Nakutakia mfungo mwema Bi. FaizaFoxy

Nakutakia mfungo mwema Bi. FaizaFoxy

Hahaha nimecheka sana. Dada FaizaFoxy, mfungo mwema. Nafurahi wanao wamekutembelea. Huwa sisahau unavyomuitaga mumeo gozi sijui gome? I can imagine. Mie sina hata hamu ya mwaliko wa futari kwako, manake dera siwezi kuvaa kabisaa (miguu itawasha kama ya lulu wa kanumba hehehe)
Enjoy family time, ukija mjini usitusahau nazi na mihogo

Njoo tu utakutana na vichinchiri hivi vilivyokuja eti na vyenyewe havijui madera'a. Vitavaa tu tartiibu, nnaona mmoja kishaanza kuzipenda mwingine huyu mkwe jamni eti dira'a akivaa anahisi kama kavaa, night dress.

Eeeh nyie watoto mnavyojidai, nguo comfortable hivi kuliko hivyo vi jeans vyenu vya kubana hata mkipumuwa hewa haitoki.
 
Back
Top Bottom