Nakutakia mfungo mwema Bi. FaizaFoxy

Nakutakia mfungo mwema Bi. FaizaFoxy

Ngwananzengo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
1,911
Reaction score
1,322
Najua upo ndani ya mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani ukitekeleza mojawapo ya nguzo muhimu za uislamu. Pengine uameamua kutokuchangia mada jamvini kwa kuepuka kuharibu funga yako. Binafsi nakutakia mfungo mwema na kukufahamisha kuwa kutokuchangia kwako kumeacha "PENGO" lisilo zibika.

Mara nyingi michango yako imekuwa tofauti na wachangiaji wengi sababu wewe "moyo wako upo nje na ngozi ipo ndani". Umekuwa mtu wa kuonyesha kile unachokiamini kwa kujitetea kwa nguvu zote hata kama ni tofauti na mawazo ya wengi.

Umejitahidi kuwatia moyo kina-dada/mama waamini ktk kile wanachoamini na kuondokana na "unyonge".

Japo mengi unayoyasimamia siyaamini lakini sina budi kukupongeza. Naomba niishie hapa kwani nikisonga mbele naweza kuitia supu nazi.
 
Nadhani ana ban mkuuake cku hizi naona foxyifaiza. Kulikoni wadau au ni pacha wake?
 
Last edited by a moderator:
Kama ameshindwa kuchangia kwa sababu amefunga ni dhahiri ni mpotoshaji mkubwa sana. Anatakiwa afahamu kuwa wakati wote mola wake yuko macho, hana mfungo au siku za kawaida. Aje hapa achangie huu utitiri wa wagombea wa CCM ni kukua kwa demokrasia au wanafanya uhuni?
 
Tabia za kujianzishia thredi huwa zinanikera sana.

Usikereke kwa usichokijua, pengine kama wewe ni mtabiri mwenye kujua kushinda hata Mzee wetu Shekh Yahya (R. I. P) kwa kutambua wote waliopo majumbani wanaochangia JF ni kina nani?
 
Ngwananzengo

Ameanza kufunga lini kwani? Mbona jana mida ya mchana nilikua nakula naye KITIMOTO mitaa ya Kirumba hapa mwanza tena akashushia na savana mbili akisubiri kwenda kwenye mkutano wa Kinana na Nepi
 
Last edited by a moderator:
Watu wachokozi sana mmeanza kumchokoza ili aharibu funga yake loh!
 
Ahsante sana Ngwananzengo.

Hao wote unaowaona wanajidai kuponda ni fans zangu wa kisirisiri, wanachukia sana kunichukia na hawana raha wasiponiona na nimewaona toka Ramadhan imeanza wananichokoza makusudi kabisa, ili wanione nikichangia japo kiduchu.

Kusema kweli swaum siyo inayonizuwia kuingia JF huwa nnaingia kila nnapopata wasaa, kinachonizuwia ni kuwa nimejiwa na ugeni wa wanangu na wake zao wameamuwa summer holiday hii waje kuniona na kufunga swaum zao Tanzania, wengine hawajawahi kabisa kufunga hapa. Kwa hiyo wana ni keep busy sana, ingawa nashkuru ndugu jamaa na marafiki wanawaalika sana kwa hiyo hupata ahueni ya kuwaandalia wageni lakini huwa katika pirika za kufatana kila wanapoalikwa kwani wengine wanaogopa hawana uzoefu sana na culture yetu, wanahisi labda watakosea kitu kwa watu, na mimi nna act kama tour guide wao. na ukichukulia kuwa hawa hawataki kabisa kukaa mjini ambapo ndiyo karibu na ndugu na jamaa wengi wanaowaalika, wao wanataka baada ya kufuturu na kusali isha turudi Mkuranga, kwa hiyo nnakuwa extra occupied.

Nnashukuru kwa kunikumbuka na nnadhani wote tungekuwa productive sana tungekuwa kama wewe, hata pale tusipokubaliana tuwe tunapajadili bila chuki. Ahsante kwa hilo.

Nipo na huwa nnaingia na mtaniona tu ngoja hawa wageni wazowee na waanze ku take over mashughuli yao ya nyumbani mtaniona tu.

Nnawatakia wote mfungo mwema na wale makobe kama Daudi Mchambuzi nnawatakia Ramadhan njema. Hili li Daudi Mchambuzi halifungi Ramadhan wala Kwaresima, sijuwi ni jitu la aina gani hili, limakalia ushambenga tu. Tuliombee kwa Allah linaweza likarudi kwenye njia iliyonyooka.

Leo nipo.

Ramadhan Kareem.
 
tatizo mwanamke mdini ww halafu.mhafidhina huna tofaut na kingunge.nakuchukia kwa hayo tu..other wise your so intelgent napenda nikae nawe unichallenj na mimi nikuchalenj...nakupenda sana ukiacha ujinga wa udin na uhafidhina
nimenote kitu kumbe humwekea kifua fisad kikwete kwakuwa mwatoka mkoa mmoja sio?????
 
Kama "udini" maana yake ni Uislam basi utateseka sana ndani ya moyo wako.

Kikwete wala hana haja ya kuwekewa kifua na yeyote yule, record yake njema na ya kutukuka iko wazi kabisa na hakuna wa kabla yake yeyote ambae anaifikia hata nusu, tena wachanganye wote pamoja Kikwete bado atakuwa kidedea.

Huwezi ku challenge na mimi kabisa tena, labda uulize maswali kwa usiyoyajuwa nikupe darsa.
 
Ahsante sana Ngwananzengo.

Hao wote unaowaona wanajidai kuponda ni fans zangu wa kisirisiri, wanachukia sana kunichukia na hawana raha wasiponiona na nimewaona toka Ramadhan imeanza wananichokoza makusudi kabisa, ili wanione nikichangia japo kiduchu.

Kusema kweli swaum siyo inayonizuwia kuingia JF huwa nnaingia kila nnapopata wasaa, kinachonizuwia ni kuwa nimejiwa na ugeni wa wanangu na wake zao wameamuwa summer holiday hii waje kuniona na kufunga swaum zao Tanzania, wengine hawajawahi kabisa kufunga hapa. Kwa hiyo wana ni keep busy sana, ingawa nashkuru ndugu jamaa na marafiki wanawaalika sana kwa hiyo hupata ahueni ya kuwaandalia wageni lakini huwa katika pirika za kufatana kila wanapoalikwa kwani wengine wanaogopa hawana uzoefu sana na culture yetu, wanahisi labda watakosea kitu kwa watu, na mimi nna act kama tour guide wao. na ukichukulia kuwa hawa hawataki kabisa kukaa mjini ambapo ndiyo karibu na ndugu na jamaa wengi wanaowaalika, wao wanataka baada ya kufuturu na kusali isha turudi Mkuranga, kwa hiyo nnakuwa extra occupied.

Nnashukuru kwa kunikumbuka na nnadhani wote tungekuwa productive sana tungekuwa kama wewe, hata pale tusipokubaliana tuwe tunapajadili bila chuki. Ahsante kwa hilo.

Nipo na huwa nnaingia na mtaniona tu ngoja hawa wageni wazowee na waanze ku take over mashughuli yao ya nyumbani mtaniona tu.

Nnawatakia wote mfungo mwema na wale makobe kama Daudi Mchambuzi nnawatakia Ramadhan njema. Hili li Daudi Mchambuzi halifungi Ramadhan wala Kwaresima, sijuwi ni jitu la aina gani hili, limakalia ushambenga tu. Tuliombee kwa Allah linaweza likarudi kwenye njia iliyonyooka.

Leo nipo.

Ramadhan Kareem.
Haya karibu Daku basi
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    46.5 KB · Views: 250
Back
Top Bottom