daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,427
- 3,325
Matapeli haoSiku hizi online business ndio kila kitu, kwa nini watu wapangane barabarani kusubiri wateja? FB, Twitter, JF, Telegram, Instagram, Badoo nk jamani msijipange njiani.
Matapeli haoSiku hizi online business ndio kila kitu, kwa nini watu wapangane barabarani kusubiri wateja? FB, Twitter, JF, Telegram, Instagram, Badoo nk jamani msijipange njiani.
Unamaanisha Cha Wene?Kuna waziri mmoja wa wizara fulani hivi, (ubini wake unaanza na jina la mnyama mkali Sana mla nyama porini) yeye ndo mteja mzuri Sana wa hao madada powa! Hupendelea Hadi "Threesome"
Wengine waaminifu wanafanya home delivery! Unalipa ukiona mzigoMatapeli hao
Simbachaw.....?Kuna waziri mmoja wa wizara fulani hivi, (ubini wake unaanza na jina la mnyama mkali Sana mla nyama porini) yeye ndo mteja mzuri Sana wa hao madada powa! Hupendelea Hadi "Threesome"
Lakini mtu akitoka kupata huduma kwa mhaya anakuwaga na Soni uso mzima. Utamkuta mikono mfukoni huku amejiinamia taratibu huyooo....Wale wanasaidia sana hususani Dodoma sahivi!
Pia kuzini na kufanya ukahaba ni vitu viwili tofauti.Tatizo la bandiko lako ni hapo ulipomhususha Yesu na kahaba. Humu JF tuko watu wa imani tofauti, hivyo nashauri unapoingiza Mitume wa Mungu au nukuu ya kitabu vitakatifu basi isiwe kwa kubuni.
Biblia inataja kahaba sehemu mbali mbali, bali unapoelezea wewe ni mwanamke aliyekutwa akizini. Hakumfuata wala kumgusa Yesu, bali aliletwa na waliomfumania ili kuona Yesu atatoa hukumu gani.
Atakayetaka kusoma kisa hicho kipo katika Yohana (John) 8.
Sent from my LM-Q710(FGN) using JamiiForums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38]Kuna waziri mmoja wa wizara fulani hivi, (ubini wake unaanza na jina la mnyama mkali Sana mla nyama porini) yeye ndo mteja mzuri Sana wa hao madada powa! Hupendelea Hadi "Threesome"
Labda kama ni kweliWengine waaminifu wanafanya home delivery! Unalipa ukiona mzigo
Aisee!!!Unamaanisha Simbachamwene anakulaga?
Kwa hiyo nani anafanania?.Duu mambo haya mbona hafananii
Mamndenyi,sijakuelewa bado!,Unasema...??Wengine mnachangia tu hamjui mama zenu walijiuza na sasa mna degree na PhD, nyoko zenu
1. Wewe ni mteja waoZunguka duniani kote!
Biashara ya ukahaba ipo tangu enzi za mitume!
Hata Yesu mwenyewe katika pitapita zake mtaani Aliwahi kukutana na kisa Cha kahaba! , Ni pale kahaba alipo busu miguu ya Yesu na kumfuta kwa nywele zake,...Ni pale alipowaambia wale sungusungu
...."Ambae hajawahi kutenda dhambi awe wa kwanza kumipiga jiwe mwanamke huyu....
Hivyo kahaba walikuwapo na wataendelea kuwapo!
TATIZO
Tatizo halipo kwenye ukahaba wao, Bali lipo kwenye Eneo ambalo wanafanyia ukahaba wao ambako Ni machoni pa watu (jamii!)
Hivyo makahaba endapo kama Wizara ya Afya ingeweza kuwapa semina elekezi na kuwapatia leseni ya namna ya kutafta faragha au watengewe maeneo maalum (mfano; ghorofa ya juu ya majengo malefu, Soko maalum ambapo hakuna mwingiliano wa makazi ya watu (mfano Majengo ya machinga complex kule gorofani wapangishwe). hii itasaidia Sana kutokomeza madhara!!
Biashara ya ukahaba inasaidia wengi Sana tukianza kutajana humu hapatatosha!
Yamkini hata anaemkamata kahaba nae anaweza pewa rushwa ya papa! akatulia.
Ukahaba ni fursa Kama fursa zingine ALMRADI hawaibi Cha mtu!
NINI KIFANYIKE
Makahaba Ni waungwana Sana wataftiwe sehemu maalum walipe Kodi, Ingewezekana Manispaa za majiji kote nchini Yale Majengo yasiyotumika mnaweza kuyafanya kuwa eneo maalum Kwa kuweka viwango mbalimbali vya makahaba wenye leseni level, kwanza pale langoni watu wataingia kwa kuponi, pili mtapata Kodi ya leseni za makahaba mliowasajili!
Hivyo ndivyo wanavyofanya huko Duniani!
Ukiona Jambo linawateja tambua Kuna shida!
Sio mama zao tu hata wao unaweza kuta walijiuza ili CA isome vizur alipokuwa chuo na bado akajiuza ili apate kaziWengine mnachangia tu hamjui mama zenu walijiuza na sasa mna degree na PhD, nyoko zenu
Sasa utaelimishaje bila kusema na kuandika; NYANINAYO1. Wewe ni mteja wao
2. Huna imani ya kidini na staha ya kibinadamu kwa heshima ya kiafrika
Tunajua hata tusipo sema wataendelea kuwepo lakini hili si swala la kuanza kuelimisha jamii kuhusu kuruhusu huu upuuzi,we waache wawepo na shetani wao na ninyi wateja mbaki na shetani wenu na msijaribu kuijengea jamii taswira ya haki kuwepo kwa ukahaba.
Nasema hivi:...makahaba na wateja wao wote NYAANOKO
Kuyapeleka wapiNaomba kujua hivi dada zetu walioamua kujiuza wawapo kazini huwa wanakata mauno?
wanakata balaa, sio hawa wa viingereza vingiNaomba kujua hivi dada zetu walioamua kujiuza wawapo kazini huwa wanakata mauno?