Nakupenda. . .Asante!!

Nakupenda. . .Asante!!

Vitunda pori vinawafanya watu washindwe jua kama wamependa ama tamani

Hivi kwani mnakimbilia kwenye feelings zaidi au ni ulevi wa vile vitunda pori??

Babu DC!!
 
ha haaaa, wewe babu achana na small boy, lol!
tena huyo akija na I love you ndo ataiona my true colour, lol!


Hivi hilo neno lina matatizo gani mtu akikwambia wakati kweli anakupenda kama dada/kaka au babu/bibi??

Kwa hiyo ni kosa nikisema, "nakupenda (I love you) mkubwa mwenzangu @FP"..???

Nahisi nimekwama mahali...lol!!

Babu DC!!
 
Mmh, unampotezea Mvaa tai kiupole, ungesema asante tu tukajionea response yake hapa aseme amejisikiaje kujibiwa asante

Mie mgomvi lakini?!

Such a blessing to be liked by you, thanks a lot Mvaa Tai!
This line is specially dedicated to Kongosho
 
Utu uzima dawa, babu umeamua kufikisha ujumbe kwa FP kwa mtindo huu?

Kweli wazee mna mbinu, ndio maana mie nam-adimaya mmoja hivi ila hanipi nafasi ya kumwambia nitakacho

Hivi hilo neno lina matatizo gani mtu akikwambia wakati kweli anakupenda kama dada/kaka au babu/bibi??

Kwa hiyo ni kosa nikisema, "nakupenda (I love you) mkubwa mwenzangu FP"..???

Nahisi nimekwama mahali...lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha, umeona eeh, tena 'really??' ndio kiboko yao

Ila kwa nini mwanamme akikuudhi 'award ya kimataifa' anayokuja nayo ni mwenge wake wa uhuru? Afu anaona kama kakupendelea, basi mie naudhika kama nini? Ila hii nitaitafutia siku ije na sred yake.
ha haaa, ijaribu siku moja.... inafaa sana, siku nyingine hakujii nayo, lol!
hiyo thread ifikirie basi tutaisubiri watujuze wao wenyewe...
sasa sijui wewe rafiki siku hiyo utakuwa upande gani? maana Smile haachi kukuuliza kama wewe ni ke kwa kila uzi, lol!
 
Last edited by a moderator:
Hivi hilo neno lina matatizo gani mtu akikwambia wakati kweli anakupenda kama dada/kaka au babu/bibi??

Kwa hiyo ni kosa nikisema, "nakupenda (I love you) mkubwa mwenzangu @FP"..???

Nahisi nimekwama mahali...lol!!

Babu DC!!
haina shida kama unaniambia kama dada......
lakini kama umetanguliza you are just a small boy then unakuja na I love you kwa nini nisikutoe balu?
 
Yaani 'nakupenda' inaanza kupoteza maana

Wengine kutamka hili neno kwa mtu mpya inakugharimu mazoezi ya miezi sita, kila ukimuona unafuta jasho tu

Bongo movies na tamdhilia zinawaaribu sana vijana wengi........wanahamishia maudhui ya sinema kwenye real life.......ni kweli it take ages to mention that you love some one......... lazima itoke ndani yako na sio mdomoni.
 
Mmh, labda mie ndio mpenzio!!!:-* maana jibu la asante kama simaanishi huwa lipo tu
Inawezekana kwan uko wapi ndugu yangu?hata hivyo nina mpango wa kuachia ngazi naona kama nautesa mtima wangu wkt mwingine ukipigia cm hapokei ukisema umuulize hataki anakuwa mkali basi ni shida tupu!
 
Utu uzima dawa, babu umeamua kufikisha ujumbe kwa FP kwa mtindo huu?

Kweli wazee mna mbinu, ndio maana mie nam-adimaya mmoja hivi ila hanipi nafasi ya kumwambia nitakacho
babu Dark City, naona sasa hawa wajukuu zako wamekuamulia, lol!
Kongosho naye anajiingiza kwenye group la akina snowhite na mwanafunzi wake Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Smile ana lake jambo

Atakapokutana na Me ndani ya Ke atajuuta kunifahamu

ha haaa, ijaribu siku moja.... inafaa sana, siku nyingine hakujii nayo, lol!
hiyo thread ifikirie basi tutaisubiri watujuze wao wenyewe...
sasa sijui wewe rafiki siku hiyo utakuwa upande gani? maana Smile haachi kukuuliza kama wewe ni ke kwa kila uzi, lol!
 
Last edited by a moderator:
Dark City na @FP, mnanikondesha kuhashuana mbele yangu

haina shida kama unaniambia kama dada......
lakini kama umetanguliza you are just a small boy then unakuja na I love you kwa nini nisikutoe balu?
 
Last edited by a moderator:
Simu ni polonium ya mapenzi

Ukiitafakari simu na maudhi yake unaachana na mtu ndani ya sekunde 2

Ila bora kuachia ngazi kuliko kukaa na mtu anayekuweka roho juu juu

Inawezekana kwan uko wapi ndugu yangu?hata hivyo nina mpango wa kuachia ngazi naona kama nautesa mtima wangu wkt mwingine ukipigia cm hapokei ukisema umuulize hataki anakuwa mkali basi ni shida tupu!
 
i lolike u babu

Kumbe kidhungu cha "nakupenda" == I like you??

Na kiswahili cha "I love you" ==????

mtu hatakupenda tu hivi hivi babu kama wewe?

Badala yake anakupendea nini?

Mbona mie nawapenda wajukuu zangu wote?

Ila bibi sijue yeye nisemeji...ngoja kwanza nijikumbushe misamiati..lol!!


Huyu Kaizer atakupoteza kama alivyompoteza @Klorokwin

Hapotezwi mtu hapa......

Na uzee wote huu??

Babu DC!!
 
Nimejiingiza? Nilijitoa baada ya kuona nimempandisha chat mzee huyu, mara wajukuu wote wakamuona keki ghafla
nikaachia ngazi ila loo inauma hadharani mjue? Bora mwende PM

babu Dark City, naona sasa hawa wajukuu zako wamekuamulia, lol!
Kongosho naye anajiingiza kwenye group la akina snowhite na mwanafunzi wake Kaizer
 
Mmh, unampotezea Mvaa tai kiupole, ungesema asante tu tukajionea response yake hapa aseme amejisikiaje kujibiwa asante

Mie mgomvi lakini?!

Hiyo inaitwa killing me softly!
Nakubaliana na sarikoki sentensi 'l love you' imepoteza maana hasa kwa waTZ ambao tuna neno moja tu 'nakupenda' likimaanisha both 'love' and 'like'.
 
Last edited by a moderator:
Tena inapoteza umaana kabisa

Afu baadhi ya wanamme bana, wako radhi waape upendo mkubwa kama kilimanjaro kwa ajili ya kufunua sketi tu, hapo hapo upendo kwishney

Hiyo inaitwa killing me softly!
Nakubaliana na sarikoki sentensi 'l love you' imepoteza maana hasa kwa waTZ ambao tuna neno moja tu 'nakupenda' likimaanisha both 'love' and 'like'.
 
Utu uzima dawa, babu umeamua kufikisha ujumbe kwa FP kwa mtindo huu?

Kweli wazee mna mbinu, ndio maana mie nam-adimaya mmoja hivi ila hanipi nafasi ya kumwambia nitakacho

Hivi ile dozi ya zombie haijaisha kweli? Au ndiyo mipangilio ya dating ya March 2013??

Naona hallucination zitakuua mwaka huu...lol!!

Babu DC!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom