Namna bora ya kutokomeza biashara ya ukahaba

Namna bora ya kutokomeza biashara ya ukahaba

Hakuna kitu napenda kama kahaba[emoji3][emoji3] naonaga kuliko kumsaliti mpenzi wangu akiwa mbali bora nikanunue kahaba ili tusifatiane afu nikirudi kwa mama watoto wangu unakuta mambo yapo sawaaa
 
Tatizo la bandiko lako ni hapo ulipomhususha Yesu na kahaba. Humu JF tuko watu wa imani tofauti, hivyo nashauri unapoingiza Mitume wa Mungu au nukuu ya kitabu vitakatifu basi isiwe kwa kubuni.

Biblia inataja kahaba sehemu mbali mbali, bali unapoelezea wewe ni mwanamke aliyekutwa akizini. Hakumfuata wala kumgusa Yesu, bali aliletwa na waliomfumania ili kuona Yesu atatoa hukumu gani.

Atakayetaka kusoma kisa hicho kipo katika Yohana (John) 8.

Sent from my LM-Q710(FGN) using JamiiForums mobile app
 
Nahunga mkono hoja


Sahivi kama hauna hela au kipato kizuri huwez tumia dettol
 
Sema kweli kahaba ni mtu wa mhimu sana. Mfano Mimi huwa sihangaiki na vidada ili mradi niwe na pesa mfukoni tu, naenda najipatia huduma kwa Raha zoteeee.

Mungu awape maisha marefu

Yaani unakuwa na life simple bila stress zakijinga... Unagegeda huyooo unaendelea na shughuli zako za kusaka ndalama.
 
Pembezoni ya uwanja wa CCM Kirumba Mwanza ndo baraha baraha na majengo ya shule ya Msingi Kitangiri ni mwendo wa kwenye majani tuuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom