Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi

Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi

Ngoja nijenge nyumba ndogo mie
Hakuna shamba linalokosa bustani.... Mfalme Suleiman alikuwa na wake mia tatu na MASURIA (nyumba ndogo idadi hiyo hiyo)... Mungu alimuumbia Adam HAWA hakumuumbia HUYU[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napingana na wewe kwenye hilo la uzazi,kuna njia nyingi sana kwa mwanaume anayejali na kujitambua kupunguza ashki za mwili wake! Sasa kwanini msishirikiane na mkeo mkapunguza hizo hisia zako bila ya kusababisha madhara

Sent using Jamii Forums mobile app
Njia ni moja tu dada angu hizo nyingine amini usiamini zina madhara kiafya, Mungu hakukosea kuumba hiyo njia kama usahihi wa kuondoa matamanio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna shamba linalokosa bustani.... Mfalme Suleiman alikuwa na wake mia tatu na MASURIA (nyumba ndogo idadi hiyo hiyo)... Mungu alimuumbia Adam HAWA hakumuumbia HUYU[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfalme Suleiman alikuwa kiboko
 
Asante malaika usiyekosea kwa mkeo! ila ukiona hataki kukupa kilichokufanya umuoea kaa nae chini zungumza nae,ukiona hakuelewi basi muondoe kwa Talaka umchukue huyo atakayekupa muda wote kama pumzi,hili si jambo la ajabu lakini litakua la kushangaza kama utazidisha makosa juu ya kosa la mkeo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi utawaacha wangapi? Masuala ya talaka ni ushamba. Michepuko inasaidia kuondoa mapressure ya kufikia talaka. Wewe huwezi jua kwa vile ni mwanamke. Usisahau need ya tendo kwa mwanaume na mwanamke ni tofauti. Mwanamke atakuwa na hitaji hasa wakati wa ovulation, kabla na baada ya kutumia. Kwetu usisahau kama unakula vizuri sperm zinatengenezwa na lazima zitoke hata kwa CHAPUTA au kuota. Shida ya nini ukiomba unakataliwa na je utataliki wangapi?
 
Nyumba ndoogo ndio msingi mkuu wa nyumba nyingi imara...nimerudia tu aloyasema Mshana Jr kulee juu
 
Mwanamke anaekubali kuwa nyumba ndogo ana upungufu kichwani na ili aonekane mzima LAZIMA afanye jitihada za kuwa nyumba kubwa so mwanaume unaetunza nyumba ndogo jiandae kumkosa mkeo siku huyo mdogo atakapotaka cheo cha mkeo,..Mara mia ukanunue Malaya mpya kila siku kuliko kufuga chui mmoja anaekuvizia taratibu
 
Hivi utawaacha wangapi? Masuala ya talaka ni ushamba. Michepuko inasaidia kuondoa mapressure ya kufikia talaka. Wewe huwezi jua kwa vile ni mwanamke. Usisahau need ya tendo kwa mwanaume na mwanamke ni tofauti. Mwanamke atakuwa na hitaji hasa wakati wa ovulation, kabla na baada ya kutumia. Kwetu usisahau kama unakula vizuri sperm zinatengenezwa na lazima zitoke hata kwa CHAPUTA au kuota. Shida ya nini ukiomba unakataliwa na je utataliki wangapi?
Ili usitaliki wengi ni vyema usioe ili wapange utakavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia ni moja tu dada angu hizo nyingine amini usiamini zina madhara kiafya, Mungu hakukosea kuumba hiyo njia kama usahihi wa kuondoa matamanio

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wafahamu waweza tumia mapaja tu ya mkeo kupunguza ashki zako? Tuwe na moyo wa binadamu,kama wewe utaumizwa mkeo akichepuka basi jua hata wewe pia ataumia tena zaidi maana ataona umeshindwa kumvumilia kisa kazaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom