ICHANA
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 4,765
- 3,596
Thanks lol
Last edited by a moderator:
Hata usiponitaka, sitakata tamaa. Iko siku nitafanikiwa.....Namwamin paroko wangu
.wewe ndo huaminiki
Na mm nasema sikutaki kabisaa babu wewe baki na huyu khantwe. Si ulisema unampa hela ya mafao yako ya uzeeni
Bora paroko ale kondoo wake
Ikiwa umeona kuwa ni vyema, basi na ikafanyike kama alivyotaka bwana.
He!?? Mke wangu amekua Wa kupewa tu watu!?
Correction: Mke wetu
Ikiwa umeona kuwa ni vyema, basi na ikafanyike kama alivyotaka bwana.
Sasa waweza niruhusu mtumishi wako nienende kwa amani kabla sabato haijaanza?
Namwamin paroko wangu
.wewe ndo huaminiki
Na mm nasema sikutaki kabisaa babu wewe baki na huyu khantwe. Si ulisema unampa hela ya mafao yako ya uzeeni
Bora paroko ale kondoo wake
Enenda kwa amani na kamwe usiache kuwakagua wajukuu ili uone kama wamefuzu vigezo vya kuitwa mama fulani!
Twende na wewe ukakamate fursa lol
Babu babu pliiz....kukupa nafasi ya kunichepusha sikumaanisha kuwa mume wangu simpendi....naomba uondoke kwa amani
He!?? Mke wangu amekua Wa kupewa tu watu!?
nishajiandaaa niko standby
Sijakuambia wewe kaa mbali kabisaaa
I love you miss neddy
uko tayari ubebe watu baki wifio unaniwekea kauzibe
Unajidai hujui eehh???