Namhurumia kijana Mtela Mwampamba!

Namhurumia kijana Mtela Mwampamba!

Kuna watu wakienda chooni kunya wanakunya akili badala ya mavi.Huyu ni mmoja wao.
 
Namshauri Mwampamba atafute njia nyingine kama nia yake ni kutaka kufuata nyayo za PolePole. Hii ya luningani itamtoa kwenye barabara.
 
Mzee Mkinga kawabana vyema, eti mwembamba anasema waandishi wa habari wameruhiwa kuingia ndani ya ukumbi, mkinga akamuuluza kwa hiyo wameruhusiwa kuingia ndani wakafanye nini kama hawawezi kupiga picha wala kurekodi sauti au video?
Wamebaki kujiuma uma tu. Mzee yule nilipenda alivyo watuliza mizuka yao ya kiuvutaji .....
 
Nashangaa sana CCM kuchukua wababaishaji hawa, wanashindwa kuchukukua vijana werevu sijui ni kwanini!Mtela jana ametia aibu sidhani kama anaweza kurudi tens pale Ch10.Wallah nakuambia uelewa wa vijana wa CCM na CHADEMA huwezi kuufananisha hata kidogo, CCM wengi ni njaa wameamua kua watumwa.
Wanaganga njaa, wanatumwa na tumbo. Wachumua tumbo
 
Sitasahau waziri mkuu mstaafu mhe. Jaji Joseph sinde Warioba alivyodhalilishwa na kijana mdogo sawa na mwanae ambaye sasa ni mkuu wa mkoa.
Na hawa vijana wameanza kuuza sura luningani, wamebakisha kumzaba kibao mzazi. Na kweli, ukiangalia walivyokuwa wana angalia mzee Mkinga walitamani kumzaba kibao kwa jinsi alivyo kuwa akiwashushua live. Sijui kama mzee wa watu kafika salama.
 
Yupo kwenye kipindi cha mada moto Ch10, Sielewi anachokiongea, Sijui ni kwanini amekubali mwaliko ch10, Sijui ni kwanini anajitoa ufahamu kiasi hicho! Sijajua uelewa wake ukoje.


Sikutaka kumpa coverage humu ajadiliwe lakini nimemhurumia sana maana hana hadhi ya kumjadili humu. Nahisi ni kama amepanic.Sitaki kwenda mbali ndugu angalia kipindi cha MADA MOTO Chanel 10.
Mkuu pole sana kwa kupoteza muda wako kuwatazama vichaa kama hao,yeye siku hizi anaendeshwa na tumbo
 
Sikuwahi kumuona na kumsikiliza,kumbe ni mweupe peee,wakati mwingine waandaaji hivi vipindi muangalie watu wa kuwaalika hapo maana wanapoteza muda bure.
Mkuu hata hizo tv stations zinazo wakaribisha watu kama hao ndio zilezile za ccm wao sasa wamebakia kutangaza waganga wa kienyeji
 
Huo upambe anaounyesha Mwampamba kwa mabosi wake wa CCM, nadhani ameamua kupita njia za mwenzake Humphrey Polepole za kuusaka u-DC kwa 'kuuza' sura kwenye luninga!
Anafikiri udc umeshuka hadhi kiasi hicho hadi na yeye apewe huo?
 
Nashangaa sana CCM kuchukua wababaishaji hawa, wanashindwa kuchukukua vijana werevu sijui ni kwanini!Mtela jana ametia aibu sidhani kama anaweza kurudi tens pale Ch10.Wallah nakuambia uelewa wa vijana wa CCM na CHADEMA huwezi kuufananisha hata kidogo, CCM wengi ni njaa wameamua kua watumwa.
Uelewa wa bavicha wa kusafisha mafisadi?
 
Naona anataka kuchukua nafasi ya pole pole! Maana chanel ten imempa fursa pole pole.
 
Amejua alikosea njia angeendelea kumfuata Juliana nyuma na yeye angeambulia chochote mwenzie viti maalum, na yeye sasa anataka angalau UDC, ndio maana ana jitokeza kwenye TV, ambayo ndio imekuwa CV.. ya kupata nafasi zilizosalia 44.
 
Ajitahidi tu JPM hajamaliza kuunda serikali wakuu wa wilaya bado,hata wakurugenzi bado aendelee hivyo hivyo huenda JPM atamwona.Ingawa Polepole alikuwa na sifa ya ziada.
 
U-dc kwa sasa hauna heshima kabisa na kumekuwa cheo kipatikanacho kwa mtu kujipendekeza na sio weredi. Mimi nakidharau mno hiki cheo.
 
Eti yuko kwenye JUKWAA LA WAZALENDO...ila hili jukwa ni tawi la UVCCM wabaogipa kujita uvccm wanakuja na njia nyinginw...ila mwenzake kapewa cheo ,na yeye atapewa cheo asubir...jukwa la wazalendo ambao ,hawajui hata ,kwa nn bunge lisiwe live...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom