Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi

Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi

Hivi wafahamu waweza tumia mapaja tu ya mkeo kupunguza ashki zako? Tuwe na moyo wa binadamu,kama wewe utaumizwa mkeo akichepuka basi jua hata wewe pia ataumia tena zaidi maana ataona umeshindwa kumvumilia kisa kazaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanielewa vyema mpendwa, kutumia mapaja ya mkeo inategemea na mwanaume dada angu, kuna marijali kweli kweli ambaye hata umfanyie mbwembwe kiasi gani na hayo mapaja wala hafiki, hivi unafahamu kwamba kuna wanaume hawafiki kileleni wanapotumia condom? Watu wako tofauti mwingine ili amalize ashki basi idadi ya chini kabisa umpe vinne

Asante!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuko tofauti sana trust me, hatukatai wapo wanaofanya kwa upumbavu ila wapo wengi pia ambao ukisema utajitutumua kumridhisha utaishia kukimbia mwenyewe au kuhisi anakukomoa, ndo maana option ya kuongeza mke haikwepeki lakini kwa wenye uwezo tu (uwezo hapo ni kuwahudumia vyema financially na kuwapa kwa ukamilifu haki zao za unyumba na uadilifu mwingine).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nawashangaaga ujue, mtu kama hakupi unachotaka si umuache tu basi uende moja kwa moja huko nje unakopewa furaha ya maisha? Hivi wanaume wao ni malaika kwenye ndoa hawakoseagi? Maana wao mke ukikosea kidogo tu, eeh basi kashapata solution ya kuchepuka. Wengine huko kwenye kuchepuka kwenyewe wanaishia tu kudhalilisha wake zao, kujitutumua huku mambo hawayawezi. Mkipita mitaani story tu, bwana yule usimuone kachomekea hahhaha. Shame
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli wanawadhalilisha wake zao,mwingine utakuta mke wake tuu hamridhishi,mchepuko hamridhishi tafrani tupuu,puuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea mengi sn lkn kwenye point ya nyumba ndogo ndo msi gi wa kuimarisha ndoa ni point kubwa sn hii hasa km mwanaume si limbukeni..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wengine wanaoana Mkuu, na hii imeshatokea mara nyingi tu sehemu mbali mbali duniani. Mtu ananogewa na utamu wa papuchi, kisha anavyosikilizwa na chemistry iliyopo mara anaanza kutaka kuwa na mrembo saa zote mara anatangaza ndoa kama mke wa pili au hata kumuacha mkewe kimoja.

Si mbaya kwakweli kuwa na nyumba ndogo kama ukiona shemeji hakutoshelezi mahitaji, japo kuna wengine wameingia huko kutokana na stress za ndoa na migogoro lakini wengine ni tamaa tu na kutoridhika na mmoja!
Nyumba ndogo zina utamu wake, lakini pia zina nguvu na ushawishi wa ajabu kabisa, kuna wengine wamenogewa kabisa na kuhamishia majeshi yote nyumba ndogo ama kuoa kabisa ..... Jihadhari rafiki kuwa makini usije kuangukia huo mtego... Utajuta majuto yote na hutapata wa kujusaidia
Ni nyumba ndogo chache zenye akili hekima na tafakuri! Anajua vema uwepo na umuhimu wa nyumba kubwa.. Hivyo hukusaidia kuijenga kwakuwa anatambua fika kule kukiharibika hata huku amani huwa ndogo
Kuna wenye bahati mbaya walinaswa kwenye nyumba ndogo za hivyo na kunogewa kabisa (sometimes madawa yakitumika), nyumba ndogo hizi zina nia ya kuharibu ama sometimes ni uchoyo tu na ubinafsi.... Kipindi uko kwake kwako umeaga uko semina uko kazini, uko safarini uko na washkaji nk nk, Anajua uongo wote uliokuwa ukidanganya......
Leo hii unataliki mkeo halali wa ndoa na kwenda kuishi na bi mdogo... MY FRIEND UMEKWISHA... Utamdanganya nini mwizi? Utakuwa umejipeleka mwenyewe kifungoni kwenye gereza la kujitakia.... Utapekuliwa wallet, utapekuliwa simu, utapekuliwa nguo! Utafuatiliwa kazini, utachaguliwa marafiki na utapangiwa muda wa kurudi nyumbani na hata muda wa kutoka weekend.... Furaha yako itageuka fadhaa
Nikukumbushe tu rafiki cheza kwa step
NB : Nyumba ndogo nyie ndio msingi imara wa ndoa nyingi, bebeni kwa weledi hili jukumu huku mkitambua fika kwamba SIKIO no SIKIO tuu kamwe haliwezi kuzidi KICHWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti unasema nini wewe Mshana!? Nyumba ndogo ni msingi imara wa ndoa nyingi!? Acha kupotosha wanaume wenzio hivi hiyo michepuko ni misingi au mipasuko!? Hiyo ndio chanzo cha migogoro isiyokwisha kwenye familia nyingi maana moyo ni mmoja hauna nguvu ya kupenda kuwili sawa sawia, wanaume wengi mkishakua na nyumba ndogo dharau kwa wake zenu huzidi Mara dufu. Ogopeni magonjwa hivi huwa mnajiulizaga kipindi unalala kwa mkeo yule hawala yako huwa analala na nani? Sasa hivi kuna gonjwa lisilokingwa na kinga ya condom mnatuletea homa za Ini ndani ya nyumba,tulieni wapuuz nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
victim

Nakwenda_Zimbabwe
 
Ni Mawazo yako sina haja ya kubishana nawe ila huo moyo wako usioumbiwa mmoja unampa mateso mkeo maana ukishapata kipya tu lazima cha zamani utakisahau iwe kwa hiali yako au kwa lazima (kulogwa). Cha kukushauri tu ukimpenda mwingine mpe ruksa mkeo (Talaka) nae akatafute atayempenda,usidhani yeye hapendwi ila anakutunzia heshma yako na yake

Sent using Jamii Forums mobile app
we ni muislamu au mkristo,tusije tukawa tunaongea na kambi pinzani

Nakwenda_Zimbabwe
 
we ni muislamu au mkristo,tusije tukawa tunaongea na kambi pinzani

Nakwenda_Zimbabwe
Uwe muislam uwe mkristo wote tunaamini katika kupeana tendo la ndoa kwa wana ndoa!kwani nyie wakristo wenzetu mnaambiwa mkeo akikunyima haki yako ya ndoa bila ya sababu za msingi usimchulie hatua Bali mtafutie mchepuko? Sasa nini maana ya nyie kua waaminifu mpaka kifo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwe muislam uwe mkristo wote tunaamini katika kupeana tendo la ndoa kwa wana ndoa!kwani nyie wakristo wenzetu mnaambiwa mkeo akikunyima haki yako ya ndoa bila ya sababu za msingi usimchulie hatua Bali mtafutie mchepuko? Sasa nini maana ya nyie kua waaminifu mpaka kifo?

Sent using Jamii Forums mobile app
nimeuliza ivyo ili nijue kwanza then tuendelee na mjadala ,turudi kwenye swali wewe ni muislamu au mkristo

Nakwenda_Zimbabwe
 
Ukibahatika ukapata Nyumba ndogo yenye akili ya maisha utasema kwanini ulichelewa!!!!! Nyumba ndogo yenye akili tamu jamani!!!
Ila sio ile Nyumba ndogo kokoro!!!!! Inayokupiga sachi ukiwa usingizini!!!! Hapo kimbia!!!! Rudi kwako fasta!!!!
 
Si mbaya kwakweli kuwa na nyumba ndogo kama ukiona shemeji hakutoshelezi mahitaji, japo kuna wengine wameingia huko kutokana na stress za ndoa na migogoro lakini wengine ni tamaa tu na kutoridhika na mmoja!
Nyumba ndogo zina utamu wake, lakini pia zina nguvu na ushawishi wa ajabu kabisa, kuna wengine wamenogewa kabisa na kuhamishia majeshi yote nyumba ndogo ama kuoa kabisa ..... Jihadhari rafiki kuwa makini usije kuangukia huo mtego... Utajuta majuto yote na hutapata wa kujusaidia
Ni nyumba ndogo chache zenye akili hekima na tafakuri! Anajua vema uwepo na umuhimu wa nyumba kubwa.. Hivyo hukusaidia kuijenga kwakuwa anatambua fika kule kukiharibika hata huku amani huwa ndogo
Kuna wenye bahati mbaya walinaswa kwenye nyumba ndogo za hivyo na kunogewa kabisa (sometimes madawa yakitumika), nyumba ndogo hizi zina nia ya kuharibu ama sometimes ni uchoyo tu na ubinafsi.... Kipindi uko kwake kwako umeaga uko semina uko kazini, uko safarini uko na washkaji nk nk, Anajua uongo wote uliokuwa ukidanganya......
Leo hii unataliki mkeo halali wa ndoa na kwenda kuishi na bi mdogo... MY FRIEND UMEKWISHA... Utamdanganya nini mwizi? Utakuwa umejipeleka mwenyewe kifungoni kwenye gereza la kujitakia.... Utapekuliwa wallet, utapekuliwa simu, utapekuliwa nguo! Utafuatiliwa kazini, utachaguliwa marafiki na utapangiwa muda wa kurudi nyumbani na hata muda wa kutoka weekend.... Furaha yako itageuka fadhaa
Nikukumbushe tu rafiki cheza kwa step
NB : Nyumba ndogo nyie ndio msingi imara wa ndoa nyingi, bebeni kwa weledi hili jukumu huku mkitambua fika kwamba SIKIO no SIKIO tuu kamwe haliwezi kuzidi KICHWA

Sent using Jamii Forums mobile app
Umemalizia vibaya, nyumba ndogo ni sawa na mwizi hana hadhi ya kupewa heshima na dhamana ya kutunza ndoa isiyo yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom