Bora na wewe umeona....
Hivi tulipowambia wababa kuwa ni marufuku kulia lia mbele za watu.....wadau wa upande wa pili tuliwambiaje??
Naomba unikumbushe.......
Kwa dizaini hii...wale wa miezi hadi mwaka watakuwa ICU....
Kweli ni mabadiliko ya tabia nchi yamemfikisha hapa mzee mwenzetu....??
Wapi FP na Kaizer??
Babu DC!!
linazamaje sasa wakati wazee wenzio tunafanya kikao hapa
hebu utusitutanie ala!:nono:
:nono::nono::nono:
ila babu wewe na snowhite siwawez mweeeeeeeeh!
Pole sana teacher gfsonwin,
Ila kweli hakuna mtu anayeweza kujiganga hata kwa mambo madongo.....
Yaani hata kwa technologia yote...mmeshindwa kumalizana???
Kazi kwelikweli....:A S shade::shut-mouth:
Babu DC!!
mi nashanga!
yani nashanga kabisaa!
mwali hivi kale kabegi ka ngozi si kapo
fanya utaratibu i see!
yani humo unaweka passport tuuuuu!
eti babu Dark City kwani ana haja ya kubeba nguo?
kwani anaenda kufanya kazi za flaviana matata,ala!
nina siku 4 sijacheka ila kwa post hii mnimejikuta nacheka thanks
Mkuu mwenzangu wa miaka 47 hii makitu ya technolojia umeyafahamia wapi tena lol
Ulipunguza level ya imani ya babu kwako....
Ipandishemo pandishemo kwanza...lol
Babu DC!!
Hizi ndo veto zangu mumiiii za kuishi na shosti maana hela za kumpa sina na mimi sio handsome.................(sijui nimejimwa zote)
Mimi huwa nachezea hisia zake tu kwa 1.kumpenda 2.kumbeleza 3.kumdekeza na 4.kumjali...................na mara zote napewa zawadi ya ushindi tena nabembelezewa
CC: Kongosho
Eti nini??
Unajua kwenye kwamba msiba hakunaga washangiliaji??
Babu DC!!
Babu acha kuchezea mapenzi...utashangaa mjukuu wako yuko hukuuuuu bila taarifa
Eti nini??
Unajua kwenye kwamba msiba hakunaga washangiliaji??
Babu DC!!