Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi

Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi

Bro umenena vyema maana hiyo imewakuta baadhi ya wanaume wasiojielewa.Alafu anayepinga nyumba ndogo sio muhimu analake jambo maana nature iko wazi aya mambo mengine ya tamaduni na dini tumeweka wenyewe.Ukitaka uwe na ndoa nzuri na imara lazima pia uwe na mchepuko wenye akili.wanaume wenye akili wanaelewa vizuri hili.
 
Hawajiulizagi haya.... tena wapo kibao humu wanaojisifu hawawezi kukaa bila nyumba ndogo

Wanaishia kuumiza hisia za wake zao tu

Mwisho wa siku wake zao hamu ya kuwaona waume zao hushuka kama sio kuisha......

Halafu wakitendwa huko nyumba ndogo wanarudi mikono chini wamefyata mikia yao kwenye kengele zao....mfyuuuuuu
Eti unasema nini wewe Mshana!? Nyumba ndogo ni msingi imara wa ndoa nyingi!? Acha kupotosha wanaume wenzio hivi hiyo michepuko ni misingi au mipasuko!? Hivyo ndio chanzo cha migogoro isiyokwisha kwenye familia nyingi maana moyo ni mmoja hauna nguvu ya kupenda kuwili sawa sawia, wanaume wengi mkishakua na nyumba ndogo dharau kwa wake zenu huzidi Mara dufu. Ogopeni magonjwa hivi huwa mnajiulizaga kipindi unalala kwa mkeo yule hawala yako huwa analala na nani? Sasa hivi kuna gonjwa lisilokingwa na kinga ya condom mnatuletea homa za Ini ndani ya nyumba,tulieni wapuuz nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye mada lazima kuchomekea point itakayogusa hisia za wengi, hapo ndio msingi mzima wa mada huachwa na point husika kuwa ndio mjadala

Sent using Jamii Forums mobile app
Najua mshana wew umenizid vitu ving kuanzia umri na huwa nakuckiliz San mkuu
BT mm ni mtot wa kiume wa kwanz kwa maza angu BT mzee Wang ni mzee wa michepuko kinyama na wanaotesek ni mama angu na wadogo zangu BT nshawah pandwa na hasira kiac kwamba nikatamka manen mabay kwa mzee.later majibu ake ukikua utajua
Ii kitu co nzur BT ndo vile tena cjui inakuaj

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Mawazo yako sina haja ya kubishana nawe ila huo moyo wako usioumbiwa mmoja unampa mateso mkeo maana ukishapata kipya tu lazima cha zamani utakisahau iwe kwa hiali yako au kwa lazima (kulogwa). Cha kukyshauri tu ukimpenda mwingine mpe ruksa mkeo (Talaka) nae akatafute atayempenda,usidhani yeye hapendwi ila anakutunzia heshma yako na yake

Sent using Jamii Forums mobile app
ah ah tatizo mshana jr amejaribu sema kitu ambacho kila mtu anafanya sema kwa unafiki wetu tunajifanya kama hakitake part in our life..
 

Attachments

  • download (1).jpg
    download (1).jpg
    4.5 KB · Views: 50
Mambo ya nyumba ndogo yaacheni tu kama mimi tu nilikua nampenzi wangu na nina chepuka sana tu alivojua nae akachepuka ikaniuma sana sio kidogo daaah alafu mkuu unasema ni msingi bora wa ndoa??UNAJUA MAUMIVU WANAYOPATA WATU KWA Kudharauliwa na wanamme wao sababu tu ya michepuko??

Mungu Ni Mwema
 
Nyumba za watu zina mambo, Nyumba ndogo inakuja baada ya stress, anaepinga nyumba ndogo wenye stress waende wapi? Kila siku shemeji anasema amechoka na raha ile Mungu kaiweka kwa kusudi maalumu .Ama kweli wanawake wengine ni shida ,sikumuoa ili tu apike, afue, usafi nk. Vyote hivi dada anafanya, nilimleta ili anihudumie vitu ambavyo dada hafanyi, kama hanitimizii nyumba ndogo ni lazima, wenye stress karibuni. Wachache wasio na stress tulieni na wake zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si mbaya kwakweli kuwa na nyumba ndogo kama ukiona shemeji hakutoshelezi mahitaji, japo kuna wengine wameingia huko kutokana na stress za ndoa na migogoro lakini wengine ni tamaa tu na kutoridhika na mmoja!
Nyumba ndogo zina utamu wake, lakini pia zina nguvu na ushawishi wa ajabu kabisa, kuna wengine wamenogewa kabisa na kuhamishia majeshi yote nyumba ndogo ama kuoa kabisa ..... Jihadhari rafiki kuwa makini usije kuangukia huo mtego... Utajuta majuto yote na hutapata wa kujusaidia
Ni nyumba ndogo chache zenye akili hekima na tafakuri! Anajua vema uwepo na umuhimu wa nyumba kubwa.. Hivyo hukusaidia kuijenga kwakuwa anatambua fika kule kukiharibika hata huku amani huwa ndogo
Kuna wenye bahati mbaya walinaswa kwenye nyumba ndogo za hivyo na kunogewa kabisa (sometimes madawa yakitumika), nyumba ndogo hizi zina nia ya kuharibu ama sometimes ni uchoyo tu na ubinafsi.... Kipindi uko kwake kwako umeaga uko semina uko kazini, uko safarini uko na washkaji nk nk, Anajua uongo wote uliokuwa ukidanganya......
Leo hii unataliki mkeo halali wa ndoa na kwenda kuishi na bi mdogo... MY FRIEND UMEKWISHA... Utamdanganya nini mwizi? Utakuwa umejipeleka mwenyewe kifungoni kwenye gereza la kujitakia.... Utapekuliwa wallet, utapekuliwa simu, utapekuliwa nguo! Utafuatiliwa kazini, utachaguliwa marafiki na utapangiwa muda wa kurudi nyumbani na hata muda wa kutoka weekend.... Furaha yako itageuka fadhaa
Nikukumbushe tu rafiki cheza kwa step
NB : Nyumba ndogo nyie ndio msingi imara wa ndoa nyingi, bebeni kwa weledi hili jukumu huku mkitambua fika kwamba SIKIO no SIKIO tuu kamwe haliwezi kuzidi KICHWA

Sent using Jamii Forums mobile app
mashallah yaweza kuwa ni wale asilimia kubwa wamekata tamaa kuhusu kujitoa muhanga kuishikiria ndoa yako kama dume utashindwa kuvumilia hata udhaifu wa mkeo ujue umeoa bahati mbaya ilitakiwa uwe single psychological hukukua kumudu taasisi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom