Namna bora ya kutokomeza biashara ya ukahaba

Kuna watu wanaroho ngumu sana.

Mtu unafahamika unapataje ujasiri wa kufanya mambo ya hovyo,huoni kama yule mtu anakujua aisee ?
Hao wanawake wenyewe na nyota zao wanapigwa katerero sembuse wanaume kufanya hivo! Nyege zisikie tu usiombe
 
Zunguka duniani kote!
Biashara ya ukahaba ipo tangu enzi za mitume!
Hata Yesu mwenyewe katika pitapita zake mtaani Aliwahi kukutana na kisa Cha kahaba! , Ni pale kahaba alipo busu miguu ya Yesu na kumfuta kwa nywele zake,...Ni pale alipowaambia wale sungusungu
...."Ambae hajawahi kutenda dhambi awe wa kwanza kumipiga jiwe mwanamke huyu....

Hivyo kahaba walikuwapo na wataendelea kuwapo!

TATIZO
Tatizo halipo kwenye ukahaba wao, Bali lipo kwenye Eneo ambalo wanafanyia ukahaba wao ambako Ni machoni pa watu (jamii!)

Hivyo makahaba endapo kama Wizara ya Afya ingeweza kuwapa semina elekezi na kuwapatia leseni ya namna ya kutafta faragha au watengewe maeneo maalum (mfano; ghorofa ya juu ya majengo malefu, Soko maalum ambapo hakuna mwingiliano wa makazi ya watu (mfano Majengo ya machinga complex kule gorofani wapangishwe). hii itasaidia Sana kutokomeza madhara!!

Biashara ya ukahaba inasaidia wengi Sana tukianza kutajana humu hapatatosha!
Yamkini hata anaemkamata kahaba nae anaweza pewa rushwa ya papa! akatulia.

Ukahaba ni fursa Kama fursa zingine ALMRADI hawaibi Cha mtu!

NINI KIFANYIKE
Makahaba Ni waungwana Sana wataftiwe sehemu maalum walipe Kodi, Ingewezekana Manispaa za majiji kote nchini Yale Majengo yasiyotumika mnaweza kuyafanya kuwa eneo maalum Kwa kuweka viwango mbalimbali vya makahaba wenye leseni level, kwanza pale langoni watu wataingia kwa kuponi, pili mtapata Kodi ya leseni za makahaba mliowasajili!
Hivyo ndivyo wanavyofanya huko Duniani!

Ukiona Jambo linawateja tambua Kuna shida!
Wajitahidi tu wawe na siku za punguzo, maana siku hizi hela zimekimbia.
 
Muwaheshimu makahapa na kuwapa ujira wao mliopatana.
Wakati tunasoma Ihungo huko BK kulikua na wamama wengi tu wanajiuza. Sasa mwanafunzi akiona tezi dume imejaa huwa wanakwenda pale kupunguza.
Kwenye chumba Cha kahaba wa kihaya Kuna vitanda viwili, moja Cha business kingine Cha kwake, Kuna kibatari akiwa Hana mteja kinakaa nje Kama beacon kuashiria kwamba Kuna nafasi, pia Kuna karai/beseni Lina maji kipindi kile hakuna kondm ukisha maliza anaipiga mashine maji kuondoa ule uji uji uliomuachia. Hili karai linatumika siku nzima mpaka unaona Yale maji yamekua Kama tui la Nazi fulani halafu zito.
Baas bwana. Kuna jamaa mmoja form five sasa hivi Ni mwalimu mkuu hapa Dar es Salaam, alikwenda pale siku ya jumamosi baada ya msosi wa mchana na kuingia kwa wahaya na kuomba mchezo. Dogo akaulizwa pesa akasema hakuna wasiwasi anazo. Basi mmama akajilaza kile kitanda cha business na kufungua miguu. Enzi zile Hawa wadada walikua hawavai chupi. Dogo kwasababu alikua na ukame mkali Ile kuingiza tu hajakaa sawa akamwaga vitu. Dogo akasema hakubali lazima apewe raundi nyingine kwa kua Ile hakuifaidi vizuri. Mdada alijua huyu akipewa Cha pili tutashinda hapa. Mdada akakataa akasema kipimo Ni kumwaga. Ukimwaga tu raundi imeisha. Dogo akasema Basi halipi. Na kuanza kuvaa nguo zake na kuanza kufungua mlango atoke. Huku dogo Hana habari anataka kwenda kumkomesha kahaba mwingine yule mama alichukua Yale maji anayooshea mashine na siku Ile yalikua mazito kweli na kufumba na kufumbua akamwakia yule kijana kuanzia usoni, mbele mpaka suruali. Halafu akaanza kupiga alarm ili wenzake waje wamsaidie Kuna mteja mkorofi. Ndani ya dkk moja palikua hapatoshi. Dogo ameenea mananihii ya wateja waliomtangulia na amejaziwa watu mpaka wapita njia. Dogo ilibidi alipe fasta na kuitafuta njia ya shule huku amelowa, anazomewa na watoto na ananuka k.
ITAENDELEA........maana na kule shuleni alikua anasubiriwa na wanafunzi waliomuona akizomewa
 
Kuna watu wanaroho ngumu sana.

Mtu unafahamika unapataje ujasiri wa kufanya mambo ya hovyo,huoni kama yule mtu anakujua aisee ?
Yaani inasikitisha sana lakini ndiyo wamechagua maisha yakuishi hivyo !
 
Muwaheshimu makahapa na kuwapa ujira wao mliopatana.
Wakati tunasoma Ihungo huko BK kulikua na wamama wengi tu wanajiuza. Sasa mwanafunzi akiona tezi dume imejaa huwa wanakwenda pale kupunguza.
Kwenye chumba Cha kahaba wa kihaya Kuna vitanda viwili, moja Cha business kingine Cha kwake, Kuna kibatari akiwa Hana mteja kinakaa nje Kama beacon kuashiria kwamba Kuna nafasi, pia Kuna karai/beseni Lina maji kipindi kile hakuna kondm ukisha maliza anaipiga mashine maji kuondoa ule uji uji uliomuachia. Hili karai linatumika siku nzima mpaka unaona Yale maji yamekua Kama tui la Nazi fulani halafu zito.
Baas bwana. Kuna jamaa mmoja form five sasa hivi Ni mwalimu mkuu kwenye shule za vipaji maalum, alikwenda pale siku ya jumamosi baada ya msosi wa mchana na kuingia kwa wahaya na kuomba mchezo. Dogo akaulizwa pesa akasema hakuna wasiwasi anazo. Basi mmama akajilaza kile kitanda cha business na kufungua miguu. Enzi zile Hawa wadada walikua hawavai chupi. Dogo kwasababu alikua na ukame mkali Ile kuingiza tu hajakaa sawa akamwaga vitu. Dogo akasema hakubali lazima apewe raundi nyingine kwa kua Ile hakuifaidi vizuri. Mdada alijua huyu akipewa Cha pili tutashinda hapa. Mdada akakataa akasema kipimo Ni kumwaga. Ukimwaga tu raundi imeisha. Dogo akasema Basi halipi. Na kuanza kuvaa nguo zake na kuanza kufungua mlango atoke. Huku dogo Hana habari anataka kwenda kumkomesha kahaba mwingine yule mama alichukua Yale maji anayooshea mashine na siku Ile yalikua mazito kweli na kufumba na kufumbua akamwakia yule kijana kuanzia usoni, mbele mpaka suruali. Halafu akaanza kupiga alarm ili wenzake waje wamsaidie Kuna mteja mkorofi. Ndani ya dkk moja palikua hapatoshi. Dogo ameenea mananihii ya wateja waliomtangulia na amejaziwa watu mpaka wapita njia. Dogo ilibidi alipe fasta na kuitafuta njia ya shule huku amelowa, anazomewa na watoto na ananuka k.
ITAENDELEA........maana na kule shuleni alikua anasubiriwa na wanafunzi waliomuona akizomewa
[emoji849][emoji849][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] hivi akikumbuka huwa anajisikiaje jamani?
 
Hao wanawake wenyewe na nyota zao wanapigwa katerero sembuse wanaume kufanya hivo! Nyege zisikie tu usiombe
Kwahiyo zikipanda lazima kutafuta pakuzitolea au ? Kwani hakuna kujizuia?
 
Muwaheshimu makahapa na kuwapa ujira wao mliopatana.
Wakati tunasoma Ihungo huko BK kulikua na wamama wengi tu wanajiuza. Sasa mwanafunzi akiona tezi dume imejaa huwa wanakwenda pale kupunguza.
Kwenye chumba Cha kahaba wa kihaya Kuna vitanda viwili, moja Cha business kingine Cha kwake, Kuna kibatari akiwa Hana mteja kinakaa nje Kama beacon kuashiria kwamba Kuna nafasi, pia Kuna karai/beseni Lina maji kipindi kile hakuna kondm ukisha maliza anaipiga mashine maji kuondoa ule uji uji uliomuachia. Hili karai linatumika siku nzima mpaka unaona Yale maji yamekua Kama tui la Nazi fulani halafu zito.
Baas bwana. Kuna jamaa mmoja form five sasa hivi Ni mwalimu mkuu kwenye shule za vipaji maalum, alikwenda pale siku ya jumamosi baada ya msosi wa mchana na kuingia kwa wahaya na kuomba mchezo. Dogo akaulizwa pesa akasema hakuna wasiwasi anazo. Basi mmama akajilaza kile kitanda cha business na kufungua miguu. Enzi zile Hawa wadada walikua hawavai chupi. Dogo kwasababu alikua na ukame mkali Ile kuingiza tu hajakaa sawa akamwaga vitu. Dogo akasema hakubali lazima apewe raundi nyingine kwa kua Ile hakuifaidi vizuri. Mdada alijua huyu akipewa Cha pili tutashinda hapa. Mdada akakataa akasema kipimo Ni kumwaga. Ukimwaga tu raundi imeisha. Dogo akasema Basi halipi. Na kuanza kuvaa nguo zake na kuanza kufungua mlango atoke. Huku dogo Hana habari anataka kwenda kumkomesha kahaba mwingine yule mama alichukua Yale maji anayooshea mashine na siku Ile yalikua mazito kweli na kufumba na kufumbua akamwakia yule kijana kuanzia usoni, mbele mpaka suruali. Halafu akaanza kupiga alarm ili wenzake waje wamsaidie Kuna mteja mkorofi. Ndani ya dkk moja palikua hapatoshi. Dogo ameenea mananihii ya wateja waliomtangulia na amejaziwa watu mpaka wapita njia. Dogo ilibidi alipe fasta na kuitafuta njia ya shule huku amelowa, anazomewa na watoto na ananuka k.
ITAENDELEA........maana na kule shuleni alikua anasubiriwa na wanafunzi waliomuona akizomewa
Shule za vipaji maalum zipo 4 tu, mbona unamdhalilisha Mheshimiwa?
 
Kwahiyo unataka kusema namna Bora ya kutokomeza makahaba ni kuwarasmisha?ww ni mjinga
 
1. Wewe ni mteja wao

2. Huna imani ya kidini na staha ya kibinadamu kwa heshima ya kiafrika

Tunajua hata tusipo sema wataendelea kuwepo lakini hili si swala la kuanza kuelimisha jamii kuhusu kuruhusu huu upuuzi,we waache wawepo na shetani wao na ninyi wateja mbaki na shetani wenu na msijaribu kuijengea jamii taswira ya haki kuwepo kwa ukahaba.

Nasema hivi:...makahaba na wateja wao wote NYAANOKO
Nyanoko nuu Bhebhe Ngosha
 
Back
Top Bottom