Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi

Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi

Hakuna familia isiyo na mapungufu. Hatuna wazazi wasio na mapungufu, sisi pia si wakamilifu, hatuoi au kuolewa na mtu asiye na mapungufu, kadhalika watoto wetu nao si wakamilifu. Tunayo manung'uniko au malalamiko kila mmoja dhidi ya mwenzake. Tumevunjana moyo na kukatishana tamaa. Kwa hiyo, hakuna ndoa iliyokamilika wala familia iliyoboreka bila kuwa na mazoea au utamaduni wa kusameheana.*

*Msamaha ni nguzo au msingi wa utulivu wa akili na uhai wa roho zetu. Kama hakuna msamaha, familia inakuwa uwanja wa migogoro na mlipuko wa ugomvi. Panapokosekana msamaha, familia inaugua. Msamaha unahuisha moyo, kwa kusafisha fikra na kuufanya moyo kuwa huru. Binadamu asiyesamehe hana amani moyoni na wala hana urafiki au muunganiko na Mungu.*

*Maumivu ni sumu inayodhuru na kuua. Hebu kiponye kidonda hicho cha moyo endapo kuna dalili za kujiumiza. Mtu asiyesamehe anajisababishia mwenyewe ugonjwa wa mwili, kiakili na kiroho. Ndiyo maana familia inapaswa kuwa sehemu ya uhai na si kifo; eneo la uponyaji na sio mahali pa magonjwa; jukwaa la msamaha na si la uovu. Msamaha huleta furaha pale uchungu ulipoleta maumivu; huleta uponyaji hata pale ambapo maumivu yalisababisha magonjwa.*

```Ujumbe huu mzuri umfikie kila mmoja wetu katika familia yake.

Jr[emoji769]

Jr[emoji769]
Kuishi na mwenza kwenye ndoa afu ujue anacheat ni jambo gumu sana moyoni
 
Mie mkiniingiza kwenye hiyo imani yenu nitawaharibia. Pigeni maombi mkifanikiwa mje kunipa ushuhuda labda nami nitafunguka

😂😂😂😂😂 ww ht@heaven sent hakuwez..khaaa..mie naanza kusali..serious maana ishu hizi ni ngumu sana sana...ila ss ukisali unatakiwa usiwe na WAA🙊
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww ht@heaven sent hakuwez..khaaa..mie naanza kusali..serious maana ishu hizi ni ngumu sana sana...ila ss ukisali unatakiwa usiwe na WAA[emoji87]
Acha Kwanza pombe ndo uingie kwenye maombi. Mi nikifikiria makandokando yangu hlf niseme niingie kwenye maombi loh hata Mungu hatanisikiliza
 
pombe mie sijawah iwekea ht kwenyr mawazo my dear najichetuaga tu kwakweli...siiabudu ht kidogo my dear...!we wajua shida yangu😂😂😂😂...!
 
pombe mie sijawah iwekea ht kwenyr mawazo my dear najichetuaga tu kwakweli...siiabudu ht kidogo my dear...!we wajua shida yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...!
Ukiingia kwenye maombi ili usikilizwe unatakiwa kuwa msafi yaani vitu vyote unavyoambiwa ni dhambi unatakiwa kuacha.
Shida yako naijua shoga.
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa tunajidanyanya kusema nyumba ndogo haiwezi kuwa nyumba kubwa, mimi mwenyewe nyumba ndogo ya aliyekuwa mume wangu alikuja kuwa nyumba kubwa na sasa wamefunga ndoa. Mapenzi yakishahamia sehemu nyingine huna budi kuwaacha waendelee maana utakufa kwa stress muda si wako. Hakuna mweye hati miliki ya binadamu, akisha amua mpe nafasi aende huwenda hakuwa chaguo lako. Ukiwaza haya mambo unaweza ukaharibu maisha yako, kama unaona kuna mafarakano yasioisha sababu ya nyumba ndogo ni vyema mkaachana kwa amani
 
Aisee unanitisha
 
Ukiingia kwenye maombi ili usikilizwe unatakiwa kuwa msafi yaani vitu vyote unavyoambiwa ni dhambi unatakiwa kuacha.
Shida yako naijua shoga.

😂😂😂😂naona unataka kunikatishia pumzi kbs...! bas bwana! alafu uje bas huku nilipo na ww..nikutambulishe😂
 
Huwa tunajidanyanya kusema nyumba ndogo haiwezi kuwa nyumba kubwa, mimi mwenyewe nyumba ndogo ya aliyekuwa mume wangu alikuja kuwa nyumba kubwa na sasa wamefunga ndoa. Mapenzi yakishahamia sehemu nyingine huna budi kuwaacha waendelee maana utakufa kwa stress muda si wako. Hakuna mweye hati miliki ya binadamu, akisha amua mpe nafasi aende huwenda hakuwa chaguo lako. Ukiwaza haya mambo unaweza ukaharibu maisha yako, kama unaona kuna mafarakano yasioisha sababu ya nyumba ndogo ni vyema mkaachana kwa amani

nachelea kusema ww ni mwanamke unayejitambua... km unaona mambo hayaend hisia zimefariki kwann usitoke tu😣😣kung'ang'ania kujazana kwa kakobe eti kurudisha upya ndoa yenu while humfeel mtu nikujidanganya...kua sehem niliwah soma.ukiwa na iman sana bas ww jua ni MNAFIKI SANA !huishi ktk ukweli..unakuwa fake sana🙊!
 
nachelea kusema ww ni mwanamke unayejitambua... km unaona mambo hayaend hisia zimefariki kwann usitoke tu[emoji21][emoji21]kung'ang'ania kujazana kwa kakobe eti kurudisha upya ndoa yenu while humfeel mtu nikujidanganya...kua sehem niliwah soma.ukiwa na iman sana bas ww jua ni MNAFIKI SANA !huishi ktk ukweli..unakuwa fake sana[emoji87]!
Mmmh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa tunajidanyanya kusema nyumba ndogo haiwezi kuwa nyumba kubwa, mimi mwenyewe nyumba ndogo ya aliyekuwa mume wangu alikuja kuwa nyumba kubwa na sasa wamefunga ndoa. Mapenzi yakishahamia sehemu nyingine huna budi kuwaacha waendelee maana utakufa kwa stress muda si wako. Hakuna mweye hati miliki ya binadamu, akisha amua mpe nafasi aende huwenda hakuwa chaguo lako. Ukiwaza haya mambo unaweza ukaharibu maisha yako, kama unaona kuna mafarakano yasioisha sababu ya nyumba ndogo ni vyema mkaachana kwa amani
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom