Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Mwl gfsonwin hongera sana! Am proud of you aisee!

Kuongea kwenye kadamnasi kutasaidia kidogo kupunguza hilo gape la kummiss shem!

Hila inabidi utafute muda uende kumtembelea bhana yani mwaka mzima lazima hata yeye ame kumiss pia! Fanyafanya mwl!
Hii itasaidia kulinda ndoa yako!

Aisee i wish wanawake wote wangekuwa hivi!
asante sana kaka
ngoja nizichange niende nikalee ndoa lolz!
 
He he he, do ze nidful, ikolojia inakuhitaji

Mie kibua siwezi kula kambale :eyeroll1:
hahahhahah! nahitaj mchango wako japozifike $2,250 wasilisha kwa mhazini wangu Kaunga
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha, kuna ubwabwa chukuchuku

Kama vipi twende koko bichi, elfu 2 inatutosha sana

ubwabwa wa chukuchuku kwi kwi kwi.
aisee nimeovadrafuti mushahara; naomba lifti ya wikiendi. watoto wakiniona mapema hivi home hawakawii kuniuliza kama naumwa.
 
haoni mimi nimekuwa msomaji tu lol Kongosho noooma mh ila cant wear your shoes kwani ile miezi 3 haijakwisha.

anachokifanya huko hakimruhusu kuwa na familia kwasasa mpaka baada ya muda kidogo.
 
haoni mimi nimekuwa msomaji tu lol Kongosho noooma mh ila cant wear your shoes kwani ile miezi 3 haijakwisha.
Nimefanyaje jamani?
Nampa kampani ya mdomoni gfsonwin, hiki kipupwe cha leo kimeamsha maruhani yalolala

hahahhahah! nahitaj mchango wako japozifike $2,250 wasilisha kwa mhazini wangu Kaunga
Unapokea madafu?
 
mamiiiiiiiiiiiiiii weeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mbavu zangu khaaaaaa!
hivi imekuwaje kwanza ukamkumbuka sikamona??

Mmh, basi tu, ujue haya mambo yanaleta akili sana

unajua hata ya kichina kuna origino na feki
sasa hapa utakutana na feki za kichina.

we acha tu, bora uchunge mapema

hahaha nimeona kinyume chake, ref Kongosho apo juu lol

seriously kwani Da Sophy ana issue na gfsonwin au ni sawa na ungesema snowhite tu? #justthinking
He he he, mie simo, huyo DS namuogopa mno
 
Nimefanyaje jamani?
Nampa kampani ya mdomoni gfsonwin, hiki kipupwe cha leo kimeamsha maruhani yalolala

Unapokea madafu?

mmh! hali hii hadi masika iishe nitakoma.
konngosho hata za madafu napokea ishu ni pesa tu.
 
Haya masika lazima uyafanyie ufumbuzi
Aidha uende ama Kaizer namwona anataka kujifanya Marekani, anawachonganisha afu anatoa msaada upande mmoja.

mmh! hali hii hadi masika iishe nitakoma.
konngosho hata za madafu napokea ishu ni pesa tu.
 
Last edited by a moderator:
Mmh, basi tu, ujue haya mambo yanaleta akili sana

we acha tu, bora uchunge mapema

He he he, mie simo, huyo DS namuogopa mno

kumbe DS kiboko ya wengi enh!
basi kuna mwingine kaja na mada midume na mijike mingine nenda uupitie utaona cha moto humo mweeeeeeeeeeeh!
bora niendelee na ugumu wangu wa kulimiss zee lenzangu khaah!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom