Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,592
- 15,488
Si unajua simu za kudandia noma sana.Kujiunga unajiungia cafe,avatar unwekewa stationery,kuingia jf hadi ukamate simu ya jiraniNitaitafuta. Nice new avatar
Shida tupu
Si unajua simu za kudandia noma sana.Kujiunga unajiungia cafe,avatar unwekewa stationery,kuingia jf hadi ukamate simu ya jiraniNitaitafuta. Nice new avatar
Katu simshauri mtu kuwa na vimada kuna hasara nyingi kuliko faidaNajua mshana wew umenizid vitu ving kuanzia umri na huwa nakuckiliz San mkuu
BT mm ni mtot wa kiume wa kwanz kwa maza angu BT mzee Wang ni mzee wa michepuko kinyama na wanaotesek ni mama angu na wadogo zangu BT nshawah pandwa na hasira kiac kwamba nikatamka manen mabay kwa mzee.later majibu ake ukikua utajua
Ii kitu co nzur BT ndo vile tena cjui inakuaj
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha Noma sana.Si unajua simu za kudandia noma sana.Kujiunga unajiungia cafe,avatar unwekewa stationery,kuingia jf hadi ukamate simu ya jirani
Shida tupu
Kwa wanaume hiyo ni kawaida mdogo wangu, hapo wanaojifanya watakatifu ni uongo kabisaa... Pamoja na kwamba nyumba ndogo zinabomoa nyumba kubwa hawajifunzi kabisaa...Nyumba ndogo ina usingi imara upi zaidi ya kubomoa ndoa ya mwenzie hivi umelalia upande upi leo kaka halaf acha kushawishi wenzio wawe na nyumba ndogo yaan umeelezea kama ni kitu cha kawaida kuwa na nyumba ndogo kaka mshana
Si mbaya kwakweli kuwa na nyumba ndogo kama ukiona shemeji hakutoshelezi mahitaji, japo kuna wengine wameingia huko kutokana na stress za ndoa na migogoro lakini wengine ni tamaa tu na kutoridhika na mmoja!
Nyumba ndogo zina utamu wake, lakini pia zina nguvu na ushawishi wa ajabu kabisa, kuna wengine wamenogewa kabisa na kuhamishia majeshi yote nyumba ndogo ama kuoa kabisa ..... Jihadhari rafiki kuwa makini usije kuangukia huo mtego... Utajuta majuto yote na hutapata wa kujusaidia
Ni nyumba ndogo chache zenye akili hekima na tafakuri! Anajua vema uwepo na umuhimu wa nyumba kubwa.. Hivyo hukusaidia kuijenga kwakuwa anatambua fika kule kukiharibika hata huku amani huwa ndogo
Kuna wenye bahati mbaya walinaswa kwenye nyumba ndogo za hivyo na kunogewa kabisa (sometimes madawa yakitumika), nyumba ndogo hizi zina nia ya kuharibu ama sometimes ni uchoyo tu na ubinafsi.... Kipindi uko kwake kwako umeaga uko semina uko kazini, uko safarini uko na washkaji nk nk, Anajua uongo wote uliokuwa ukidanganya......
Leo hii unataliki mkeo halali wa ndoa na kwenda kuishi na bi mdogo... MY FRIEND UMEKWISHA... Utamdanganya nini mwizi? Utakuwa umejipeleka mwenyewe kifungoni kwenye gereza la kujitakia.... Utapekuliwa wallet, utapekuliwa simu, utapekuliwa nguo! Utafuatiliwa kazini, utachaguliwa marafiki na utapangiwa muda wa kurudi nyumbani na hata muda wa kutoka weekend.... Furaha yako itageuka fadhaa
Nikukumbushe tu rafiki cheza kwa step
NB : Nyumba ndogo nyie ndio msingi imara wa ndoa nyingi, bebeni kwa weledi hili jukumu huku mkitambua fika kwamba SIKIO no SIKIO tuu kamwe haliwezi kuzidi KICHWA
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa dada ni kawaida kwao kuwa na nyumba ndogo hivi mtu hujawahi mkosea kwa chochote ni tamaa zake tu zilizomfanya atoke nje akirudi ni dharau kwenda mbele hamna masikilizano hapo dada bi mkubwa atajifunza nini kikubwa hivi viumbe ni kukaa nao kwa akiliKwa wanaume hiyo ni kawaida mdogo wangu, hapo wanaojifanya watakatifu ni uongo kabisaa... Pamoja na kwamba nyumba ndogo zinabomoa nyumba kubwa hawajifunzi kabisaa...
Mie nasema tuu heshima iwepo kwa bi mkubwa tuu, sio kwenda kumponda bi mkubwa kwa hiyo nyumba ndogo...
Ni wachache mnoo wanaojitambua linapokuja swala la nyumba ndogo, lakinii hao wengine ni changamotoo tuu..Sawa dada ni kawaida kwao kuwa na nyumba ndogo hivi mtu hujawahi mkosea kwa chochote ni tamaa zake tu zilizomfanya atoke nje akirudi ni dharau kwenda mbele hamna masikilizano hapo dada bi mkubwa atajifunza nini kikubwa hivi viumbe ni kukaa nao kwa akili
Kweli kabisa na mwanaume mwingine anaweza kuwa na nyumba ndogo we mkewe usijue kitu wala usihisi kitu cha tofauti ngoja sasa uwakute wenzangu na mie hapo mpaka simu anaweza pokea mbele yakoNi wachache mnoo wanaojitambua linapokuja swala la nyumba ndogo, lakinii hao wengine ni changamotoo tuu..
Najua mshana wew umenizid vitu ving kuanzia umri na huwa nakuckiliz San mkuu
BT mm ni mtot wa kiume wa kwanz kwa maza angu BT mzee Wang ni mzee wa michepuko kinyama na wanaotesek ni mama angu na wadogo zangu BT nshawah pandwa na hasira kiac kwamba nikatamka manen mabay kwa mzee.later majibu ake ukikua utajua
Ii kitu co nzur BT ndo vile tena cjui inakuaj
Sent using Jamii Forums mobile app
Shunie lovely sissy ilikuwa ni namna tu ya kunogesha mjadala lakini hebu soma kwa makini sehemu kubwa ya mada hii imeegemea wapiNyumba ndogo ina usingi imara upi zaidi ya kubomoa ndoa ya mwenzie hivi umelalia upande upi leo kaka halaf acha kushawishi wenzio wawe na nyumba ndogo yaan umeelezea kama ni kitu cha kawaida kuwa na nyumba ndogo kaka mshana
Kwa wanaume hiyo ni kawaida mdogo wangu, hapo wanaojifanya watakatifu ni uongo kabisaa... Pamoja na kwamba nyumba ndogo zinabomoa nyumba kubwa hawajifunzi kabisaa...
Mie nasema tuu heshima iwepo kwa bi mkubwa tuu, sio kwenda kumponda bi mkubwa kwa hiyo nyumba ndogo...
Kwa wanaume hiyo ni kawaida mdogo wangu, hapo wanaojifanya watakatifu ni uongo kabisaa... Pamoja na kwamba nyumba ndogo zinabomoa nyumba kubwa hawajifunzi kabisaa...
Mie nasema tuu heshima iwepo kwa bi mkubwa tuu, sio kwenda kumponda bi mkubwa kwa hiyo nyumba ndogo...
Hakuna kitu ambacho wanaume wanakoseaga ka kumsema mkewe kwa hizo nyumba ndogo zao.... Wala hamnaga sababu ya msingi ya kumfanya awe na nyumba ndogo, kila mmoja ana mapungufu na wanawake huficha mengi mnoo ili kulinda ndoa.... Hawa wenzetu sijui kipi kinawashindaAsipomponda bi mkubwa nyumba ndogo itaaminije kuwa kashika ukanda?
Sasa raha zaidi ni pale ukute ni aina ya mwanaume anayeeona mapungufu ya wenzie tu (utadhani yeye hana mapungufu, sema tu mkewe anavumilia)... mke atapondwa na kusagwasagwa na kuachwa uchi kabisa kwa small house....
Japo umetutukana, bado nimekupenda bure. Mchepuko sio deal na huwezi kumfuga, especially unapokuwa kwako, yupo huru kukuchepukia tena na tena🙂...mnatuletea homa za Ini ndani ya nyumba,tulieni wapuuzi nyie..
Umeongea vizuri ila ulichoharibu ni kuweka hiyo picha,inaashiria namna kichwani ilivyo hamna hamnaah ah tatizo mshana jr amejaribu sema kitu ambacho kila mtu anafanya sema kwa unafiki wetu tunajifanya kama hakitake part in our life..