Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Ningetamani aje hapa tumsome kama zamani bila kumsahau swahiba wake Mbu ooohhhHahaaaa... Nimekumbuka mbali sana. Najua ananisoma..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningetamani aje hapa tumsome kama zamani bila kumsahau swahiba wake Mbu ooohhhHahaaaa... Nimekumbuka mbali sana. Najua ananisoma..
Mbu yupo, atusaidie kumuita. Hata kama kasahau password aseme wahusika wamsaidie... Jamani Pain killer msaidie huyu mkuu apate password yake arudi hewani.. Nmemiss hadi naumwaNingetamani aje hapa tumsome kama zamani bila kumsahau swahiba wake Mbu ooohhh
Sent using Jamii Forums mobile app