Namhurumia kijana Mtela Mwampamba!

Namhurumia kijana Mtela Mwampamba!

Bora kuwa wapolini lkn unajitambua kuliko kuwa wa mjini lkn hujui duniani nn kinaendelea......majibu ya watu wa lumumba cku zote ni ya hovyo hovyo
 
Nadhani kwa muda mrefu sasa,Nchi ilishindwa kuwa andaa vijana wawe wazalendo na wachapa kazi ili waje washike nyadhifa mbalimbali za uongozi katika taifa letu.Tunachokiona leo vijana wengi hawana uzalendo kabisa na hii inatokana na either uelewa mdogo ama tamaa.
Imefika wakati nchi iwe na longterm plan kwa ajili ya vijana
 
Kijana msomi ndio mwanadiplomasia ajae..
 
Sijui kama ameacha kuvuta bangi. Maana wakati tuko nae chuo alikuwa anazipuliza balaa. Jina lake tulikuwa tunamwita Ganzi kwa sababu ya hizo bangi.
 
Mtoa uzi mbona huku alikwa wewe maana Nahisi una point sana mkuu
 
Kitendo chenyewe cha kuzuia live coverage ya Bunge ni cha hovyo kwa hiyo sitegemei mtu yeyote wa kukitetea asiwe wa hovyo.
 
Mi naona tatizo ni mfumo wetu mbovu wa elimu unaoshindwa kuwaandaa vijana kuumiza vichwa na kujitengezea ajira.
Hivyo vijana wengi wamekuwa wakikimbilia siasa kwa lengo la kujitafutia riziki. Chunguza vijana wengi kwenye siasa hawana uzalendo wowote zaidi ya kusaka tonge. Taifa linaelekea pabaya sana kwa aina hii ya wanasiasa ambao ndio viongozi wa kesho.
 
Huo upambe anaounyesha Mwampamba kwa mabosi wake wa CCM, nadhani ameamua kupita njia za mwenzake Humphrey Polepole za kuusaka u-DC kwa 'kuuza' sura kwenye luninga!

Anavizia nafasi za Ma DC watakao tumbuliwa!!
 
Kama ndo umetoka porini sahz huwezi kumwelewa,lakini nyumbu wenzako ambao wamekuja mjini muda mrefu wanamwelewa na si uelewa wa kinafiki.
Unaweza kutuambia ni kitu gami Mtella Mwampamba ameongea ukamwelewa? Zaidi anadai waandishi wa habari wameruhusiwa kuingia bungeni, akaulizwa wanafanya nini kama wanazuiwa kupiga picha? Kimnya! akabaki kuuma mdomo.
 
Yupo kwenye kipindi cha mada moto Ch10, Sielewi anachokiongea, Sijui ni kwanini amekubali mwaliko ch10, Sijui ni kwanini anajitoa ufahamu kiasi hicho! Sijajua uelewa wake ukoje.


Sikutaka kumpa coverage humu ajadiliwe lakini nimemhurumia sana maana hana hadhi ya kumjadili humu. Nahisi ni kama amepanic.Sitaki kwenda mbali ndugu angalia kipindi cha MADA MOTO Chanel 10.
Ni mbinu ya kutafuta kuonekana achaguliwe mkuu Wa wilaya.kutakana na kuponda upinzani kwa moyo Wa kiendawazimu ndio sifa ya kuchaguliwa ukuu Wa wilaya .
 
Yaani bawacha,rudia kusoma ulichoandika...hukutaka kumjadili humu...lakini naona hadi mwenyekiti wenu anamjadili....na hizi ndio akili za abunuasi..Ijumaa unagoma kujadili hotumba ya PM,J3 mbowe na genge lake wanaingia bungeni....ujinga....Hutaki kumpa coverage ili ajadiliwe lakini unaanzisha mada kumjadili?
Nashangaa sana CCM kuchukua wababaishaji hawa, wanashindwa kuchukukua vijana werevu sijui ni kwanini!Mtela jana ametia aibu sidhani kama anaweza kurudi tens pale Ch10.Wallah nakuambia uelewa wa vijana wa CCM na CHADEMA huwezi kuufananisha hata kidogo, CCM wengi ni njaa wameamua kua watumwa.
 
Ni mbinu ya kutafuta kuonekana achaguliwe mkuu Wa wilaya.kutakana na kuponda upinzani kwa moyo Wa kiendawazimu ndio sifa ya kuchaguliwa ukuu Wa wilaya .
Huenda kutetemeka kwenye media pia kumemfanya kushindwa kuongea, maana alikua anatetemeka kweli sikujua tatizo lilikua nini!
 
!
!
Ukitegemea hoja yenye akili ya hili swala toka kwa sisiem utakuwa unapoteza muda wako bure. Ni bora zaidi kusubiri hivyo viwanda alivyoahidi Magufuli
 
Ili uheshimike na uteuliwe nyadhifa yyte ndani ccm ama serikali kupitia ccm lazima uwe mtu wa hovyo hovyo hv...lkn mwenye akili timamu huwezi kupewa nafasi...ndo maana vijana walioko kule ni watu wakujitoa ufahamu
Sitasahau waziri mkuu mstaafu mhe. Jaji Joseph sinde Warioba alivyodhalilishwa na kijana mdogo sawa na mwanae ambaye sasa ni mkuu wa mkoa.
 
Mzee Mkinga alikuwa mmoja lakini kawanyosha vibaya sana wahuni wale. Hawajielewi, wataelewa vipi mahitaji ya Watanzania?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom