Namna mpya ya kutongoza mjini hapa - wanaume mna mambo!

Namna mpya ya kutongoza mjini hapa - wanaume mna mambo!

hata kama ungekuwepo,si kaja mwenyewe

btn umepotea vilee
ah ah ah ah! kwa hiyo akiingia kichwa kichwa lazima aumie? si unajua mji umechafuka huu ukila vya watu ukakimbia ujue tindikali ipo! mm nipo best mwaliko tu hukunipa.
 
Hapana, kazi aliyo itaja na cv na ma asset aliokuwa nao na nikatamani nimwone anafananaje!
Nilikuwa na confidence coz of frends

Tempted to touch uunh....

Anyway kuthaminisha muhimu for shizzle...unaweza uziwa meee bila kamba...
 
Okay then. Will kip it cool. Akinitafuta tena nitajaribu kwenda polepole.
Hahahaha, huyo ndege anaelekea kuruka huyo. Je naye kama ni MMU member, unatarajia atakutafuta kwa wema? Lililo muhimu hilo litakuwa somo kwa ndege mwingine hutamrushia jiwe mapema.
 
Hahahaaaaaaaaaaaaa! Kwani yeye ndo hapendi mipochi na pair 50 za viatu? Embu muwache Baby yake nani sijui kule chitchat.

mweee pair 50! baby wake muulize atakwambia mm alinificha maana anavyowindwa hadi watu wanaanzisha thread eti juu yake!
 
Hahahaha, huyo ndege anaelekea kuruka huyo. Je naye kama ni MMU member, unatarajia atakutafuta kwa wema? Lililo muhimu hilo litakuwa somo kwa ndege mwingine hutamrushia jiwe mapema.

Atarudi tuu wala sina haraka!!! Kama ipo ipo tuuu
 
watu8, mwee sitafuti mume wala bwana JF

lol sikuwa na maana hiyo...
halafu hata mimi nilikua na mpango wa kukutafuta unipeleke bichi za bwagamoyo....ila sasa kama ishu zenyewe ndo hizi cataliya za kurushana humu hahah
 
wewe kwenda ofisin kwake ndio hadi utoe notice au ulimaanisha nini!!!!!!!

vidume kama hao you chop their money and Off you go aii!!!!!!

wewe unapenda vya mteremko, nguvu ya mtu hailiwi, ukila chake nawe utaweka chako kiliwe.
 
Mbona sijaona hiyo namna mpya ya kutongoza/kutongozwa zaidi ya wewe kueleza ulivyokula idd na rafiki zako... Sijielewi labda uzee unanikwaza naomba vijana wa humu mnikosoe kama kuna alipotoa jipya.
Hata mie sijaona
 
Whaaaaaaaaaaaat! Wewe nawe pupa nyingi sanaaa! Hata hujafika mwisho ushastuka na ku doubt! Mambo mazuri hayaendi kwa watu wenye kujihisi na kutia shaka! Mambo mazuri yanaenda kwa watu wenye roho za kutu!!!!

Afu Come on! You havent been to a dinner date you are already in his office chair! Is he ya business partner? It doesnt make sense!Mimi mabwana zangu hawajuagi nafanya wapi wala nini! Usiendekeze, siku mkitibuana anakuja kuleta scene ofisini unadhalilikaje! Its very unprofessional! Ile sehemu ya kazi bana! Chezea mshahara wangu usichezee kazi yangu.

Secondly you should have busted his bubble too quickly! Could have given him a chance to show what he got! You could have been surprised dear!

All in all nakufundisha 1 thing about men lies! THE BIGGER THE LIE THE EASIER YOU WILL BELIEVE IT!!!!! Ukiona his story isnt attractive and you dont seem to like it at all, there is a possibility THE DUDE IS ACTUALLY TELLING THE TRUTH.

Oooooops! We wont find out! Aouchhhhhhhhhh!

Hiyo Red Wangapi Hao....duh Lazima watu wafe.
 
We si ndio unapendaga ndululu....haya sasa umeona wanaume wenye ndululu walivyo na shobo?

huyo asingenipata....na mabobish yote hayo wa hivyo.....NO......ila Dr naogopa mwenzio........
 
Okay then. Will kip it cool. Akinitafuta tena nitajaribu kwenda polepole.

inaonyesha wazi kbsa huna msimamo lara kakukamata maskio unatka kurudisha majeshi au ushakolea kwa mshikaji funguka
 
jaman hizi pesa, catalia sema tu jamaa hakua bby face nn ndo mana ukampotezea .......ila kwa initial explanation zako Jamaa baada ya kumwona ndo ikawa balaaa!! something s behind u don't tell us
 
wewe kwenda ofisin kwake ndio hadi utoe notice au ulimaanisha nini!!!!!!!

vidume kama hao you chop their money and Off you go aii!!!!!!

kabisa!!!!!! Tena wanaume kama hao wanaojishebedua ndio wakukwanguliwa kisawasawa, mpaka unahakikisha unamuachia hela ya wese tu tena ya siku moja......... Watu wanataka kupendwa yeye analeta magumashi na misifa isiyo yalazima!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom