Namna mpya ya kutongoza mjini hapa - wanaume mna mambo!

Namna mpya ya kutongoza mjini hapa - wanaume mna mambo!

Mimi mabwana zangu hawajuagi nafanya wapi wala nini! Usiendekeze, siku mkitibuana anakuja kuleta scene ofisini unadhalilikaje! Its very unprofessional! Ile sehemu ya kazi bana! Chezea mshahara wangu usichezee kazi yangu.

Aisee! Huu ni ujasirimalia ama? Wanaume inasemekana ni wachache hivyo waachie na wenzio!
 
Huyo jamaa kafunga safari mpaka Bagamoyo halafu hajala mzigo? Sema ukweli wako...
 
kabisa!!!!!! Tena wanaume kama hao wanaojishebedua ndio wakukwanguliwa kisawasawa, mpaka unahakikisha unamuachia hela ya wese tu tena ya siku moja......... Watu wanataka kupendwa yeye analeta magumashi na misifa isiyo yalazima!!!!!!!!


Wewe huyu!!!!

Hili joto hasiraaaa...
 
Whaaaaaaaaaaaat! Wewe nawe pupa nyingi sanaaa! Hata hujafika mwisho ushastuka na ku doubt! Mambo mazuri hayaendi kwa watu wenye kujihisi na kutia shaka! Mambo mazuri yanaenda kwa watu wenye roho za kutu!!!!

Afu Come on! You havent been to a dinner date you are already in his office chair! Is he ya business partner? It doesnt make sense! Mimi mabwana zangu hawajuagi nafanya wapi wala nini! Usiendekeze, siku mkitibuana anakuja kuleta scene ofisini unadhalilikaje! Its very unprofessional! Ile sehemu ya kazi bana! Chezea mshahara wangu usichezee kazi yangu.

Secondly you should have busted his bubble too quickly! Could have given him a chance to show what he got! You could have been surprised dear!

All in all nakufundisha 1 thing about men lies! THE BIGGER THE LIE THE EASIER YOU WILL BELIEVE IT!!!!! Ukiona his story isnt attractive and you dont seem to like it at all, there is a possibility THE DUDE IS ACTUALLY TELLING THE TRUTH.

Oooooops! We wont find out! Aouchhhhhhhhhh!

aisee wewe kiboko...you sound as if you dont stay in this planet my dear...are you from amazon jangle or pluto? Let me tell you something lara, "You preach water while you drink wine"
 
Tatizo pesa siyo priority yangu kivileeeeee!!!!
Napenda kupendwa na kupenda na kujaliwa na kujali.

Huyu jamaa alifanya kosa kubwa sana la kiufundi alipokutembelea Bagamoyo na kosa hili atalijutia maisha yake yote!

Siku anakuja Bagamoyo angechukua motokali hata ya kukodi na pesa za kutosha angekula mzigo kiulaini kabisa!

Ma sister du wa Pwani kwa motokali kama vile wamelogwa!
 
Hiyo aina yetu ya kizamani ilikuwa babu kubwa of course...

Ila naomba tu nikuulize swali, ilikuaje hadi ukamruhusu akufuate Bagamoyo?
Hahahaah! Mkuu mbona unafukunyua sana?
 
tamu chungu.
Mara nyingi ukimkuta mwenye sifa hizo na hajaoa elewa either complicator au kuna tatizo atakua nalo.
 
Hiyo aina yetu ya kizamani ilikuwa babu kubwa of course...

Ila naomba tu nikuulize swali, ilikuaje hadi ukamruhusu akufuate Bagamoyo?

Na namba yake huyo mwanamume aliipata wapi? Mtongozwa, angoje kuuawa.
 
Huyo jamaa sio mjanja,ningekua tapeli huyo usingechomoka ng'oo!
 
yaani mimi kukutajia na migari na mijumba harafu nikakufuata bagamoyo leo umeleta jf, ulitaka nikutongozeje sasa, wanawake wengine bwana
Sifa nyiingi Lara1, kwa hiyo nikambembeleze tena!!!! Naogopa jamani! Dar hii lara1. Ntamtafuta tena basi alaf nita ku pm
 
Back
Top Bottom