miss wa kinyaru
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 542
- 356
Hapa ulichangia kipindi cha Mwanajamiione, kwasababu leo anaehusika ni charminglady ndo jina limebadilika likaandikwa la mhusika wa leo, maana kuna kitu niliona Mwanajamiione aliandika irudishe ulikoitoa na wewe ndo ulimjibu nadhani kipindi hicho,Jamani, sielewi hapa imekuwaje, mbona mie sijaandika haya?