Namna Faza Nelly alivyouawa kwa kuchomwa visu 9

Unaweza kutoa uthibitisho?
Prof J alikuwa akisoma Lutengano, Tukuyu wilayani Rungwe, kuna sehemu yoyote tunaweza kufanya exactly tracing ya kuanzishwa kwa HBC?
Prof J alijiunga HBC, hakua miongoni mwa waanzilishi. HBC imekuwepo toka enzi za Diplomatz na wengine. Mwaka 1999 kuelekea 2000 (mwaka waliotoa album yao ya Funga Kazi) ndipo HBC na Prof J walipoteka nyoyo za Mashabiki kwa track ya Chemsha Bongo ambapo ilifungua rasmi ukurasa wa Rap na Bongo fleva Tanzania.

Ukisoma articles, X Plastaz inaonekana ilianzishwa mwaka 1996 ingawa wengi waliifahamu miaka ya 2002/2004 kupitia ngoma zao kama AHA, Ushanta, Bamiza nk. Jamaa walikuwa na website iliyonyooka sana, walikua advanced.
 
Miaka hio walikua na website? basi walikua ahead of time
 
Fid
Prof J alijiunga HBC, hakua miongoni mwa waanzilishi. HBC imekuwepo toka enzi za Diplomatz na wengine. Mwaka 1999 kuelekea 2000 (mwaka waliotoa album yao ya Funga Kazi) ndipo HBC na Prof J walipoteka nyoyo za Mashabiki kwa track ya Chemsha Bongo ambapo ilifungua rasmi ukurasa wa Rap na Bongo fleva Tanzania.

Ukisoma articles, X Plastaz inaonekana ilianzishwa mwaka 1996 ingawa wengi waliifahamu miaka ya 2002/2004 kupitia ngoma zao kama AHA, Ushanta, Bamiza nk. Jamaa walikuwa na website iliyonyooka sana, walikua advanced.
Katika mwanza mwanza fid q anasema alianza rap kabla sugu hajatoa album, sasa jiulize sugu album ya kwanza katoa lini na fid tumemsikia lini?

Kwa kazi, wengi tumeanza kuwasikia HBC kabla ya X plastaz.
 
Prof J alijiunga HBC, hakua miongoni mwa waanzilishi. HBC imekuwepo toka enzi za Diplomatz na wengine. Mwaka 1999 kuelekea 2000 (mwaka waliotoa album yao ya Funga Kazi) ndipo HBC na Prof J walipoteka nyoyo za Mashabiki kwa track ya Chemsha Bongo ambapo ilifungua rasmi ukurasa wa Rap na Bongo fleva Tanzania.

Ukisoma articles, X Plastaz inaonekana ilianzishwa mwaka 1996 ingawa wengi waliifahamu miaka ya 2002/2004 kupitia ngoma zao kama AHA, Ushanta, Bamiza nk. Jamaa walikuwa na website iliyonyooka sana, walikua advanced.
Kwa jina la Yesu kila goti lipigwe
 
Back
Top Bottom