Nakupenda sana Katavi

Hata angewekwa Husnino au missj bado tunge sema tunamkubali!! Jf wote nindugu moja ndiyo maana tunaitwa ma thinker,wanajamvi,wanamageuzi nazaidi wote tunatumia lugha adhimu na tamu ya kiswahili!! Nampa pongez bw katavi, Heading yako mh uliyeanzisha mada inakinzana na mitazamo ya dunia ya tatu yakizazi cha nyoka!

mimi sina noma! mwenye kuelewa vibaya aendelee kuelewa vibaya mwenye kuelewa vizuri aendelee kuelewa vizuri! Kwani kupenda ninini?
 
Leo imebidi niliweke wazi! Katavi nakupongeza sana katika kufuatilia post zako na majibu yako kwa post zingine nimegundua wewe ni mtu mwema sana!

Avater yako inanipa furaha kila wakati, mke wangu anapoiona hulazimisha nibaki kwenye post zako ili aendelee kuenjoy kuiangalia avater yako! Ukweli wangu nikikuona live nitakuwa rafiki yako na hata kuwa mdogo wako wa ukweli! Pokea salam toka kwa familia yangu!
Asante sana Radio Producer, nami pia nashangaa namna avatar inavyopendwa niliwahi ibadili lakini ilibidi niirudishe baada ya baadhi ya membaz kuniomba! Kuhusu michango yangu na ukarimu nadhani nimejifunza humuhumu jf! Asante sana.....
 
Asante sana Radio Producer, nami pia nashangaa namna avatar inavyopendwa niliwahi ibadili lakini ilibidi niirudishe baada ya baadhi ya membaz kuniomba! Kuhusu michango yangu na ukarimu nadhani nimejifunza humuhumu jf! Asante sana.....

Big up Katavi,nakukubali pia jirani.
 
Hongera katavi. Big up Mkuu. Hiyo avatar yako akiiona mtoto wangu hufurahi sana. Thanks.
 
kwa kweli hata mimi nampenda sana katavi!

post zake ni za kistaarabu sana, ni fupi, na zinazoeleweka na sijawahi kuona post yoyote ya katavi inayoudhi. kwa kweli nakubali kuwa huyu mtu ni muungwana sana. hata mimi natamani kukutana naye siku moja na hakika siku hiyo nitafurahi sana na nitakuwa rafiki yake wa kweli.

binafsi sioni ubaya wa mwanaume kumpenda mwanaume . kupenda ni tunu ya moyo na huweza kumpata yoyote. tatizo akili za watu ziko kwenye ngono tu, lakini hata Mungu anatuambia kuwa amri mpya ametupa, TUPENDANE kama yeye alivyotupenda. hakuweka mipaka ya jinsia

nafikiri hapa huyu kaka anazungumzia upendo na sio ngono wala tamaa ya kumjua katavi kimwili, hivyo hajakosea na sioni haja ya kubadilisha title

Mungu awabariki

Nilitaka kuandika hivi ulivyoandika ahsante kwa kunisaidia kuandika nilichofikiri

watu tumwweka mawazo kwenye ngono tu

Kwa jinsi baadhi yetu tunavyofikiria hapa basi itakuwa ngumu kaka kumuambia dada yake wa tumbo mmoja kuwa anampenda sana au baba kumwambia mtoto wake wa kike nakupenda sana mwanangu
huo ni mtazamo
 
Back
Top Bottom