pole sana da pretty kulikoni?
Dada Pole sana
Mapenzi ni matamu, Apendwae akifahamu.
Tena hayahishi hamu, Kwa yule alofahamu.
Haijalishi haramu, Bora alete Kayumu.
Mpende akupendae, Asiokupenda achana nae.
Mpe kila kimfahae, Moyoni mwako akae.
Aisifuye mvua?
Wenye maneno wameshasema. mimi najipitia tu.
Usijali!Abdallah,
maneno yako dawa...
Natumia simu,ila elewa
NIMEIPENDA
Kulivua pendo si rahisi kivile
Kikubwa ni kutopoteza mwelekeo na kujipa muda.
Am telling you you are very very right.
Haikuwa rahisi kabisa but nimesonga mbele dadangu
(Haya irudishe upesi ulipoifukua hii thread)
Am telling you you are very very right.
Haikuwa rahisi kabisa but nimesonga mbele dadangu
(Haya irudishe upesi ulipoifukua hii thread)
Ndahani nashukuru kwa kunipa moyo ila mh maana kama kuvumilia ni mwngi nimevumilia lakini mwishoni naona nashindwa. kwa nini mimi tu, mimi tu niwe nabembeleza kila siku hata kama makosa kafanya yeye?
mimi tu niwe naumia kwa sabau yake?... kwa nini mimi tu ndo niwe nahangaika to make it work? ... mimi tu why mimi tu? jamani ah