Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi

Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi

Eti unasema nini wewe Mshana!? Nyumba ndogo ni msingi imara wa ndoa nyingi!? Acha kupotosha wanaume wenzio hivi hiyo michepuko ni misingi au mipasuko!? Hiyo ndio chanzo cha migogoro isiyokwisha kwenye familia nyingi maana moyo ni mmoja hauna nguvu ya kupenda kuwili sawa sawia, wanaume wengi mkishakua na nyumba ndogo dharau kwa wake zenu huzidi Mara dufu. Ogopeni magonjwa hivi huwa mnajiulizaga kipindi unalala kwa mkeo yule hawala yako huwa analala na nani? Sasa hivi kuna gonjwa lisilokingwa na kinga ya condom mnatuletea homa za Ini ndani ya nyumba,tulieni wapuuz nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
Na nyie tekeleza majukumu yenu wajinga nyie
 
Si mbaya kwakweli kuwa na nyumba ndogo kama ukiona shemeji hakutoshelezi mahitaji, japo kuna wengine wameingia huko kutokana na stress za ndoa na migogoro lakini wengine ni tamaa tu na kutoridhika na mmoja!

Nyumba ndogo zina utamu wake, lakini pia zina nguvu na ushawishi wa ajabu kabisa. Kuna wengine wamenogewa kabisa na kuhamishia majeshi yote nyumba ndogo ama kuoa kabisa.

Jihadhari rafiki kuwa makini usije kuangukia huo mtego. Utajuta majuto yote na hutapata wa kukusaidia.

Ni nyumba ndogo chache zenye akili hekima na tafakuri! Anajua vema uwepo na umuhimu wa nyumba kubwa hivyo hukusaidia kuijenga kwakuwa anatambua fika kule kukiharibika hata huku amani huwa ndogo.

Kuna wenye bahati mbaya walinaswa kwenye nyumba ndogo za hivyo na kunogewa kabisa (sometimes madawa yakitumika). Nyumba ndogo hizi zina nia ya kuharibu ama sometimes ni uchoyo tu na ubinafsi. Kipindi uko kwake kwako umeaga uko semina uko kazini, uko safarini uko na washkaji nk nk, anajua uongo wote uliokuwa ukidanganya.

Leo hii unataliki mkeo halali wa ndoa na kwenda kuishi na bi mdogo. MY FRIEND UMEKWISHA! Utamdanganya nini mwizi? Utakuwa umejipeleka mwenyewe kifungoni kwenye gereza la kujitakia. Utapekuliwa wallet, utapekuliwa simu, utapekuliwa nguo! Utafuatiliwa kazini, utachaguliwa marafiki na utapangiwa muda wa kurudi nyumbani na hata muda wa kutoka weekend. Furaha yako itageuka fadhaa

Nikukumbushe tu rafiki cheza kwa step
NB : Nyumba ndogo nyie ndio msingi imara wa ndoa nyingi, bebeni kwa weledi hili jukumu huku mkitambua fika kwamba SIKIO ni SIKIO tuu kamwe haliwezi kuzidi KICHWA

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye hii prime age..wanakuja wenyewe..futa message.. wahenga HUSEMA MAJI HUFUATA MKONDO NI KAULI YA KIFALA...ALL IN ALL MAJI HUFUATA MKONDO..
 
Na bora niwe nimekuelewa vibaya wallah maana Mshana si kwa kutiana kimuhe muhe namna hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa maji mengi pumzika... MWANAUME kiasili ni wa WOTEEEEEEE..

MWANAUME HACHUNGWI MWANAUME HAPANGIWI NA MWANAMKE..KIDUME KINAWEZA KIKAPANDA MAJIKE MENGI MENGI TU NA ISIWE SHIDA.

NB. Punguza wivu tambua majukumu Yako ishi vyema ndoa Yako itadumu kinyume chake mwanaume halisi HAPANGIWI
 
Nyumba ndogo nyie ndio msingi imara wa ndoa nyingi, bebeni kwa weledi hili jukumu huku mkitambua fika kwamba SIKIO ni SIKIO tuu kamwe haliwezi kuzidi KICHWA
 
Back
Top Bottom