Namna bora ya kutokomeza biashara ya ukahaba

Sema kweli kahaba ni mtu wa mhimu sana. Mfano Mimi huwa sihangaiki na vidada ili mradi niwe na pesa mfukoni tu, naenda najipatia huduma kwa Raha zoteeee.

Mungu awape maisha marefu
Wanasaidia kubalance mambo.bila wao ubakaji ungeoongezeka Sana mijini.
 
stend mpya mwenge wangewajengea hapo, maana wako karibu na meeda na kona baa, tena wazuri kinoma, ambaye hajawahi kumla kahaba hayupo humu, wewe ukimla mhudumu wa baa naye ni kahaba tuu
 
Sex ni ibada pia na unapo sex unaingia agano na huyo unae sex nae ndio maana ukikaanza ako kamchezo kuacha si rahisi maana si rahis kuyavunja hayo maagano.
Ni ibada kwa kitabu kipi Cha Mungu,? Biblia au Coran, hebu nifundishe nijue Mkuu.
 
Badilisha heading sasa, maana hii sio njia ya kutokomeza, bali ni kuiboresha zaidi
 
Ni ibada kwa kitabu kipi Cha Mungu,? Biblia au Coran, hebu nifundishe nijue Mkuu.
Ibada sio mpaka iandikwe kwenye biblia ama koran.
Je unajua kwann imeandikwa mwanaume akitokwa na ushawa wake amekuwa najisi na kila atachokigusa kimekuwa najisi
 
Kuwa najisi kunatokana na tendo kutendeka. Siyo kila tendo Ni ibada Mkuu. Ndiyo maana nikauliza kuwa kwanini unasema Ni ibada.? Badala ya kunifafanulia unakuwa Evasive. Hapa kuuliza siyo mtu anabisha Mwingine anauliza ilikufahamu. Mimi sifahamu Kama Hilo tendo linaamount kwenye ibada. Ukinifafanulia itapendeza zaidi.
 
Binafsi Nilikuwa Nawaogopa lakini Nilipoonja siku moja Nikagundua ni watamu balaa tena hata mechi ya Nyumbani haigusi tena Nikimwona mchana Najiona sistahili lakini ni noma

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna waziri mmoja wa wizara fulani hivi, (ubini wake unaanza na jina la mnyama mkali Sana mla nyama porini) yeye ndo mteja mzuri Sana wa hao madada powa! Hupendelea Hadi "Threesome"
Duh. Jambo la wenyewe hilo
 
Kuna waziri mmoja wa wizara fulani hivi, (ubini wake unaanza na jina la mnyama mkali Sana mla nyama porini) yeye ndo mteja mzuri Sana wa hao madada powa! Hupendelea Hadi "Threesome"
Yuko pia mkuu wa mkoa fulani mtoto wa mjini sana mtu wa matukio. Nayependa sana Dada utamu.
 
Wakati Nyerere Ni rais wa nchi hii, makahaba wengi walikua Ni wahaya. Walikua pale ilipo jengo la Red Cross pale NSSF, Livingstone, Kidongo chekundu, Mantheysay, Msasani, M'nyamala, Buguruni, Temeke Sudan na pale ilipo TBS kwa ajili ya wanafunzi wa mlimani. Mkuu wa mkoa kipindi hicho alikua Ni mhaya, sasa Dada zake Hawa walikua wanamuaibisha. Basi kwa kutumia madaraka yake akaanza mchakato wa kuwafukuza na kuwarudisha BK. Nyerere aliposikia huo ujinga alimuita na kumuuliza. Jamaa kajitetea kwamba wanaharibu sifa ya jiji. Nyerere alimpiga swali moja tu. Je UKISHAWAFUKUZA MAKAHABA JIJINI DAR WATEJA WAO UTAWAPA ALTERNATIVE GANI?
jamaa aliishiwa nguvu na kuacha. Sasa Makonda nae hata elimu ya msingi hakupata vizuri Naye eti alikua anawapiga Vita mahaba.
 
Wale wanasaidia sana hususani Dodoma sahivi!
 
Back
Top Bottom