Namna bora ya kutokomeza biashara ya ukahaba

Ukweli ni kwamba tunaishi kinafiki.Endapo umewahi kulipia huduma popote mbali ya mkeo nawe ni mzinzi.
Japo inaharibu sana kizazi hiki bei zipo chini sana kuanzia 500..... kutegemea soko,mhusika nikiwa gereji napata simulizi vijana wengi hawahitaji kuoa, wanahofia stress,garama,kuchapiwa nk.
Uwepo mjadala na mbinu kupandisha bei vijana wajipange kuona na kuwa na familia.
 
Kabisa
 
Mungu awape maisha marefu.
Sina la kusema zaidi[emoji23][emoji23]
 
HOJA IMEPITA.

2014 hiyo niko mwanza, jioni moja nikasema nisogee level 8 lounge gold crest kuna karaoke pale, nimempanga ticha mmoja kuwa awe standby naweza muita sehemu. Niko kwenye lift kabla haijaanza panda juu, ikaingia mamsap moja aise, nilidhani 'jini'. Kisu cha hatari, hewani kama futi 5 na nusu, rangi ya mtume [ugonjwa wangu], mwili ulio kataa kuwa mwembamba na kugoma kunenepa, kila sehemu ya mwili wake imepangika na kuonekana vyema. Sikua na haraka, hadi nijue anaelekea wapi. Tukajikuta destination moja. Nikafikia kaunta yeye akakaa kwenye meza ila iko karibu na kaunta, akaagiza heineken, mimi nagonga konyagi ndogo. Nikamwambia muhudum mpeleke chupa mbili, dem kufikishiwa akazitosa. Nikakausha kama dakika kumi, nikabeba nyagi yangu na kuhamia kwenye meza yake. Vinywaji vikaendelea, ticha nikamtext nimepata emergency. Dem hakucharge direct, ila alileta story ya shida ya 50k. Nikaelewa ndio charge yake. Sikutaka story. Value for money ilikuwepo. Asbh nikachukua na. Akaja kuwa mshkaji wangu sana!
 
Lakini mtu akitoka kupata huduma kwa mhaya anakuwaga na Soni uso mzima. Utamkuta mikono mfukoni huku amejiinamia taratibu huyooo....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Anajutia dhambi yake
 
Moja ya biashara kongwe hii
Haiwezi kufa...
Kuna mtu mmoja aliwafukuza makahaba wasikanyage kwenye club yake basi wateja
Wote nao walikimbia...
Lazima tujue jinsi ya kuishi na makahaba

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Zunguka duniani kote!
Biashara ya ukahaba ipo tangu enzi za mitume!
Hata Yesu mwenyewe katika pitapita zake mtaani Aliwahi kukutana na kisa Cha kahaba! , Ni pale kahaba alipo busu miguu ya Yesu na kumfuta kwa nywele zake,...Ni pale alipowaambia wale sungusungu
...."Ambae hajawahi kutenda dhambi awe wa kwanza kumipiga jiwe mwanamke huyu....

Hivyo kahaba walikuwapo na wataendelea kuwapo!

TATIZO
Tatizo halipo kwenye ukahaba wao, Bali lipo kwenye Eneo ambalo wanafanyia ukahaba wao ambako Ni machoni pa watu (jamii!)

Hivyo makahaba endapo kama Wizara ya Afya ingeweza kuwapa semina elekezi na kuwapatia leseni ya namna ya kutafta faragha au watengewe maeneo maalum (mfano; ghorofa ya juu ya majengo malefu, Soko maalum ambapo hakuna mwingiliano wa makazi ya watu (mfano Majengo ya machinga complex kule gorofani wapangishwe). hii itasaidia Sana kutokomeza madhara!!

Biashara ya ukahaba inasaidia wengi Sana tukianza kutajana humu hapatatosha!
Yamkini hata anaemkamata kahaba nae anaweza pewa rushwa ya papa! akatulia.

Ukahaba ni fursa Kama fursa zingine ALMRADI hawaibi Cha mtu!

NINI KIFANYIKE
Makahaba Ni waungwana Sana wataftiwe sehemu maalum walipe Kodi, Ingewezekana Manispaa za majiji kote nchini Yale Majengo yasiyotumika mnaweza kuyafanya kuwa eneo maalum Kwa kuweka viwango mbalimbali vya makahaba wenye leseni level, kwanza pale langoni watu wataingia kwa kuponi, pili mtapata Kodi ya leseni za makahaba mliowasajili!
Hivyo ndivyo wanavyofanya huko Duniani!

Ukiona Jambo linawateja tambua Kuna shida!
Wazo lako nimelipenda sana.
Tutafutiwe eneo zuri ambalo tunaweza lipia mapato ili tufanye biashara vizuri na kwa faida.
 
Biashara ni matangazo, ukiwaficha maghorofani nani atawaona! Yaleyale ya machinga complex yatajirudia! Hii biashara kwa kweli inawadhalilisha sana hawa wamama aisee!
 
Huyu mwamba ana machangudoa kila wilaya. Mmoja wa mademu zake ambaye amemzalisha ni kahaba fulani anaishi Kihonda Azimio Morogoro!
Kwahiyo hadi Kahaba jamaa anafumua Acapella 🤣🤣🤣
 
Wazo lako nimelipenda sana.
Tutafutiwe eneo zuri ambalo tunaweza lipia mapato ili tufanye biashara vizuri na kwa faida.
Assume Hilo eneo Ni Mwenge.
Sasa jamaa zako ama waif akikuuliza kwenye simu.
"Uko wapi" wewe utajibu je?
Au mtu akikuambia, aisee Jana nikikuona Mwenge.
Si utaua mtu.
Hii biashara ya utamu inataka kuwa handled with care
 
Hahahah
Hio ni kama huku ninakokaa...ukimwambia mtu tu, anakufikiria tofauti
 
Kwa wangu hata kama ni kuchukuwa kahaba huwa naona shida sana kuingia sehemu yenye ''soko'' rasmi la makahaba na kuchagua. Kwangu kahaba mzuri ni yule unakutana naye mitaani tu kikawaida tu.
 
Ukweli ni kwamba tunaishi kinafiki.Endapo umewahi kulipia huduma popote mbali ya mkeo nawe ni mzinzi.
Japo inaharibu sana kizazi hiki bei zipo chini sana kuanzia 500..... kutegemea soko,mhusika nikiwa gereji napata simulizi vijana wengi hawahitaji kuoa, wanahofia stress,garama,kuchapiwa nk.
Uwepo mjadala na mbinu kupandisha bei vijana wajipange kuona na kuwa na familia.
Jero ase.....

Nipe Code😂😂😂
 
Back
Top Bottom