Namna bora ya kutokomeza biashara ya ukahaba

Namna bora ya kutokomeza biashara ya ukahaba

Zunguka duniani kote!
Biashara ya ukahaba ipo tangu enzi za mitume!

Hata Yesu mwenyewe katika pitapita zake mtaani Aliwahi kukutana na kisa Cha kahaba! , Ni pale kahaba alipo busu miguu ya Yesu na kumfuta kwa nywele zake,...Ni pale alipowaambia wale sungusungu

...."Ambae hajawahi kutenda dhambi awe wa kwanza kumipiga jiwe mwanamke huyu....

Hivyo Ukahaba Ulikuwapo, Upo na utaendelea kuwapo!

Halafu pia, Ngono ni HIARI na inalindwa na SHERIA ya faragha!
NI KOSA KISHERIA KUMKAMATA MTU ALIYEJIFUNGIA AKIFANYA NGONO vinginevyo uwe na kidhibitisho cha ndoa!

TATIZO
Tatizo halipo kwenye ukahaba wao, Bali lipo kwenye Eneo ambalo wanafanyia ukahaba wao ambako Ni machoni pa watu (jamii!)

Hivyo makahaba endapo kama Wizara ya Afya ingeweza kuwapa semina elekezi na kuwapatia leseni ya namna ya kutafta faragha au watengewe maeneo maalum (special area) (mfano; ghorofa ya juu ya majengo malefu mijini, Soko maalum ambapo hakuna mwingiliano wa makazi ya watu (mfano Majengo ya machinga complex kule gorofani wapangishwe). hii itasaidia Sana kutokomeza madhara!!

Biashara ya ukahaba inasaidia wengi Sana tukianza kutajana humu hapatatosha!

Yamkini hata anaemkamata kahaba nae anaweza pewa rushwa ya papa! akatulia.

Huko DODOMA Mabosi kibao mnaruka na kahaba!

Ukahaba ni fursa Kama fursa zingine ALMRADI hawaibi Cha mtu!

NINI KIFANYIKE
Makahaba Ni waungwana Sana wataftiwe sehemu maalum walipe Kodi, Ingewezekana Manispaa za majiji kote nchini Yale Majengo yasiyotumika mnaweza kuyafanya kuwa eneo maalum Kwa kuweka viwango mbalimbali vya makahaba wenye leseni level, kwanza pale langoni watu wataingia kwa kuponi, pili mtapata Kodi ya leseni za makahaba mliowasajili!
Hivyo ndivyo wanavyofanya huko Duniani!

Ukiona Jambo linawateja tambua Kuna shida! MARUFUKU NA KAMATAKAMATA HAISAIDII!

Hawa watu wanahitaji tiba ya kisaikolojia zaidi kuliko mitutu ya Bunduki!
Miaka mingi iliyopita nilikuwa kwenye mji 1 nchini canada. Makahaba barabarani walipungua sana. Walianzisha system ya kuwakamata wanunuaji. Ukikamatwa mara ya 1, unalipa fine, ukikamatwa mara ya 2, gari inachukuliwa mwezi 1, ukikamatwa mara ya 3, gari inataifishwa . Wateja walipopungua, basi na wao wakapungua sana kusimama barabarani.
 
Makahaba wazungu
 
Shehe wangu Sasa huku mtu anaekwenda kununua uroda wa buku au jero utamtaifishia Nini?
Labda huyo abdala kichwa wazi.
 
Shehe wangu Sasa huku mtu anaekwenda kununua uroda wa buku au jero utamtaifishia Nini?
Labda huyo abdala kichwa wazi.
Point hapa ni kuwathibiti wanunuzi na sio wanaojiuza. Sasa kibongo bongo , labda kulala ndani siku 1, mfano
 
Point hapa ni kuwathibiti wanunuzi na sio wanaojiuza. Sasa kibongo bongo , labda kulala ndani siku 1, mfano
Unamlaza ndani kwa kosa gani? Baadae nyienyie ndo mnakuja kusema udikiteta!

Sheria ya faragha iheshimiwe!

Picha za pm ziliposambaa watu walitaftana, sasa Leo unamuweka ndani anaropoka kuwa hata mkuu ananilalaga utajibu nini
 
Point hapa ni kuwathibiti wanunuzi na sio wanaojiuza. Sasa kibongo bongo , labda kulala ndani siku 1, mfano
Wazo lako zuri tatizo huwajui wanaonunua utamu wa jero.
Ungekua umashawahi kufika uwanja wa fisi labda ungenielewa. Uwanja wa fisi Tandale Ni city within a city.
Pale pande la nyama la kushiba mtu Ni buku.
Unaweza ukamuomba bar maid uroda akakuambia. " Nisubiri hapo chocho nampelekea jamaa pombe yake,". Akishafikisha pombe kweli anakupa chuma mboga chap na kurudi kuendelea kuuza pombe.
Hiyo pombe Kama Ni Bei mbaya sana Basi Ni jero.
Watu design hiyo hata uwalaze central wiki Ni kazi bure.
Uwanja wa fisi ulikuwepo tangu miaka ya 80 mpaka leo.
Pale hakuna Sheria, bhangi inauzwa wazi kabisa. Gongo ndio k vant yao..
 
Sema kweli kahaba ni mtu wa mhimu sana. Mfano Mimi huwa sihangaiki na vidada ili mradi niwe na pesa mfukoni tu, naenda najipatia huduma kwa Raha zoteeee.

Mungu awape maisha marefu
Hutaki stress za kijinga 🤣🤣🤣🤣
 
Kuna siku nilikwenda maeneo flani nikakutana na kahaba mtamu siwahi ona kumbe na Lecturer wangu tulikuwa tunapikwa chungu kimoja siku ya siku tukafika pamoja sister akanambia mpishe mzee apige kimoja chake aniachie mafuba.

Mzee alipomaliza nikaoshewa kitu nikala utamu upo pale pale hakika wateja wao ni ainazote za vyeo na nyazifa watu huishia kujitungua tu.
Mh ! Huyo lecturer naye alikuwa kajichokea, ama wewe ndiye mwenye tatizo.

Mbususu ichezewe na mtu kama mimi tena nikiwakm na kinyongo cha kutozwa pesa halafu uoshewe kusha uikute bado na 'ph' yake halafu uinjoi na uridhike, thubutuu!

Sijawahi kusikia hilo jambo, nimeanzia kwako.
 
Ngapi huko injiniaa?
 
Back
Top Bottom