Nakupenda a.k.a I love you!

Nakupenda a.k.a I love you!

Babu babu pliiz....kukupa nafasi ya kunichepusha sikumaanisha kuwa mume wangu simpendi....naomba uondoke kwa amani
Hahahahahaah orayt....... Ila usisahau mahawara hawaachani.

Hebu twenzetu Wozap nikakuambie kitu changu.
 
Paroko wa ukoo wa Gwajima.... si wa kuaminika sana. Usije ukasema sijakuonya..............

OMG!!! Hata kwa huyu ICHANA niliyemvumbua kama dhahabu. Paroko nionee huruma usiteleze. Niko tayari kukuachia Khantwe umtumie utakavyo.

Kwa hapa lawama haitakwepeka asee

cc: Khantwe
 
Last edited by a moderator:
mdomo wangu ni mzito sana nashindwaga kabisa kulisema hilo neno atleast sikuhizi najaribu jaribu..

Nakupenda sana kipenzi changu mahondaw....hata wewe unalijua hilo ......u knw what hny....ur such a darling
 
Last edited by a moderator:
mi namwita Makomana kwani kuna dhambi,we kama sio ka pembeni, miss strong picha la mazombie cinema hall linaanza Khantwe mi sina shida na wewe ulisha nipa mengi kwa ID ileeee Ntuzu a.k.a wakusindikiza mwaka wako miss chagga dawa ya moyo ni kuche....? mi natulia hapa nawatch hii conversion kwenye LCD connected na hdml via pc na mrembo tumboo akiwa anachezea hela mezani koho koho

Sijaelewa hapa
 
Nauliza kama badiebey ashatajwa humu nisimtaje tena,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom