Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Ni poa tu,

Umesahau kwamba kuibiwa hakuhitaji ruhusa ya mwenye mali??

Babu DC!!!

Kwa mwizi nayetarajia kukamatwa taarifa muhimu babu coz najua lazma utanikamata na Arabela one day ndio maana nimebidi kukuarifu.
 
Last edited by a moderator:
Nashangaa sijui huu uzi umenipitaje?
Mwaya, ifuate huko iliko, ipandie hata ndege bana
Pesa makaratasi, hasara roho

Afu ya kuifungia safari hunoga,nna ka uzoefu hako.

kumbe watu wana experience tofauti tofauti humu enh!
 
Napia nmm naona ni hatua nzuri mliyofikia ya kumisiana coz inaimarisha penzi. mkikutana itakua kama ndio kwanza mnatongozana.

Sipati picha sijui itakuwaje siku hiyo!

Kulingana na mazingira watakayokuwepo vitu vingi vitaumia wakati wao wanafurahi kuonana..kama ni kwenye nyasi,nyasi zitapata shida maana watahug na kukumbatiana huku wakiruka ruka kwa furaha kwa muda na isivyo kawaida...kama itakuwa sehemu yenye watu wengi watakuwepo wenye kukereka maana furaha ya hawa watu itaakuwa kubwa na mara nyingi furaha ikizidi wanakuwepo wanaoona kama kero kwa wao waiohusika..na pia kama nyumbani kuna mifugo kama kuku,mbuzi and the like..inaweza kula kisu kwa mpigo kuhitimisha furaha..
Kwa kweli umbali si mzuri sana kwa wapendanao ila kupoteana kwa muda katika hali kama hii huleta faraja kubwa mnapokuja kuonana though ikiwa ni zaidi ya miaka 3 ni upweke unazidi..cha muhimu ni kuwa na mawasiliano ya mara kwa mara..at least twice/thrice in a week
 
khaaaaaaaaa! kuna vichwa jf i can't you lol!
 
Mwenzio anaomboleza halafu wewe unaanza kushangilia magoli ambayo hata hajui kama mpira unachezwa.....

Teacher anaomboleza mwenzio..

Babu DC!!

Ayaaaaaaaa pole sana ticha................mimi nimejua mwenzio yupo mbele kule ughaibuni anasaka chapaa!!!!!!!!
Ngoja ni-prove, nitafanya check and balance!!!!
 
khaaaaaaaaaa!
babu hivi naota ama ni macho yangu tuuuuuuuuuu

mmh, usishangae sana, tuko vizuri tu

heeee unaona sasa...tayari ushaharibu huu uzi Kongosho hakyanani tena....:A S-heart-2:

The truth need to be told ili kumponya

Hapa tuna kazi moja tu...moja tu..ya kupunguza wateja wa Mirembe...

Let's go....:focus:

Babu DC!!
Kwa kujivunga wee mzee
Ila ndio swaga zinazonidatisha ujue?!

Huyu dawa yake ni moja....

Lazima akiendekeza bange zake tunamchapa :ban:

Babu DC!!
He he, convict me, am guilty as charged:bange:

Kumbe ndio maana Dark City kaniparamia vile...........kisa kukumention Kongosho, fanya hv Kongosho fanya re-valuation tena, naona value yako imeongezeka sana si unajua ardhi na majengo yana-appreciate kila siku kwa hio ni km hivyo vile, and then mpe bili akiguna tu au hata akionyesha uso wa kunyong'onyea mwonyeshe mwanya na miguu mizito toto la kisukuma................halafu mpe break time ajisachi.......km mizingue, lianzishe...........uone kilio chake!!!!!!!

Wee mwache tu, hajui nimempandisha thamani kama mahindi ya Rukwa?
Tena lazima ajisachi hadi hela ya nauli
Hajui mie rangi ya chungwa? hahitaji hata kibatari

Hahahahahaaaa
Yan wewe aisee lol
Ina maana ananganyua mguu mmoja kupunga hewa maeneo ya hifadhi ya mzee mpotevu?
Teh nimecheka aisee

Heh, hayajawahi kukuta hayo?
Unaweza kujinyonga sehemu zusuzohusika kabisa

snowhite snowhite hebu kuja pandee hii fasta ja[po gfsonwin kakukataza, nitamalizana naye chumbani ila Kongosho ndo ivo usimchukulie lightly anasogeza magoli ivo! ohoooo

He he he, unanionaje?
Mbwa wangu kalala acha nibweke mwenyewe lol
 
Ayaaaaaaaa pole sana ticha................mimi nimejua mwenzio yupo mbele kule ughaibuni anasaka chapaa!!!!!!!!
Ngoja ni-prove, nitafanya check and balance!!!!

hujamuelewa Dark City yaani anamaanisha ninaomboleza kumiss huzzy kwa muda mrefu wa mwaka. so wewe unanishekesha ili hali bado dawa sijaipata.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom