Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,090
- 143,304
Sijaelewa!
Mwanaume mwenye matatizo ya ED awe na wanawake wengi wa nini sasa?
Anafanya nao nini?
Haoni kuwa, kuwa na wanawake wengi hivyo halafu hawezi kufanya nao lolote ni kujichoresha?
Hao wanawake wote wataweza kweli kumsitiria siri yake ya ukosefu wa nguvu za kiume?
Anywho, nadhani hizi assumptions tu juu ya watu. Si ukweli wala uhalisia wa mtu binafsi/ mtu mmoja mmoja.
Ukweli pekee anaujua mhusika.
Ila bado sioni kabisa mantiki ya mtu asiye na nguvu za kiume kutaka kujihusisha kimapenzi na wanawake wengi ambao hawezi kufanya nao mapenzi! Weird!