Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi

Nakukumbusha tu: Nyumba ndogo haziolewi

Eti unasema nini wewe Mshana!? Nyumba ndogo ni msingi imara wa ndoa nyingi!? Acha kupotosha wanaume wenzio hivi hiyo michepuko ni misingi au mipasuko!? Hiyo ndio chanzo cha migogoro isiyokwisha kwenye familia nyingi maana moyo ni mmoja hauna nguvu ya kupenda kuwili sawa sawia, wanaume wengi mkishakua na nyumba ndogo dharau kwa wake zenu huzidi Mara dufu. Ogopeni magonjwa hivi huwa mnajiulizaga kipindi unalala kwa mkeo yule hawala yako huwa analala na nani? Sasa hivi kuna gonjwa lisilokingwa na kinga ya condom mnatuletea homa za Ini ndani ya nyumba,tulieni wapuuz nyie

Sent using Jamii Forums mobile app

Yuko sahihi kwamba nyumba ndogo ndiyo msingi wa kuimarisha ndoa....mimi bila nyumba ndogo ningeshagombana na mke wangu mara nyingi sana....sasa kama mambo hayako sawa kwa wife ,huwa napata mahali pa kupunguza stress kwa nyumba ndogo na sina muda wa kugombana na wife
 
LadyAJ, kwa lugha uliyotumia, hapo juu, ni dhahiri wewe ni mtata. Umejaza pekepeke na shutuma tu, na siyo ushauri.

Hakuna ugonjwa unaoua wanaume sana, kimawazo na kimwili, kama hiyo lugha uliyotumia kuwasilisha hisia zako.

Mwanaume anahitaji kuheshimiwa na kubembelezwa hata kama kafanya kosa dhahiri. Pekepeke na shutuma za mwanamke, kama zako, ni adui mkubwa wa mahusiano katika ndoa.

mshana jr, kawasilisha hoja mwafaka kwa upande wa akina baba, akiwatahadharisha matokeo hasi ya nyumba ndogo. Kwa falsafa, anawahasa akina mama ndoani, kuwa makini na ndoa zao.

LadyAJ, mpira uko uwanjani kwako.

😂😂😂😂😂 hahahahhahahah..eti mwanamume ht km kakosea abembelezwe😂😂😂😂...kisa mume😂😂😂
 
Yuko sahihi kwamba nyumba ndogo ndiyo msingi wa kuimarisha ndoa....mimi bila nyumba ndogo ningeshagombana na mke wangu kama mambo hayako sawa.....kwa hiyo kwa nyumba ndogo napata mahali pa kupunguza stress na sina muda wa kugombana na wife


wacha we
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo siwez changia..mara nyingi mada km hizi huwa nakosa staha..naenda deep sana..leo sichangii kitu..pole sana my friend@sweet
Teh kumbe upo km Mimi, Kuna wakati baadhi ya mada sichangii kabisa maana nahisi nitahara
 
Ingia kwenye maombi Sasa. Mwenzenu maombi yamenishinda yaani nikiomba ndo mambo yanazidi kuharibika

hahahaha demi nimemsomea hii comment dadangu had amepaliwa...mie niwe mkweli sina iman..yaan sina iman kbsaaaa...hb ht mama ananiambia nirudi kanisani😂😂😂 sema mm mwili ushajifreeze..mwenzangu ameanza kusali novena leo ana siku ya5😂😂😂😂...anasem mke wangu rahab unayoitka ndo hii novena...hahahahha mie namwangalia tu huku najitikisa😣😣😣
 
hahahaha demi nimemsomea hii comment dadangu had amepaliwa...mie niwe mkweli sina iman..yaan sina iman kbsaaaa...hb ht mama ananiambia nirudi kanisani[emoji23][emoji23][emoji23] sema mm mwili ushajifreeze..mwenzangu ameanza kusali novena leo ana siku ya5[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...anasem mke wangu rahab unayoitka ndo hii novena...hahahahha mie namwangalia tu huku najitikisa[emoji21][emoji21][emoji21]
Ha haaaa jamani nimecheka, chezea matatizo weye..novena umekumbukwa! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Am sure Mungu atajibu maombi
 
Back
Top Bottom