Maxmizer
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 4,799
- 4,231
basi sawaUkishajua itakusaidia nini na dini yangu inahusiana vipi na hii mada
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakwenda_Zimbabwe
basi sawaUkishajua itakusaidia nini na dini yangu inahusiana vipi na hii mada
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemalizia vibaya, nyumba ndogo ni sawa na mwizi hana hadhi ya kupewa heshima na dhamana ya kutunza ndoa isiyo yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba ndogo ndio mwanzo wa machungu na fadhaa,majeraha ya nafsi na umasikini kwa famili,tusizipe kichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
duh...punguza hasira bibie it's smaller than that..Eti unasema nini wewe Mshana!? Nyumba ndogo ni msingi imara wa ndoa nyingi!? Acha kupotosha wanaume wenzio hivi hiyo michepuko ni misingi au mipasuko!? Hiyo ndio chanzo cha migogoro isiyokwisha kwenye familia nyingi maana moyo ni mmoja hauna nguvu ya kupenda kuwili sawa sawia, wanaume wengi mkishakua na nyumba ndogo dharau kwa wake zenu huzidi Mara dufu. Ogopeni magonjwa hivi huwa mnajiulizaga kipindi unalala kwa mkeo yule hawala yako huwa analala na nani? Sasa hivi kuna gonjwa lisilokingwa na kinga ya condom mnatuletea homa za Ini ndani ya nyumba,tulieni wapuuz nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba uwe NYUMBA NDOGO yanguNi Mawazo yako sina haja ya kubishana nawe ila huo moyo wako usioumbiwa mmoja unampa mateso mkeo maana ukishapata kipya tu lazima cha zamani utakisahau iwe kwa hiali yako au kwa lazima (kulogwa). Cha kukushauri tu ukimpenda mwingine mpe ruksa mkeo (Talaka) nae akatafute atayempenda,usidhani yeye hapendwi ila anakutunzia heshma yako na yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukibahatika ukapata Nyumba ndogo yenye akili ya maisha utasema kwanini ulichelewa!!!!! Nyumba ndogo yenye akili tamu jamani!!!
Ila sio ile Nyumba ndogo kokoro!!!!! Inayokupiga sachi ukiwa usingizini!!!! Hapo kimbia!!!! Rudi kwako fasta!!!!
Pambana na hali yako wewe utawaweza wote au unatafuta kufa kabla ya siku zako[emoji57]Kwahiyo hawa wengine walio kosa ndoa ambao kila siku tuna waona humu jf wakililia ndoa tuwaache wakajiuze au..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha watu mna dharauOngea ukiwa na experience Mkuu, huwezi kusema "nyumba ndogo" ni msingi imara wa kwa wanandoa wakati wewe mwenyewe bado unaishi kwa baba na mama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiombe yakukute fanya kusoma kama hadithi kisha uende[emoji124]Ni ushamba na tamaa za kishamba tuu.....ukitaka kujua maumivu yake mzazi wako (baba) awe kaoza kwa mchepuko halafu watoto mnahangaika kama mayatima kwenye nchi yenye vita na ebola.
Nachukua wale nao weza kuwamudu..Pambana na hali yako wewe utawaweza wote au unatafuta kufa kabla ya siku zako[emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahalalisha uchepukaji tu! Haujaumbiwa mmoja umejifunzia wapi? Acha tamaasio kosa lako..either bado hujaolewa au ndo yule wa my boy will be perfect/...muwage mnakaa na mamazenu wadogo wawape maarifa...moyo wa mwanaume haujaumbiwa m,moja
Ni kweli sio kwamba hatupendwi labda tuwe tunawakumbusha kumbusha ili wajue kuwa nasi tunasumbuliwa sana tu sema tunalinda heshima!Ni Mawazo yako sina haja ya kubishana nawe ila huo moyo wako usioumbiwa mmoja unampa mateso mkeo maana ukishapata kipya tu lazima cha zamani utakisahau iwe kwa hiali yako au kwa lazima (kulogwa). Cha kukushauri tu ukimpenda mwingine mpe ruksa mkeo (Talaka) nae akatafute atayempenda,usidhani yeye hapendwi ila anakutunzia heshma yako na yake
Sent using Jamii Forums mobile app
....So touching mamito, just curious hivi homa ya ini inaambukizwaje? Na yenyewe ni kale kale kasukari ketu?Eti unasema nini wewe Mshana!? Nyumba ndogo ni msingi imara wa ndoa nyingi!? Acha kupotosha wanaume wenzio hivi hiyo michepuko ni misingi au mipasuko!? Hiyo ndio chanzo cha migogoro isiyokwisha kwenye familia nyingi maana moyo ni mmoja hauna nguvu ya kupenda kuwili sawa sawia, wanaume wengi mkishakua na nyumba ndogo dharau kwa wake zenu huzidi Mara dufu. Ogopeni magonjwa hivi huwa mnajiulizaga kipindi unalala kwa mkeo yule hawala yako huwa analala na nani? Sasa hivi kuna gonjwa lisilokingwa na kinga ya condom mnatuletea homa za Ini ndani ya nyumba,tulieni wapuuz nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenyewe huambukizwa kwa maji maji kama mate damu na vingine vingine,yaani watatuua hawa watu....So touching mamito, just curious hivi homa ya ini inaambukizwaje? Na yenyewe ni kale kale kasukari ketu?
Sent using Jamii Forums mobile app