Nakupenda sana Katavi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nakupenda sana Katavi

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Radio Producer, Apr 12, 2011.

 1. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Leo imebidi niliweke wazi! Katavi nakupongeza sana katika kufuatilia post zako na majibu yako kwa post zingine nimegundua wewe ni mtu mwema sana!

  Avater yako inanipa furaha kila wakati, mke wangu anapoiona hulazimisha nibaki kwenye post zako ili aendelee kuenjoy kuiangalia avater yako! Ukweli wangu nikikuona live nitakuwa rafiki yako na hata kuwa mdogo wako wa ukweli! Pokea salam toka kwa familia yangu!
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Wewe ni njemba? Kama wewe ni njemba basi ungei modify kidogo heading yako manake nadhani Katavi naye ni njemba kama sijakosea. Au ndo......?
   
 3. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  kweli Katavi ni mstaarabu sana hata mie namfagilia anakaribisha wageni kila siku .....ila mwanaume kumpenda mwanaume mwenzie mkuu noma,ungesema unapenda posti zake ingetosha......
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  E bana wee? KATAVI, NEVER EVER DARE MEET THIS MAN! :tape::tape::tape:

  [​IMG]
   
 5. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe umeona eeh? JF bana!
   
 6. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #6
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Ndani iko poa ila title ungeedit kidogo inaogopesha sana...............
   
 7. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ooh kuna watu na viatu duniani ..................................!!!!!!!!!!!!!!
   
 8. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  aiseeeeeeee:A S 39:
   
 9. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mmmh..inapendeza sana mume na mke kuangalia posts za Katavi!!
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mhhh umesema mke wako naye anakulazimisha usome post za katavi??mhhh kiongozi katavi pasi maridadi hiyo na hivi unatoka rukwa wasije kukuokotea nyavuni..hahaaaaaa
   
 11. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mie nilifikiri ni bibie kamzimikia Katavi kumbe Baba tobaaaaaaa!
   
 12. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Hapa Dar siku hizi ni kawaida watu kutoka maofisini na kwenda Break Point kupata Safari mbili baridi na kurudi ofisini kundelea na kazi!
   
 13. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  :focus::focus:
   
 14. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Avatar inayomkosha mkewe Radio Producer hii hapa.

  [​IMG]

  kweli JF kuna mambo:A S 39:!
   
 15. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Mmh! katavi haya umependwa na bwana plus mkewe!..ha ha

  On a serious note: Katavi ni mtu powa sana, peaceful na mastaarabu!..hata mie hiyo avatar niece wangu anacheka sana akiiona:)))
   
 16. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  kwa kweli hata mimi nampenda sana katavi!

  post zake ni za kistaarabu sana, ni fupi, na zinazoeleweka na sijawahi kuona post yoyote ya katavi inayoudhi. kwa kweli nakubali kuwa huyu mtu ni muungwana sana. hata mimi natamani kukutana naye siku moja na hakika siku hiyo nitafurahi sana na nitakuwa rafiki yake wa kweli.

  binafsi sioni ubaya wa mwanaume kumpenda mwanaume . kupenda ni tunu ya moyo na huweza kumpata yoyote. tatizo akili za watu ziko kwenye ngono tu, lakini hata Mungu anatuambia kuwa amri mpya ametupa, TUPENDANE kama yeye alivyotupenda. hakuweka mipaka ya jinsia

  nafikiri hapa huyu kaka anazungumzia upendo na sio ngono wala tamaa ya kumjua katavi kimwili, hivyo hajakosea na sioni haja ya kubadilisha title

  Mungu awabariki
   
 17. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #17
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Katavi pokea pongozi mkuu
  Hongera sana..
   
 18. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hongera mkuu Katavi, naona leo ni siku yako...!!!!
   
 19. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Utata mtupu mkuu!!!
   
 20. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Unampendaje mwanaume mwenzako kihivyo ? Usilete mambo ya MOMBASA hapa.
   
Loading...