Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Kwani umezuiwa kupigana chagulaga na mumeo kama anavyotamani teacher?

Acha uchokozi kwa mali za bibi!

babu leo siku ya wanwake na ubaridi huu ndo lolz!
anaweza hata kubaka mtu njian.
 
Basi panda pipa uende aliko

Mie niliwahi aga kwa mwajiri 'naumwa na dispensari imevunjika, so nahitaji upasuaji'
Kumbe nimeifuata hapo Malawi tu

mmh! heri yenu wenye kusherehekea siku ya wanawake.
ila ni tamu kweli manake na haya mawingu plus per diem za maandamano mbona full kujiachia??
 
siyo leo tu tangu kwaresma ianze yeye habari yake ni vifanyio tu.
Halafu The secretary nilishakuambia usinizoee hukomi tu...???
:crying:Ingewezekana kukudunga busha ningeshakupa longtime sema ndio hivyo structure yako hairuhusu:crying:
 
Last edited by a moderator:
Heheheheee hivi mdomo unanuka eeeh lol
Ngoja niende zangu kwa ndofu moja ntarudi baadae nikiwa niko na memory zangu.
Waweza kuta na mimi nina stress za kummiss Amyner wangu maana ni mwezi sasa tangu tuonane!

khaaa! yaani ulivyoiandika sentensi ya kwanza nimeskia kichefuchefu khaaaaaaaaaaa!
baadae nikajua hivi kumbe ni utani khaaaa! maneno kama haya yasitangulie sentensi zako bana

btw najua leo siku ya mwanamke basi mtawatumia vyema wanawake wenu
 
Halafu The secretary nilishakuambia usinizoee hukomi tu...???
:crying:Ingewezekana kukudunga busha ningeshakupa longtime sema ndio hivyo structure yako hairuhusu:crying:

ukimdunga busha dunga la matiti na yeye anakudunga mimba sijui nani atataisha.
 
khaaa! yaani ulivyoiandika sentensi ya kwanza nimeskia kichefuchefu khaaaaaaaaaaa!
baadae nikajua hivi kumbe ni utani khaaaa! maneno kama haya yasitangulie sentensi zako bana

btw najua leo siku ya mwanamke basi mtawatumia vyema wanawake wenu
Heheheheee ulifumba mdomo?
Duh haya ngoja niwasiliane na swthrt aje nimtumie hadi siku ya wamama na wadada iishe!
Hivi mashoga wao siku yao ni leo au maana kwa wanaume hawamo na kwa wadada sijui kama wamo!
 
halafu sijui kwann akili zetu zimegongana, nimewaza the same juu ya mashoga but nikakonludi ni wanaume kijinsia ila tu kimatendo ni wanawake.
 
Heheheeee la matiti sio baya yan nakosa pa kulidunga!

tena ukimtundika la matiti yote mawili utamkomesha,
ila utakoma zaid wewe ukitundikwa mimba ambayo ipo tu na mtoto anacheza ila haizaliki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom