Namna bora ya kutokomeza biashara ya ukahaba

Namna bora ya kutokomeza biashara ya ukahaba

Tafuta mwenza wa kudumu

Tatizo mwenza wakudumu ni yule ambaye unamkuta akiwa bikra ambayo kwa sasa kupatikana ni ngumu... Yaani ni ubahatishe.

Pili mie mwenyewe kwa jinsi nilivyoendesha maisha yangu nikiri ssistahili kuoa bikra... So wacha niendelee kugegedana na wazinzi wenzangu maana mie nimeshakuwa mwanachama wa kudumu.
 
Sema kweli kahaba ni mtu wa mhimu sana. Mfano Mimi huwa sihangaiki na vidada ili mradi niwe na pesa mfukoni tu, naenda najipatia huduma kwa Raha zoteeee.

Mungu awape maisha marefu
Uko sahihi kabisa hakuna stress ya mapenzi hakuna kuchitiwa

Hakuna usumbufu embu fikiria kama hawa wasingekuwepo kesi za ubakaji zingekuwa nyingi kuzidi India
 
Siku hizi online business ndio kila kitu, kwa nini watu wapangane barabarani kusubiri wateja? FB, Twitter, JF, Telegram, Instagram, Badoo nk jamani msijipange njiani.
 
Siku hizi online business ndio kila kitu, kwa nini watu wapangane barabarani kusubiri wateja? FB, Twitter, JF, Telegram, Instagram, Badoo nk jamani msijipange njiani.
Jf bado ila naamin ipo siku napo wataanza tu taratibu taratibu
 
Sema kweli kahaba ni mtu wa mhimu sana. Mfano Mimi huwa sihangaiki na vidada ili mradi niwe na pesa mfukoni tu, naenda najipatia huduma kwa Raha zoteeee.

Mungu awape maisha marefu
Mitaa gani huwa unaenda? Temeke Sudani, Sokota, Buguruni,. mwananyamala au Tandika?
 
Hii biashara hata mkawange haitaisha tena mkijaribu kupambana nao ndyo mnawaongezea value. Hii nisababu watabuni njia mpya za kujiuza tofaut na kujipanga barabarani. Nenda kwenye maclub na pubs. Uko ndyo unaingia unashindwa tofautisha nani malaya na nani sio. Wamejazana uko ndyo sokoni
 
Kuna siku nilikwenda maeneo flani nikakutana na kahaba mtamu siwahi ona kumbe na Lecturer wangu tulikuwa tunapikwa chungu kimoja siku ya siku tukafika pamoja sister akanambia mpishe mzee apige kimoja chake aniachie mafuba.

Mzee alipomaliza nikaoshewa kitu nikala utamu upo pale pale hakika wateja wao ni ainazote za vyeo na nyazifa watu huishia kujitungua tu.
Wewe ulilipa sh.ngapi na Lecturer wako alilipa sh.ngapi?
 
Mfano wako uliotoa kwenye biblia hauendani, ni kweli makahaba walikuwemo enzi na enzi na ni kweli kahaba alimbusu Yesu na kumpaka mafuta lakini kauli ya asiye na dhambi aanze kumtupia mawe ilitolewa kwa mwanamke aliyefumaniwa ambaye aliletwa na waliomfumania wakimkumbusha adhabu za mwanamke aliyefumaniwa kutoka kumbukumbu la torati
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Jinsi ya kufanya mapenzi salama Na changudoa/kahaba. Assume kuwa utakuwa naye lodge/guest kwa masaa 2 Na kuendelea. Tujuzane vya kufanya Na visivyo vya kufanya. Kama denda Na mambo mengine
 
Pembezoni ya uwanja wa CCM Kirumba Mwanza ndo baraha baraha na majengo ya shule ya Msingi Kitangiri ni mwendo wa kwenye majani tuuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiende kwenye majan kama mtoto mkuu. Chukua wale wazuri wa kuanzia 5000 afu kalipie guest 5000 ufanye kitu kwa raha zako zotee. Au nende pale Antonio Hotel bei nafuu na wana vyumbaaa
 
Back
Top Bottom