Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,283
- 108,298
Mi naona kama wamefanya vyema, ngoja niusome huu uzi wote na michango yake huenda nikapata kitu!!!
If reading is all you want basi wamefanya vyema...
Mi naona kama wamefanya vyema, ngoja niusome huu uzi wote na michango yake huenda nikapata kitu!!!
Sielewi, wameneutrelize kabisa issue ya CL. Na kuna mithread mingi isiyo na deal inaevolve kila siku hawafanyi kitu ingawa ilishajadiliwa kitambo.
mtu ukishafikia maamuzi hayo ni kwamba ni kweli umechoshwa na hutakiwi kugeuka nyuma milele....kama kitu kimekushinda/kuchosha kwanini ung'ang'ane tu?
JosM nakubaliana nawe kabisa na ndio maana kama umenisoma vizuri nimesema kabisa kuwa inawezekana nami ninayo makosa yangu but nitayajuaje kama haniambii? Besides bado mimi ninaamini maneno hayo aliyoyasema ni mazito sana kuyasema kwenye relationship no matter what isipokuwa tu pale kwenye makosa ambayo ni obvious yamekuwa yakijirudia na mkosaji kukanywa pasipo kujirudi of which sikumbuki mimi kumfanyia kosa la namna hiyo.
Inawezekana ninapomkalia kimya anaponirudia asubuhi (bila kuonyesha hasira wala kumwuliza) ndio kosa. Ninatamani ningeweza kumleta hapa naye azungumze upande wake na nina uhakika kama akiamua kuwa mkweli mbele ya MUNGU wake he has nothing absolutely nothing against me!
Ninashukuru ndugu yangu na ninaheshimu ushauri wako. Pengine ni kweli niko hivyo ila ukweli ninaujua mimi mwenyewe. Sijui mwenzangu ingekuwa wewe tatizo linatokea unapoamua kulizungumza na mwenzako kisha mwenzio anakaa kimya tu bila kukujibu lolote utalichukuliaje besides the moment utakaposema uzungumze naye yeye anaona kama unamshutumu na hivyo kuzua ugomvi mwingine? Unafanyaje JosM.
To me inakuwa rahisi kuja na kulalamika hapa kwa sababu nakuwa huru kuyasema yaliyomo ndani mwangu na vivuli ninyi but honestly hakuna hata ndugu, rafiki anayejua nina matatizo! (Ningekuwa mlalamishi nafikiri hata hawa wangekuwa weshanichoka!!
Anyway let's just abide with it...naona hata mdada CL kaona ni vyema asome na hayo yaliyomkuta mdada mwenzake
Suala si kukimbia changamoto, bali ni kupambana nazo!
Hapa tunashauri three in one, topic moja watu watatu, Mwanajamii one, Da pretty na Charming. Watu hapa wanachanganyikiwa wengine wanasema mbona maada ya siku nyingi! Mwanajamiione yake ni ya 2009, ila leo Charming nae katoa ya kwake inafanana na hiyo ghafla imeunganishwa na Mwanajamiione kwa hiyo Charming haonekani tena, hapa naona wanaoshauriwa ni Mwanajamiione na Da Pretty inachanganya. ngoja niende kwanza halafu narudi kutoa ushauri
Angalia hapo juu hata Nyamayao kasema ngoma ya 2009, watu hawajui kama hii kitu imemsibu leo mtu ujue!Nipo mamie, nimeusoma uzi wote tangu mwanzo jinsi walivyomshauri MwanajamiiOne, nimejifunza kitu! Ila unaweza kuendelea kucomment tu!
Sawa, lkn unaona sympathy na maswali yanakuja kwa Mwanajamiione ambaye she is already past it; in a way wanamkumbusha si ajabu asotaka kukumbuka.
miss wa kinyaru, mie nimemjibu huyo mwanaa wa adam, coz yeye ka qoute kitu cha long time sana, ya charminglady sijui imechomekwa kwa wapi katika huu uzi kwa kweli.
Sasa nairudishaje??, charminglady sred closed, hakuna kuchangia
Jamani, sielewi hapa imekuwaje, mbona mie sijaandika haya?
Hahaha!!! naona umefanyiwa kama Zitto, watu wamekuhusisha kuandika "quote ya siri"....unalo leo!!!
Jamani, sielewi hapa imekuwaje, mbona mie sijaandika haya?
Jamani, sielewi hapa imekuwaje, mbona mie sijaandika haya?