CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
kWANINI TUNAKUWA WEPESI WA KUFIKIA MAAMUZI YA kULIVUA pENDO? Imagine wazazi wetu wangekuwa wepesi kama kizazi hiki leo hii sisi tungekuwa wapi? Na kwanini ulikimbilia kumpa pendo lako mapema kabla ya kumfahamu vizuri alikotoka? Do you think ukishalivua Pendo huko uendako ndio mambo yatakua mazuri? Wanaume wote wana tabia moja the same to wanawake wote wana tabia hio hio moja. Kikubwa Muombe MUNGU na learn to deal with your own business.
Nakuomba sana usilivue Pendo hata kama uko na Kibaka au Jambazi
Hapo kwenye color ndipo nilipofanya makosa.... We learn from our mistakes!!!