Wayo
Senior Member
- Aug 18, 2017
- 179
- 420
Nimekaa nikatafari sana baadaeeee nikaja Kujua wewe shetani una uzuri wa pekee ambao wengine hawauoni.
Hivi bila wewe utajiri wa makanisa na misikiti yangetoka wapi?
Wewe ndio umetoa ajira kwa wachungaji na mashehe na wamefaidika sana na wewe kwa kujipatia utajiri
Mungu hakutaka watu wakaishi Kwake ila kwa akili zako ulitengeza kifo ili watu warudi wakaishi alikokuwa baba yao sijui nikupe zawadi gani katika hili
Yapo mengi yakukupongeza ila ngoja niishie hapa maana kila siku upendo unaongezeka juu yako.
Pia Soma
Katika hili, namwamini Shetani - JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app