Nakupenda a.k.a I love you!

Nakupenda a.k.a I love you!

Honey Faith........hawa wameanzia mbali ...sio Leo....suala la shemejio kuchepuka ni la kawaida kwangu...ila kuchepukia kwa mke wa kaka yangu ni dharau kwa my womanhood

One day I will find the right words...and....<malizia>
 
Mmmmmh yashakua makubwa!
Mentor amtake Mke wangu Khantwe Alafu mwallu amuone Mke wangu Khantwe mbaya.

Aaaaargh! Dada Yangu mwallu Huyu Mentor asijetugombanisha Mimi na wewe! Maana ktk hili lazima nimtetee Mke wangu Khantwe

Shangaa na wewe mume wangu....anyway alishasema ye hanitambui mimi anamtambua miss chagga ko sishangai....hivi visa ni planned....si ajabu wanatumana na mumewe ili ndoa yangu ivunjike
 
Last edited by a moderator:

"I love you Honey Faith"

Halafu mke wangu mwallu, "...na hao wawili watakuwa mwili mmoja" Hili neno unalifahamu? Umeshakuwa mke wangu...una familia yako sasa..hayo ya upande wa baba na upande wa mama hayapo!
Kweli kabisa mume wangu.tu mwili mmoja....namie tachepuka kutimiliza hilo
Mmmmmh yashakua makubwa!
Mentor amtake Mke wangu Khantwe Alafu mwallu amuone Mke wangu Khantwe mbaya.

Aaaaargh! Dada Yangu mwallu Huyu Mentor asijetugombanisha Mimi na wewe! Maana ktk hili lazima nimtetee Mke wangu Khantwe

Mie sio wa kugombana nawe sezae....damu nzito ujue....
 
Last edited by a moderator:
One day I will find the right words...and....<malizia>
They are just simple....."tuchepuke wote"....aren't my in laws coming to visit us? I miss them dearly
Shangaa na wewe mume wangu....anyway alishasema ye hanitambui mimi anamtambua miss chagga ko sishangai....hivi visa ni planned....si ajabu wanatumana na mumewe ili ndoa yangu ivunjike

Wifi Khantwe....nilikukubali sana....tatizo nimegundua hujatulia...bora miss chagga ye anapenda hela tu
 
Last edited by a moderator:
They are just simple....."tuchepuke wote"....aren't my in laws coming to visit us? I miss them dearly

Wifi Khantwe....nilikukubali sana....tatizo nimegundua hujatulia...bora miss chagga ye anapenda hela tu

Bas rudi kamchukue miss chagga maana we unajifanya una haki ya kupenda au kutopenda kuliko muoaji mwenyewe
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom