tena ukimtundika la matiti yote mawili utamkomesha,
ila utakoma zaid wewe ukitundikwa mimba ambayo ipo tu na mtoto anacheza ila haizaliki.
hee hivi Kongosho ni mtaalam wa haya mambo??
mmmh! haya majimbo haya lolz!
sasa mbona ataumiza watu??
Hahahahaaaatena ukimtundika la matiti yote mawili utamkomesha,
ila utakoma zaid wewe ukitundikwa mimba ambayo ipo tu na mtoto anacheza ila haizaliki.
unaambiwa ukifika nyumbani ukamkuta mwanamke/mwanamke amefunga kitenge cha baba/mama yako basi huyo ndo baba/mama yako (hakunaga hawara apo)
Ni katika harakat za kumlinda Zombie
yaani hebu sema vzr hapa
huwez kumnunia mwanamke kama wewe ndo mwizi ama kama ndo unaibiwa??
Jamani, mwacheni ajilie vyake, kasotea sana ujue?
Miaka 7 si mchezo, yaani sasa hivi ananipika na kunipakua tu
Mie nimetulia tuli, kama mchele wa Kyela, anitie viungo haya, anile chukuchuku hewala