Namhurumia kijana Mtela Mwampamba!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,970
Yupo kwenye kipindi cha mada moto Ch10, Sielewi anachokiongea, Sijui ni kwanini amekubali mwaliko ch10, Sijui ni kwanini anajitoa ufahamu kiasi hicho! Sijajua uelewa wake ukoje.

Sikutaka kumpa coverage humu ajadiliwe lakini nimemhurumia sana maana hana hadhi ya kumjadili humu. Nahisi ni kama amepanic.Sitaki kwenda mbali ndugu angalia kipindi cha MADA MOTO Chanel 10.
 
Huo upambe anaounyesha Mwampamba kwa mabosi wake wa CCM, nadhani ameamua kupita njia za mwenzake Humphrey Polepole za kuusaka u-DC kwa 'kuuza' sura kwenye luninga!
 
Sikuwahi kumuona na kumsikiliza,kumbe ni mweupe peee,wakati mwingine waandaaji hivi vipindi muangalie watu wa kuwaalika hapo maana wanapoteza muda bure.
Anasikitisha sana huyu kijana! Hata quotes zinamshinda sijui updates zinampitia wapi huyu kijana tunaeambiwa naye anashindia kwenye mitandao.
 
Anasikitisha sana huyu kijana! Hata quotes zinamshinda sijui updates zinampitia wapi huyu kijana tunaeambiwa naye anashindia kwenye mitandao.
Anasema bunge alionyeshwi live ili watu wakafanye kazi asubuhi,kuna mskilizaji kauliza je hicho kipind cha maswali na majibu bungeni kinachoonyeshwa live,watu wanaokiangalia wanakuwa nyumbani au kazini?.Kashindwa kujibu
 
Mimi leo nilipitia ukurasa wa facebook wa Mtela Mwampamba. Nikakuta anaalika watu ktk kipindi channel 10

Nilichokisikia kutoka kwake ni aibu. Hana points. Hana hoja. Hana ushawishi..

Neno nililolisikia kutoka kwake ni "mimi kama kijana.." mengine yote pumba tu.

Na yule mwenzake ni pumba kama Mwampamba (A=B).. Ingawa yeye kidooogo, ana sauti ya kushawishi ingawa hana hoja. Alichokuwa akikifanya ni kukenua meno na kutikisa kichwa tu.
 
Attachments

  • IMG_20160425_231602.JPG
    IMG_20160425_231602.JPG
    42.6 KB · Views: 70
Huo upambe anaounyesha Mwampamba kwa mabosi wake wa CCM, nadhani ameamua kupita njia za mwenzake Humphrey Polepole za kuusaka u-DC kwa 'kuuza' sura kwenye luninga!
....yes indeed...kijana anatia kinyaa kabisa kw kujitoa ufahamu....alafu anakosa hoja na kuanza kumshambulia mzee mzalendo Mkinga bila aibu....Hajui hata mantiki ya bunge kuonyeshwa live....Kwa kkifupi ni kijana anayeonekana kukumbatia ujinga huku akiuza sura kwa serikali ya JPM....lengo ni ukuu wa wilaya tu...
 
Itakuwa bado anatega zali kama la Ally Salum Hapi kuukwaa ukuu wa wilaya kinondoni
Sa cjui post gan za serikali badi hajateua mtumbua majipu
 
Anasema bunge alionyeshwi live ili watu wakafanye kazi asubuhi,kuna mskilizaji kauliza je hicho kipind cha maswali na majibu bungeni kinachoonyeshwa live,watu wanaokiangalia wanakuwa nyumbani au kazini?.Kashindwa kujibu
Watanzania tuko wachache sana hapa kwetu wengi ni wakimbizi tu
 
Back
Top Bottom