Nalivua pendo...

Nalivua pendo...

mtu ukishafikia maamuzi hayo ni kwamba ni kweli umechoshwa na hutakiwi kugeuka nyuma milele....kama kitu kimekushinda/kuchosha kwanini ung'ang'ane tu?

Wengi hujipa moyo ipo siku atabadilika ndio mana anang'ang'ania tuuuuuuuuuu
 
Ndahani nashukuru kwa kunipa moyo ila mh maana kama kuvumilia ni mwngi nimevumilia lakini mwishoni naona nashindwa. kwa nini mimi tu, mimi tu niwe nabembeleza kila siku hata kama makosa kafanya yeye?
mimi tu niwe naumia kwa sabau yake?... kwa nini mimi tu ndo niwe nahangaika to make it work? ... mimi tu why mimi tu? jamani ah
Unafanya kosa unaposema why mimi tu? Ukisimuliwa ya wengine ya kwako yana nafuu. Jambo muhimu ni kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Every thing happen for a purpose.
 
Tulia usikilize moyo wako maamuzi sahihi unayo wewe amua kwa wakati hujachelewa na hutachelewa.
Usimvizie chura kwa kusubiri atoke majini dada wenzangu ukiona manyoya ujue kaliwa na kila ajitiae za mtonga maji ya dafu huoshea donda,

Mapenzi yapo pata mahali uende ukakae hata miezi 6. Upime na kutafakari kama unamhitaji au umefika mahali IMETOSHA .

Maisha lazima yaendelee amua wewe hakuna wa kukuamulia !usiangalie watu watasemaje angalia mustakabali wa afya yako!
 
Ndahani nashukuru kwa kunipa moyo ila mh maana kama kuvumilia ni mwngi nimevumilia lakini mwishoni naona nashindwa. kwa nini mimi tu, mimi tu niwe nabembeleza kila siku hata kama makosa kafanya yeye?
mimi tu niwe naumia kwa sabau yake?... kwa nini mimi tu ndo niwe nahangaika to make it work? ... mimi tu why mimi tu? jamani ah

Pole Sana, kwa upande wa wazazi na viongozi wetu wa dini wanasemaje? Usiogope kufanya maamuzi magumu kwa mustakabali wa maisha yako kuliko kuitesa nafsi yako, jipange uanze upya sio dhambi kuliko kuendelea kuishi kwenye manyanyaso
 
Dada yamenikuta sina hata nguvu ya kusema........ huweziamini hapa niko natiririkwa na machozi ka bomba la mvua! Sijui nifanye nini wala nianzie wapi!
jambo gani limekukuta ni vizuri ukaeleza ukweli tukusaidie kwa ushauri na si kulalama tu bila kuonyesha kwa watu jambo halisi sisi hatuwezi kukushauri kupitia hisia zako ambazo umeshindwa kuzitafsiri kwa maelezo..
 
Dah.... Uzi wa zamani sana huu. Nimeusoma lakini hata sikumbuki ni maswahibu gani yalinikuta. Naona mods wameedit mpk umekosa maana.
 
90 % ya wanaume wanaotongoza mabinti ni kwa ajili ya sex tu.wanawake mnakua na mipango mikubwa na wanaume mwisho wa siku ni disappointment tu.
Ukitaka wasikuchanganye get rid of them or kama huwez weka ktk akili yako kwamba kuna 90% ya huyu mtu kunibwaga.
 
King'asti umetokapi kwenye hii sredi ya 2009? Hata twende kanisani haraka

Kaizer mpwa upo ............hebu nihabarishe kule pm tafdhali

Dah.... Uzi wa zamani sana huu. Nimeusoma lakini hata sikumbuki ni maswahibu gani yalinikuta. Naona mods wameedit mpk umekosa maana.

duuu kwani charminglady wewe ndiye ..........🙄🙄🙄 nami nimerudishwa mbaaaaaaali mno na sredi hili

Acha kabida mkuu, saiv JF imeharibiwa na division 5....

yeah those were the dayz ..............nisalimie #marafiki
 
. Ndugu yangu we walitwambia wahenga kua uyaone... na leo ninayaona ah!

Sina cha kusema mie yaani hapa kila kitu kizito! Akili haifanyi kazi, moyo unaniuma yet nimeshindwa mie ......
Hope now umepata mtu sahihi eeh
 
Kaizer mpwa upo ............hebu nihabarishe kule pm tafdhali

duuu kwani charminglady wewe ndiye ..........🙄🙄🙄 nami nimerudishwa mbaaaaaaali mno na sredi hili

yeah those were the dayz ..............nisalimie #marafiki

No please, sema walimerge thread afu wakaedit thread yangu. Ndio maana huwezi kuona thread yangu ya mwanzi isipokuwa comment zake tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom