe pasi hiyana ukashawishika kumualika kwa hiyo blind date....
 
Hahaha....
Mi nilidhani labda maneno yake ya hapo awali kwa namna fulani yalikukonga nyoyo nawe ukashawishika kumualika kwa hiyo blind date....
Hapana, kazi aliyo itaja na cv na ma asset aliokuwa nao na nikatamani nimwone anafananaje!
Nilikuwa na confidence coz of frends
 
Weeeeeee! Usiniuzie kesi! Usiende kumtafuta wala nini. All im sayin is next time PLAY IT COOL! Just be a listener! Usianze investigations unnecessarily, ofcourse kama muongo atajikaanga mwenyewe to in no time.
Okay then. Will kip it cool. Akinitafuta tena nitajaribu kwenda polepole.
 
Kilichokufanya umuone muongo ni hizo mali zake au kitu gani hasa,je angekwambia ye choka mbaya ndio ungemwona mkweli?

hamna formula ya kuapproach everyone has his own and that is one of it.................sio lazima uwe mjanja ila werevu ni muhimu
 
Salam mmu crew!

Nimejishauri sana kabla ya kupost hii kitu hapa, nikaona nisiishi dunia ya kipeke yangu ngoja nishirikishe na wengine nipate uzoefu wao na pia waweza pata uzoefu huu.

Ni ile wikend ya idd el fitri kwa walio makazini ni ndefu sana ile wikend, sasa katika kutafuta mahali pa kupoteza mda mimi na rafiki zangu tukaamua twende nje ya mji kidogo, tukaenda bagamoyo!

Sasa nikawa na chat huku story zinaendelea, huyu niliye kuwa na chat nae hatujuani, basi kila mtu akawa anajitambulisha, jamaa kajisifia mpaka nikaogopa
Kaanza na jina, kasoma nje na vyuo kataja....., kazi ....
Kaendelea nina magari kadhaa...nyumba kadhaa hapa mjini na mikoani pia mtoto nikaambiwa...., sijaoa.... blaaahhh
Nikamwambia niko bagamoyo, hotel flani na frends kama waweza njoo tufahamiane hata sura basi
Mwanaumme drive mpaka b/moyo....tukaonana akarudi kivyake cause siwezi acha frends wangu kwa ajili ya mtu nisie mjue
Tulikuwa tunachat sana.....baadae kifanya analysis na ushauri wa watu, nikaambiwa tapeli huyo, nami kweli nikatii nikala mikausho...

Sasa jana nikakuta sms ya lawama kwann simtimii sms ooh calling... nikamwambia hata wewe waweza anza tatizo li wapi? Akaja juu...nikamshangaa... tatizo nini?
Akasema tatizo kukupenda, na withdraw...... nakamwambia maisha mema... ila kwako siwezi kuja wala any meeting with you it will never happen, sikuamini hata kidogo!!!
Kalalama na nikampotezea!!!

Ameniambia kwenda kazini kwake lazima atoe notice 14 days kabla na full details mm pamoja na familia yangu, hapo ndo nikashangaa ofisi gani hii!!!!
Analazimisha tuonane, nahisi nia yake sio nzuri!! wrong number hizi ni tatizo!!!

Kuweni makini na hawa wanaume hasa kwa wadada wanao penda mali na pesa!!!

ndio umeamua kuja kunitangaza jf! Mbona mengine hujasema? Kuwa muwazi sema yote tuliyofanya!,
 
Unamuonea tu kidume mwenzetu kumuanika hapa, stori inaonyesha mlichati kupita kiwango cha kuchat, na mlikuwa mnaelekea kwingine. Umemualika hadi Bagamoyo, na mkajuana. Nini kilikufanya usione 'uadui' wake kabla uje kuuona baada ya kukutana. Ungeleweka kama angelikuwa "less attractive" kwako. Kuhusu kazini, obvious hakuna Mwanamme atakayekuwa rahisi "kuweka wazi" mapema ofcin kwake kuogopa usumbufu au "selection" inaendelea.
 
Whaaaaaaaaaaaat! Wewe nawe pupa nyingi sanaaa! Hata hujafika mwisho ushastuka na ku doubt! Mambo mazuri hayaendi kwa watu wenye kujihisi na kutia shaka! Mambo mazuri yanaenda kwa watu wenye roho za kutu!!!!

Afu Come on! You havent been to a dinner date you are already in his office chair! Is he ya business partner? It doesnt make sense! Mimi mabwana zangu hawajuagi nafanya wapi wala nini! Usiendekeze, siku mkitibuana anakuja kuleta scene ofisini unadhalilikaje! Its very unprofessional! Ile sehemu ya kazi bana! Chezea mshahara wangu usichezee kazi yangu.

Secondly you should have busted his bubble too quickly! Could have given him a chance to show what he got! You could have been surprised dear!

All in all nakufundisha 1 thing about men lies! THE BIGGER THE LIE THE EASIER YOU WILL BELIEVE IT!!!!! Ukiona his story isnt attractive and you dont seem to like it at all, there is a possibility THE DUDE IS ACTUALLY TELLING THE TRUTH.

Oooooops! We wont find out! Aouchhhhhhhhhh!

Hapo tu ndo napokupendeaga mamaa!
 
Back
Top Bottom