Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,009
- 74,643
Mkuu hata wale watu Kule Mombsa wafanywao yale mambo yale hujitoa ufahamu kwanza.Niaibu MTU mzima kujitoa ufahamu
Mkuu hata wale watu Kule Mombsa wafanywao yale mambo yale hujitoa ufahamu kwanza.Niaibu MTU mzima kujitoa ufahamu
Nimemsikiliza anaonekana amekulia mtaani hana maadili kabisa sijui ni mzalendo gani huyo jamaa ambae haeshimu wazazi wake anamchukulia mzee mkinga kama mhuni mwenzake huyu hafai kabisaKwanza kijana hana adabu eti ana mwambia Mzee mkinga "ngoja nikutoe Matongotongo".
Pumbavu zake akamtoe matongotongo baba ake, Mafiii yake!! Jamaa ni mwepesi kama wa pale sinza maeneo ya k barKwanza kijana hana adabu eti ana mwambia Mzee mkinga "ngoja nikutoe Matongotongo".
Mimi leo nilipitia ukurasa wa facebook wa Mtela Mwampamba. Nikakuta anaalika watu ktk kipindi channel 10
Nilichokisikia kutoka kwake ni aibu. Hana points. Hana hoja. Hana ushawishi..
Neno nililolisikia kutoka kwake ni "mimi kama kijana.." mengine yote pumba tu.
Na yule mwenzake ni pumba kama Mwampamba (A=B).. Ingawa yeye kidooogo, ana sauti ya kushawishi ingawa hana hoja. Alichokuwa akikifanya ni kukenua meno na kutikisa kichwa tu.
Hivi Magufuli hajampa hata ukuu wa wilaya?jamani magamba yangempa hata ukuu wa wilaya.Usaliti ni laana .
Yaani bawacha,rudia kusoma ulichoandika...hukutaka kumjadili humu...lakini naona hadi mwenyekiti wenu anamjadili....na hizi ndio akili za abunuasi..Ijumaa unagoma kujadili hotumba ya PM,J3 mbowe na genge lake wanaingia bungeni....ujinga....Hutaki kumpa coverage ili ajadiliwe lakini unaanzisha mada kumjadili?Yupo kwenye kipindi cha mada moto Ch10, Sielewi anachokiongea, Sijui ni kwanini amekubali mwaliko ch10, Sijui ni kwanini anajitoa ufahamu kiasi hicho! Sijajua uelewa wake ukoje.
Sikutaka kumpa coverage humu ajadiliwe lakini nimemhurumia sana maana hana hadhi ya kumjadili humu. Nahisi ni kama amepanic.Sitaki kwenda mbali ndugu angalia kipindi cha MADA MOTO Chanel 10.
Kama ndo umetoka porini sahz huwezi kumwelewa,lakini nyumbu wenzako ambao wamekuja mjini muda mrefu wanamwelewa na si uelewa wa kinafiki.Yupo kwenye kipindi cha mada moto Ch10, Sielewi anachokiongea, Sijui ni kwanini amekubali mwaliko ch10, Sijui ni kwanini anajitoa ufahamu kiasi hicho! Sijajua uelewa wake ukoje.
Sikutaka kumpa coverage humu ajadiliwe lakini nimemhurumia sana maana hana hadhi ya kumjadili humu. Nahisi ni kama amepanic.Sitaki kwenda mbali ndugu angalia kipindi cha MADA MOTO Chanel 10.