Nakupenda a.k.a I love you!

Nakupenda a.k.a I love you!

Japokuwa wivu sina na roho hainiumi, lakini bado sijakata tamaa.

Utakata tamaa na ulegeeee kabisa
Ukitegemea hapa naenda kwenye maombi kwa baba Eiyer utashindwa tuu
 
Last edited by a moderator:
Labda uende kwa Gwajima, kwa maparoko Eiyer au Kaizer, ile unatia mguu tu tayari unafungishwa ndoa ya mkeka na kuwa mke halali wa mimi babu yenu ODM

Ha ha ha sio rahis muulize Eiyer akuambie
Ananiwatch closely hawez kufungasha hiyo ndoa...

Ananijali baba paroko sana
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha sio rahis muulize Eiyer akuambie
Ananiwatch closely hawez kufungasha hiyo ndoa...

Ananijali baba paroko sana
Paroko wa ukoo wa Gwajima.... si wa kuaminika sana. Usije ukasema sijakuonya..............

Babu ODM,nikipata kigugumizi kwenye hili utanilaumu kweli?
OMG!!! Hata kwa huyu ICHANA niliyemvumbua kama dhahabu. Paroko nionee huruma usiteleze. Niko tayari kukuachia Khantwe umtumie utakavyo.

Kwa hapa lawama haitakwepeka asee
 
Last edited by a moderator:
Namwamin paroko wangu
.wewe ndo huaminiki
Paroko wa ukoo wa Gwajima.... si wa kuaminika sana. Usije ukasema sijakuonya..............

OMG!!! Hata kwa huyu ICHANA niliyemvumbua kama dhahabu. Paroko nionee huruma usiteleze. Niko tayari kukuachia Khantwe umtumie utakavyo.

Kwa hapa lawama haitakwepeka asee

Na mm nasema sikutaki kabisaa babu wewe baki na huyu khantwe. Si ulisema unampa hela ya mafao yako ya uzeeni
Bora paroko ale kondoo wake
 
Last edited by a moderator:
OMG!!! Hata kwa huyu ICHANA niliyemvumbua kama dhahabu. Paroko nionee huruma usiteleze. Niko tayari kukuachia Khantwe umtumie utakavyo.

Kwa hapa lawama haitakwepeka asee

Babu najua kuwa wewe ndie uliyemvumbua,lakini kwakweli usinilaumu kabisaaa na hili hata Kaizer ataniunga mguu kabisa na sio mkono

Huyo Khantwe ana ka ukorofi ambako sisi maparoko hatuwezi kuwa na huyo ...lol
Hebu fanya makalatee umtwae na huyu ICHANA uniachie kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Namwamin paroko wangu
.wewe ndo huaminiki

Na mm nasema sikutaki kabisaa babu wewe baki na huyu khantwe. Si ulisema unampa hela ya mafao yako ya uzeeni
Bora paroko ale kondoo wake

He!?? Mke wangu amekua Wa kupewa tu watu!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom